December 13, 2016

Diamond Platnumz ampa tano Nahreel

Diamond Platnumz ampongeza mtayarishaji na muimbaji wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel. Hitmaker huyo wa Salome ameonyeshwa kufurahishwa na N... thumbnail 1 summary

Diamond Platnumz ampongeza mtayarishaji na muimbaji wa kundi la Navy Kenzo, Nahreel.Hitmaker huyo wa Salome ameonyeshwa kufurahishwa na Nahreel kwa kukitambulisha kipaji cha rapper wa kike kutoka lebo ya The Industry, Rosa Ree.

Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika:


A big birthday wishes to the Most talented Bway @nahreel … Unapambana sana Mwanangu, Mungu aendelee kukufungulia wewe pamoja na team yako nzima ya the Industry… But all n all Shukran kwa kututambulisha kwa huyu dada…. one of My Favorite Female Rapper and Song at the moment! #OneTime @rosa_ree
 ðŸ’¥ðŸ”«
Lebo ya The Industry inawasimamia wasanii wawili akiwemo Rosa Ree na Wildad.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments