Hawa ni marafiki wa karibu sana na wamewahi kufanya nyimbo nyingi pamoja lakini hivi sasa imetoka disclosure remix ya wimbo wa Frontin am...
12:06
Hawa ni marafiki wa karibu sana na wamewahi kufanya nyimbo nyingi pamoja lakini hivi sasa imetoka disclosure remix ya wimbo wa Frontin ambao ulitoka kitambo kidogo. Enjoy kusikiliza
kitu kipya walichokifanya wakali Pharrell na Jay Z hapa.