December 13, 2016

‘Nogesha Upendo’ ya Vodacom kumwaga bilioni 5 kwa wateja wake msimu huu wa sikukuu

Wateja wa Vodacom Tanzania wameletewa promosheni mpya inayojulikana kama ‘Nogesha Upendo’ ambayo itawawezesha wateja wake kujishindia ... thumbnail 1 summary


Wateja wa Vodacom Tanzania wameletewa promosheni mpya inayojulikana kama ‘Nogesha Upendo’ ambayo itawawezesha wateja wake kujishindia zawadi ya fedha taslimu, muda wa bure wa maongezi na MB za Interneti kila siku katika msimu huu wa sikukuu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shaa azungumzia kwanini muziki wa sasa haudumu kama wa zamani

Muziki wa Bongo Flava unaotoka sasa unaweza kuonekana kuwashika mashabiki ndani ya muda mfupi na video zake kuwa na mamilioni ya views kweny... thumbnail 1 summary
Muziki wa Bongo Flava unaotoka sasa unaweza kuonekana kuwashika mashabiki ndani ya muda mfupi na video zake kuwa na mamilioni ya views kwenye Youtube, lakini hakuna anayeweza kubisha kuwa haudumu kama zamani? Kwanini?



Shaa anauita muziki wa leo ‘bubblegum’ na kwamba huwezi kuufananisha na ule uliotoka miaka mitano au saba tu nyuma. “Ni kazi ambazo hata miaka 20 kuanzia sasa bado unaweza ukazicheza na ukawa on point,” Shaa alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM kuhusu nguvu ya muziki wa zamani.

“Nakumbuka wikiendi iliyopita nilikuwa kwenye event fulani wakawa wanagonga old school, wakagonga Mkasi, yaani the place went crazy. Mimi naona kama vile sound wise, muziki, quality inashuka kwenye baadhi ya wasanii. Kitu ambacho naona tumeendelea sasa hivi muziki umekuwa biashara especially kwenye upande wa msanii, endorsement deals nikimaanisha, unaweza ukajiuza online, Youtube, unaweza kuuza views,” aliongeza.

Tazama interview nzima ya Shaa hapo chini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lini wasanii wataanza kusherehekea idadi ya album walizouza kama wanavyosherehea views za Youtube?

Huko nyuma, ni wasanii wachache sana walikuwa na uwezo wa kufikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube kwa hata kipindi cha mwezi... thumbnail 1 summary



Huko nyuma, ni wasanii wachache sana walikuwa na uwezo wa kufikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube kwa hata kipindi cha mwezi mzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Young Dee: Baada ya kupata mtoto nimejisikia furaha ambayo sijawahi kuwa nayo (Audio)

Rapper Young Dee amesema kupata mtoto kumempa furaha ambayo hawajawahi kuwa nayo katika maisha yake. thumbnail 1 summary
Rapper Young Dee amesema kupata mtoto kumempa furaha ambayo hawajawahi kuwa nayo katika maisha yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Fahamu Mambo Haya 5 Kutoka Kwa Vanessa Mdee.

Ukitaja listi ya wasanii wakubwa wa kike wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, jina la Vanessa Mdee maarufu V Money, thumbnail 1 summary
Ukitaja listi ya wasanii wakubwa wa kike wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, jina la Vanessa Mdee maarufu V Money,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUZO TATU ALIZOSHINDA ALIKIBA ZAMFANYA MWANAMUZIKI AT AJIKOJOLEE KITANDANI

Kabla ya tukio kubwa la #EATVAwards jana usiku, msanii AT aliahidi kuwa kama Kiba angeshinda tuzo basi kwa furaha angekojoa kitandani thumbnail 1 summary

Kabla ya tukio kubwa la #EATVAwards jana usiku, msanii AT aliahidi kuwa kama Kiba angeshinda tuzo basi kwa furaha angekojoa kitandani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kajala akanusha kurudiana na Petit Money

Hapo zamani za kale, Kajala Masanja na Petit Money walikuwa wapenzi. Infact, wakati Kajala yupo jela, Petit alikuwa kama malaika wake a... thumbnail 1 summary


Hapo zamani za kale, Kajala Masanja na Petit Money walikuwa wapenzi. Infact, wakati Kajala yupo jela, Petit alikuwa kama malaika wake aliyetumwa na Mungu kwakuwa alimhudumia kwa kiasi kikubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Amber Lulu ajifunga kwa mtoto wa Young Dee

Huenda mtoto wa Young Dee, Tammy akawa amewarudisha tena karibu Young Dee na Amber Lulu. Wawili hawa waliwahi kuwa wapenzi lakini kwa mujibu... thumbnail 1 summary


Huenda mtoto wa Young Dee, Tammy akawa amewarudisha tena karibu Young Dee na Amber Lulu. Wawili hawa waliwahi kuwa wapenzi lakini kwa mujibu wa mwanamitindo huyo alipoongea na U-Heard ya Clouds FM alionyesha kuwa tayari wameachana na rapper huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ne-Yo ameanza kuupigia debe wimbo alioshirikishwa na Diamond Platnumz.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, muimbaji huyo wa Marekani ameandika ujumbe wa kuonyesha sehemu ambao wimbo huo unapatikana kwa sasa. thumbnail 1 summary






Kupitia mtandao wake wa Instagram, muimbaji huyo wa Marekani ameandika ujumbe wa kuonyesha sehemu ambao wimbo huo unapatikana kwa sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nicki Minaj na Meek Mill wahisiwa kumwagana

Huenda paradiso ikawa imeingiwa na mgogoro. Nicki Minaj ameandika kitu Instagram ambacho kimetafsiriwa na wengi kuwa ameachana na mpenzi w... thumbnail 1 summary

Huenda paradiso ikawa imeingiwa na mgogoro. Nicki Minaj ameandika kitu Instagram ambacho kimetafsiriwa na wengi kuwa ameachana na mpenzi wake, Meek Mill.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sasa utaweza kurusha video live Instagram, lakini..

Mtandao wa Instagram umeanzisha feature ambayo itakuwezesha kurusha video live. Hata hivyo ni watumiaji wa Marekani pekee ndio wenye uwezo... thumbnail 1 summary

Mtandao wa Instagram umeanzisha feature ambayo itakuwezesha kurusha video live. Hata hivyo ni watumiaji wa Marekani pekee ndio wenye uwezo wa kuitumia kwa sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Kanye West arudi barabarani rasmi

Kanye West aliruhusiwa hivi karibuni kutoka hospitali baada ya kulazwa kutokana na kuchoka kiakili. Na sasa, rapper huyo amerudi barabara... thumbnail 1 summary
Kanye West aliruhusiwa hivi karibuni kutoka hospitali baada ya kulazwa kutokana na kuchoka kiakili. Na sasa, rapper huyo amerudi barabarani rasmi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tuzo imenipa funzo zaidi ya lile alilonipa mama nikiwa na vunja ungo – Chuchu Hansy

Ushindi wa tuzo ya Muigizaji bora wa kike wa Tuzo za EATV 2016 kumemtoa machozi Chuchu Hansy na kumkumbusha mambo mengi aliyopitia kwenye... thumbnail 1 summary
Ushindi wa tuzo ya Muigizaji bora wa kike wa Tuzo za EATV 2016 kumemtoa machozi Chuchu Hansy na kumkumbusha mambo mengi aliyopitia kwenye maisha yake.
Tuzo ya Chuchu Hans ya muigizaji bora wa kike

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Ommy Dimpoz Amweka Wazi Mpenzi Wake.

Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa Ommy Dimpoz hapigi mechi na pia hawamjui shemeji. thumbnail 1 summary
Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa Ommy Dimpoz hapigi mechi na pia hawamjui shemeji.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi Ni Mbinu 13 za Kufanikiwa Kifedha Ambazo Rafiki Yako Tajiri Hatakwambia⁠⁠⁠⁠

Kila siku panapokucha kila mmoja huianza mihangaiko ya siku akitarajia kuwa kile anachokifanya kitamwezesha kufanikiwa na siku moja atais... thumbnail 1 summary

Kila siku panapokucha kila mmoja huianza mihangaiko ya siku akitarajia kuwa kile anachokifanya kitamwezesha kufanikiwa na siku moja ataishi maisha ambayo anayatamani.

Watu wengi wakiwa katika mihangaiko hiyo kuna mtu ambaye tayari amefanikiwa (role models) huwa wanamuangalia wakitamani kufanikiwa kama yeye au hata zaidi yake. Wakati mwingine watu hawa hutumia muda wao na wale wanaowaiga ili waweze kuwaambia ni njia gani walizoweza kuzitumia wakafanikiwa na kufika hapo walipo.

Lakini watu husema huwezi ukamuuzia adui ramani ya vita. Japo hapa si suala la uadui lakini usitegee akwambie kila kitu. Ukweli ni kuwa kuna mambo ambayo hatokwambia ili aweze kujihakikishia kuwa anapunguza ushindani. Hapa chini ni orodha ya mbinu 13 za kufanikiwa kifedha ambazo rafiki yako tajiri hatakwambia.

1. Anatumia kidogo kuliko anachopata. Anaweka akiba zaidi. Anafahamu ni bora kuwa tajiri usiyejulikana kuliko kuwa masikini na kuishi kwa kujifanya tajiri.

2. Anajua kwamba uvumilivu unalipa. Lakini uvumilivu bila juhudi hauna maana. Ukifanya kazi leo ukitarajia kesho uwe bilionea utakuwa hauishi katika uhalisia. Mafanikio ni zao la muda.

3. Ukienda kwake utakuta chai, mlo kamili na vitu muhimu mezani. Huwezi kukuta kanunua kitu ambacho hakina faida kwa mwili zaidi ya matatizo.

4. Hapendi madeni na akiwa nayo anayalipa. Hanunui kitu kwa mkopo bila sababu ya msingi. Anafahamu kwamba Kama kitu huwezi kukulipia cash basi huna uwezo nacho na ni budi ukajipanga upya.

5. Anafahamu kwamba uhuru wa kifedha ni jambo la nafsi. Uhuru wa kifedha maana yake kuishi bila deni na sio kuwa na fedha lukuki na madeni lukuki wakati huo huo.

6. Anafahamu kwamba kuwa na shughuli mbili za kufanya sio tu kwamba kunakuongezea kipato lakini pia kunakunyima muda wa kutumia fedha vibaya kwa kukuweka ‘bize’.

7. Anafahamu Pesa ni kama mtoto mdogo, haiwezi kujisimamia na kujiongoza yenyewe, lazima uisimamie wewe mwenyewe.

8. Anafahamu kwamba utajiri wa kweli mara nyingi unakuja unapofanya kitu unachokipenda.

9. Anajua ukishindwa kuwa na mipango maana yake unajikosesha mafanikio tayari.

10. Haishi kwa kuwaza kushindwa. Anafahamu mwanzo wa mafanikio ni kujiamini.

11. Anajua kwamba muda sio rafiki wa binadamu. Kwa hiyo anaheshimu muda kwa kiwango cha juu kabisa.

12. Anafahamu kwamba huwezi kutumia usicho nacho. Hawazi kuanza kutumia fedha kabla hajaifanyia kazi. Haishi katika ndoto anaishi katika uhalisia.

13. Anakushangaa kwamba unaendesha gari ya milioni 14, mkeo gari ya milioni 12, na wote ofisini zenu ziko karibu karibu, na magari yote ya mkopo na umepanga nyumba vya vyumba 5 wakati una mke na watoto wawili tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MICHEZO Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika 2016 wa BBC

December 12 2016 shirika la utangazaji la Uingereza BBC ndio lilitangaza rasmi mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika wa BBC kwa mwaka ... thumbnail 1 summary




December 12 2016 shirika la utangazaji la Uingereza BBC ndio lilitangaza rasmi mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika wa BBC kwa mwaka 2016.

Tuzo hiyo ambayo ilikuwa inashindaniwa na Sadio Mane wa Senegal/ Liverpool, Yaya Toure wa Ivory Coast/ Man City, Pierre Aubameyang wa Gabon/Dortmund amefanikiwa kushinda staa wa Algeria anayeichezea Leicester City ya England Riyad Mahrez.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

'Dume Suruali' ya Mwana FA na ‘Muziki’ ya Darassa Zachuana Vikali Youtube

Video ya ‘Dume Suruali’ ya Mwana FA akiwa na Vanessa Mdee pamoja na video ya ‘Muziki’ ya Darassa akiwa na Ben Pol ndizo video za muziki wa r... thumbnail 1 summary

Video ya ‘Dume Suruali’ ya Mwana FA akiwa na Vanessa Mdee pamoja na video ya ‘Muziki’ ya Darassa akiwa na Ben Pol ndizo video za muziki wa rap Tanzania zinazoongoza kwa kuangaliwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa muda mfupi hivi sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba atumbuiza kwenye Mkhaya Migrants Awards, Afrika Kusini

Fresh kutoka kuchukua tuzo tatu za EATV Awards, Jumamosi hii, Alikiba alikwea pipa hadi jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenda kutumbuiz... thumbnail 1 summary



Fresh kutoka kuchukua tuzo tatu za EATV Awards, Jumamosi hii, Alikiba alikwea pipa hadi jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenda kutumbuiza kwenye, Mkhaya Migrants Awards. Zimetolewa Jumapili hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwandishi aliyeniandika vibaya akifika Machi mwakani akiwa hai naacha kuhubiri – Mzee wa Upako

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako amesema waandishi wote wanaoandika habari za kumchafua wa... thumbnail 1 summary

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako amesema waandishi wote wanaoandika habari za kumchafua watakufa kabla ya kufika Machi mwakani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Miss World: Diana Edward aingia fainali za Beauty With A Purpose

Miss Tanzania 2016, Diana Edward, ameingia kwenye fainali za shindano la Beauty With A Purpose ambalo ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwe... thumbnail 1 summary
Miss Tanzania 2016, Diana Edward, ameingia kwenye fainali za shindano la Beauty With A Purpose ambalo ni sehemu ya mashindano mbalimbali kwenye Miss World.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz ampa tano Nahreel

Diamond Platnumz ampongeza mtayarishaji na muimbaji wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel. Hitmaker huyo wa Salome ameonyeshwa kufurahishwa na N... thumbnail 1 summary

Diamond Platnumz ampongeza mtayarishaji na muimbaji wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel.Hitmaker huyo wa Salome ameonyeshwa kufurahishwa na Nahreel kwa kukitambulisha kipaji cha rapper wa kike kutoka lebo ya The Industry, Rosa Ree.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rwanda yatangaza tarehe ya uchaguzi wa Rais

Serikali ya nchi ya Rwanda imetangaza tarehe za uchaguzi mkuu wa rais unaotarajiwa kufanyika mwakani. thumbnail 1 summary




Serikali ya nchi ya Rwanda imetangaza tarehe za uchaguzi mkuu wa rais unaotarajiwa kufanyika mwakani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ronaldo ashinda tuzo ya Ballon d’Or 2016

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi na kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or hi... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi na kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or hii ikiwa ni kwa mara ya nne.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni furaha baada ya Young Dee kumuona mwanae kwa mara ya kwanza

Furaha ya mtoto si ya mama mzaa chema pekee, ni ya baba pia. Ilikuwa ni furaha tu baada ya rapper Young Dee kumuona kwa mara ya kwanza mwana... thumbnail 1 summary


Furaha ya mtoto si ya mama mzaa chema pekee, ni ya baba pia. Ilikuwa ni furaha tu baada ya rapper Young Dee kumuona kwa mara ya kwanza mwanae wa kike, Tamar.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: