May 31, 2014

Crazy Videoz U MUST WATCH: Mastaa Wetu wa Kike Huko Instagram - Jokate, Penny na Lulu

Hizi ni SHOT  KLIP  za  video ambazo mastaa wa kike wa hapa bongo wameziachia huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM kwaahili ya ma-Fans wao... thumbnail 1 summary

Hizi ni SHOT  KLIP  za  video ambazo mastaa wa kike wa hapa bongo wameziachia huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM kwaahili ya ma-Fans wao....Jokate Mwegelo  aka Kidoti, (anaonyesha mashauzi yake  nakuzugumza KIZUNGU-Mimi sijui  wewe msikilize tu)..Elizabeth Michael aka Lulu (Huyu mtoto kama kawa anapenda mziki huyo-humu anaimba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BRAZUKA na Top Model wa Mweusi.. Anaitwa Helen Deneen Msomi wa HAVADI

#TUNAVUKA MIPAKA Huyu ni moja kati ya Model ambao ni HOT sasa hivi (Dunia Nzima)...Tofauti wa wa hapa kwetu Helen Deneen ni msomi LE... thumbnail 1 summary

#TUNAVUKA MIPAKA
Huyu ni moja kati ya Model ambao ni HOT sasa hivi (Dunia Nzima)...Tofauti wa wa hapa kwetu Helen Deneen ni msomi LEVO YA MASTAZI kutoka katika Chuo kikuu cha  Howard, Marekani. Kama ilivyo kwa ma model wengine huyu naye anajishughurisha maswala ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video ya UTUPU iliyo LEAK Yamtesa Msanii Nyota Ndogo

Mwanamuziki makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amere... thumbnail 1 summary

Mwanamuziki makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amerekodiwa video kwa siri wakati yupo chumbani anapaka mafuta huku akiwa MTUPU. Hii ilitokea baadaa kumaliza KUPAFOMU na kupelekwa CHANGING ROOM ambako ndiko video hii ilichukuliwa kwa siri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Exclusive Photo: Panapofuka Moshi? .......Penzi la KITALE na PENNY

Juzi niliposti  picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) [ ONA HAPA ] akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia kali ... thumbnail 1 summary

Juzi niliposti  picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) [ONA HAPA] akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia kali (Daah mtoto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOHARI AMTUPIA CHUCHU VIJEMBE MSIBANI.

STAA wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kumtupia vijembe kiaina msanii mwenzake, Chuchu Hans ambaye ‘anabanjuka kimalovee’ ... thumbnail 1 summary
STAA wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kumtupia vijembe kiaina msanii mwenzake, Chuchu Hans ambaye ‘anabanjuka kimalovee’ na mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya RJ, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROSE NDAUKA AJIBU TUHUMA ZA KUPORA WAUME ZA WATU!

Wiki iliyopita katika Exclusive Interview tuliona sehemu ya kwanza ya Rose Ndauka alivyoeleza kuwa aliwamwaga wanaume na kutulia na Mal... thumbnail 1 summary


Wiki iliyopita katika Exclusive Interview tuliona sehemu ya kwanza ya Rose Ndauka alivyoeleza kuwa aliwamwaga wanaume na kutulia na Maliki. Wawili hao kwa sasa wanaogelea katika penzi zito na mikakati thabiti ya ndoa imeshaanza, wanatarajia kuoana baadaye mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking!! GEORGE TYSON WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA.

 George Tyson enzi za uhai wake. thumbnail 1 summary


 George Tyson enzi za uhai wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

May 29, 2014

Leo ni BirthDay ya Mzee Mengi...K-Lyinn Amtumia Salamu

Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya... thumbnail 1 summary

Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia  salamu mzazi mwenzie  kwa kuweka picha hii:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha za Ray C Akiwa Mtaani Leo, Kuhamasisha Mateja Kuacha Unga

Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba y... thumbnail 1 summary

Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kuskia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa......Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......Ray C Foundation Pamoja inawezekana...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rafiki yake Corazon Achafua Hali ya Hewa Mitandaoni

Rafiki yake mwanadada Corazon, ajulikanae kwajin la  Beverly Masilla ameingia kwa kasi kwenye Modelling na fufanya wadua tupagawezaidi.... thumbnail 1 summary


Rafiki yake mwanadada Corazon, ajulikanae kwajin la  Beverly Masilla ameingia kwa kasi kwenye Modelling na fufanya wadua tupagawezaidi.....na wshindani wake wajipange zaidi......Heeee yaani bahari imechafuka...Tazama picha zake....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtindo Mpya wa Nywele za Beyonce..Tafadhari dada zetu!!

Jana kupitia akauti yake ya INSTAGRAM mwana mama Beyonce aliweka picha kuonyesha mtingo mpya wa nywele zake...Nywele hizo ni ndefu san... thumbnail 1 summary

Jana kupitia akauti yake ya INSTAGRAM mwana mama Beyonce aliweka picha kuonyesha mtingo mpya wa nywele zake...Nywele hizo ni ndefu sana  na zinarangi rangi kama unavyoziona pichani kiufupi inaonekani ni Gharama sana kuzitengeneza (ndio kweli wenyewe)..Kwahiyo basi kwaniaba ya jamaa zangu wote ambao TUNAHUDUMIA ninaomba STYLE HII isifike bongo na kama ikifika mamlaka husika ziipige marufuku....Tumechoka!!!!..Ni mimi mdau wa BONGO PUBLISHA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu ni nani? Kuwa na ushawishi namna hii?

Leo hii nataka kukuja hivi huyu Wema Sepetu ni nani? kwamaana kuwa anafanyanini hapa nchini hadi kuwa mtu maarufu kihivyooooo na hadi ... thumbnail 1 summary

Leo hii nataka kukuja hivi huyu Wema Sepetu ni nani? kwamaana kuwa anafanyanini hapa nchini hadi kuwa mtu maarufu kihivyooooo na hadi kuwa na mashabiki ambao wameapa kumpenda na kusapoti kila anachokifanya hata kama ni Negative (mara nyingi huwa -)......Mbali ya wale wanamfuatilia kupitia magazeti ya UDAKU (uswazi ndio wengi hawa)..kwenye mitandao ya kijamii kama FESIBUKU, TWITA na INSTAGRAMU kuna vikundi na watu mmoja mmoja wanao simama upande wawema  kwamajiana tofauti tofauti...Kwapamoja wanajiita TEAM WEMA (Naamini wanaisoma hii)

Huyu ndio wema ninaye mjua mimi!!


Kwakifupi mimi binafsi nilimsikia Wema Sepetu  kwa mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2006 akiwa  mshindi wa taji la MISS TANZANIA 2006....(Kama unakumbuka ushindi wake uliandamwa na kashfa za rushwa za ngono, na fitina kibao)..Baada ya hapo hakufanya vizuri kwenye mashindaono ya MISS WORLD ya mwaka huo akiwa kama mshiriki kutoka TANZANIA. (Enzi hizo  nahisi Diamond
alikuwa hana hata Simu ya mkononi)
Baada ya hapo zikafuata kashfa mbalimbali za Ku-DATE na mstaa Kadhaa kuanzia  wa muziki, maigizo, Madingi nk  (List  ya majina ni ndefu sana itatujazia page)

Miaka ya hivi karibuni akaibukia Bongo Movie na kuwa muigizaji, na kacheza filamu kadhaa (Enzi za kila demu mzuri au miss anaingia kwenye tasnia). Enzi ya ZE GRETI KANUMBA (R I P, bro wewe ndio MUINZIGA HUKU)....Kama kawa huku nako alifanya vizuri kidogo (kibongo bongo)
FOMEKINGI LONGI STORY SHOTI 
Hatimaye akatua kwenye mikono ya Diamond baada ya kuwa na mastaa kadhaa (Daah hapa kuna ka -list tena kabla ya Diamond)

Kwasasa ni C E O wa kampuni yake ya ENDLESS FAME (kua yake au sio yake hapa sio Ishu) inayojishughulisha ya maswala ya MOVIES PRODUCTION, NK..Ambayo aliifungua siku za hivi karibuni. Mwisho kabisa nimeambiwa anakipindi kwenye TV, sijajua kinaitwaje BUT nasikia anajizungumzia mwenyewe na maisha yake....akiwa na wale jamaa zake (and of coz bila kumsahau Meneja wake......hehehehe)

And business as usually, Kila siku yupo kwenye Media na skendo tofauti tofauti mara kagombana na huyu kisa BWANA, mara Ndugu wa Diamond hawamtaki...basi ilimladi watu wamsikie tu (Diamond alishaeleza mara kadhaa kuwa Wema huwa anazipeleka mwenyewe skendo kwa magazeti ya UDAKU-Nanasikia mwaka huu wamempa na TUZO).

Sasa kwanini nimeuliza:


Kwanza kabisa  ni kweli Story za Wema ndio zinazoongoza kwa kusomwa na wapenda Udaku watu wa Blogu (Kama mimi), Magazeti ya Udaku, majarida na Radio,TV watakubaliana namimi kuwa story za huyu MDADA siauza sana (Kwahiyo zinapendwa)

Kwenye mitandao ya kijamii Wema Sepetu ana watuwengi zaidi wanao mfuatilia kuzidi mastaa wote wa hapa BONGO:  Tuanze na FESIBUKU ana LIKES zaidi ya LAKI MOJA, TWITA na Followers zaidi ya ELFU THEMANINI, INSTAGRAM ana Followers zaidi ya LAKI NA ISHILINI...Hatari Sana...hakuna staa yoyote anamkaribia kwanye hili.





Akounti za TEAM Wema nazo zina watu wakutosha  (Kazi yao kubwa ni kusifia na kusafisha hali ya hewa kama Wema amaichafua)
Kwamfano ipo hii inajiita WEMA REPLIES wapo INSTAGRAM  (Hawa kutwa wao wema tu)


Sasa facts zipo hivi:

Kwenye U-MISS; Hivi Wema anamfikia kweli Nancy Sumari ambaye alitwaa taji la Afrika?
Kwenye Kuigiza; Hivi  Wema anauwezo gani wakumzidi Johari au Monalisa?
Kwenye TV: Hivi kipindichake kina ubunifu na mvuto gani? unawza kufananisha na kipindi kama wanawake LIVE,au Mkasi?
 
Nikweli kwamba Wema hana chakumfanya awe hivi alivyo....Naomba wadau mnisaidie kuniambia

HUYU WEMA NI NANI KUWA USHAWISHI KIASI HICHI?......

Ni mtazamo tu!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA VIDEO MPYA YA BABY MADAHA - NAWAPONDA

First lady wa Candy n Candy, Baby Madaha ameachia video ya wimbo wake Nawaponda. Itazame hapa na utoe maoni yako. Ni kali ama kamiss?  thumbnail 1 summary
First lady wa Candy n Candy, Baby Madaha ameachia video ya wimbo wake Nawaponda. Itazame hapa na utoe maoni yako. Ni kali ama kamiss? 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA MAZISHI YA SHUJAA WA KAMERA MAXMILIAN NGOBE,ALIYEKUWA MPIGA PICHA MLIMANI TV

Picha ya marehemu Max iliyopambwa kwa maua msibani, katika viwanjwa vya leaders hii leo. thumbnail 1 summary
Picha ya marehemu Max iliyopambwa kwa maua msibani, katika viwanjwa vya leaders hii leo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDO YULE BWANA MPYA WA IRENE UWOYA CHEKI HAPA FULL MCHAPO

Wiki chache tangu kutoka kwa taaarifa za uhusiano wa kimapenzi kati ya Ney wa Mutego na Irene Uwoya ingawa Ney alikataa,leo kuna zingin... thumbnail 1 summary


irene
Wiki chache tangu kutoka kwa taaarifa za uhusiano wa kimapenzi kati ya Ney wa Mutego na Irene Uwoya ingawa Ney alikataa,leo kuna zingine ambazo pia zinamhusu Irene Uwoya na msanii anaesemekana waliingia kwenye makubaliano ya kuwa mtu na meneja wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MMILIKI WA KLABU YA MANCHESTER UNITED AFARIKI

Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85. MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na... thumbnail 1 summary



Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.
MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAUME FAHAM WANAWAKE WANAPENDA NINI KUTOKA KWA WANAUME

Kama mwanaume lazima upate wakati  wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili  ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.  USAFI BINAFS... thumbnail 1 summary


Kama mwanaume lazima upate wakati 
wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili 
ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua. 
USAFI BINAFSI 
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda 
sana usafi. Ni aghalabu sana kukutana na 
mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana 
wanaitwa mapambo ya nyumba au la 
nyumba! Ni kwa sababu ya hulka yao ya 
kupenda sana usafi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YABAINIKA: KUMBE MCHUMBA WA VICKY KAMATA NI KIWEMBE, AMESHATEMBEA NA MADUU KIBAO

Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu: thumbnail 1 summary


Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkuu wa jeshi aponea chupu chupu ya kifo huko Somalia.

Mkuu wa jeshi la Somalia ameponea chupuchupu kuuawa mjini Mogadishu. thumbnail 1 summary



Mkuu wa jeshi la Somalia ameponea chupuchupu kuuawa mjini Mogadishu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha ya Jason Derulo na Mpenzi Jordin Sparks Wakiwa Kwenye KWICH-KWICH-INSTAGRAM

#KWICH-KWICH: Picha ya Jason Derulo ambaye ni msanii mkubwa wa R&B nchini Marekani akiwa kitandani na mpenzi wake Jordin Sparks am... thumbnail 1 summary

#KWICH-KWICH: Picha ya Jason Derulo ambaye ni msanii mkubwa wa R&B nchini Marekani akiwa kitandani na mpenzi wake Jordin Sparks ambaye pia ni mwanamziki mkubwa..imekuwa HABARI YA MJINI:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na Flavian Matata -A True Tanzanian beauty queen and fashion model

Sina mengi, huyu ameshafanya mengi kwa jamii, amevutia wengi kufuata nyayo zake, hana SKENDO za kutengeneza au kuwa na  makusundi ya... thumbnail 1 summary


Sina mengi, huyu ameshafanya mengi kwa jamii, amevutia wengi kufuata nyayo zake, hana SKENDO za kutengeneza au kuwa na  makusundi ya Udaku... sijui TEAM nani...Nyota yake ilianzakung'ara tangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uwii:MTangazaji wa KISS 100 FM Amchana Vera Sidika LIVE!! Kwa Kujichumbua!-Mpoki cha Mtoto

Vera  (Kushoto)- Caroline (Kulia) Mtangazaji wa  KISS 100 MF, Kenya Caroline Mutoko jana ameibuka na kumchana mwandada  VERA SIDIK... thumbnail 1 summary

Vera  (Kushoto)- Caroline (Kulia)
Mtangazaji wa  KISS 100 MF, Kenya Caroline Mutoko jana ameibuka na kumchana mwandada VERA SIDIKA (Huyu ni moja kati ya MODELS wanaosumbua Afrika Mashariki) kwakujibadilisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

#PICHA: Muonekako mpya wa LULU...unamuonaje?!

Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya 80)...yaaani ana  TV personality toka LONG , kwa hapa Bong... thumbnail 1 summary

Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya 80)...yaaani ana  TV personality toka LONG , kwa hapa Bongo ni staa wetu tumependwa na wengi (pamoja na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE:Orodha ya Wanawake 100 Wenye Nguvu Zaidi Duniani 2014

Forbes ni jarida maarufu sana duniani ambalo limekuwa lifanya na kutoa tafiti mabimbali.  Exclusively   sasa wametoa orodha ya wanawak... thumbnail 1 summary

Forbes ni jarida maarufu sana duniani ambalo limekuwa lifanya na kutoa tafiti mabimbali. Exclusively sasa wametoa orodha ya wanawake wenge nguvu zaidi duniani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

May 28, 2014

MISS TANZANIA 2001 MILLEN MAGESSE AFUNGUKA LIVE KUWA HAWEZI KUPATA MTOTO SOMA SABABU HAPA LIVE!!

  Warren Justin Ballaigwa "Dah !nimemsikiliza Happiness Magesa miss tz 2001 akielezea matatizo aliyonayo yanayosab... thumbnail 1 summary

"Dah !nimemsikiliza Happiness Magesa miss tz 2001 akielezea matatizo aliyonayo yanayosababisha asipate mtoto ni maumivu ya Hedhi .Nimesononeka sn lakini nimepata faraja kwa kuwa amekubali tatizo......."

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAIROBI'S UNDISPUTED BAD GIRL VANESSA CHETTLE STEPS OUT IN A KILLER SEXY WHITE BIKINI!!! SEE PICS

She is never shy of flaunting her well-toned body. The more skin she exposes the better for her. In a recent pool party, she decid... thumbnail 1 summary
She is never shy of flaunting her well-toned body. The more skin she exposes the better for her. In a recent pool party, she decided to bare it all in a super sexy white bikini. This girl is

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKIONA HIZI PICHA ZA DILLISH MSHINDI WA BIG BROTHER LAZIMA UCHANGANYIKIWE, tazama hapa

mmmm mwana dada dilish ni mkali ile mbaya HOT kwamapoz na picha bila kuacha mavazi aliyo vaakwa thumbnail 1 summary
mmmm mwana dada dilish ni mkali ile mbaya HOT kwamapoz na picha bila kuacha mavazi aliyo vaakwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKUBWA TU!!!LAANA HII!!!!VIDEO YA BINTI WA KIBONGO KUTOKA VISIWANI AKICHEZA NUSU UCHI...!

Katika pitapita  Nimekutana na moja ya video nyingi ambazo dada zetu hupenda kurekodiwa na mabwana zao bila kujua athari zake kwa tasw... thumbnail 1 summary

Katika pitapita  Nimekutana na moja ya video nyingi ambazo dada zetu hupenda kurekodiwa na mabwana zao bila kujua athari zake kwa taswira zao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE UNAFAHAMU KWANINI WANAUME WANAONGOZA KWA KUTOKA NJE YA NDO...?? Soma hapa..

  Uvaaji wa wanawake wa namna hii huamsha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume kwa kiwango kikubwa sana.... Carol Botwin ambaye ni mtaa... thumbnail 1 summary
Uvaaji wa wanawake wa namna hii
huamsha hamu ya tendo la ndoa kwa
mwanaume kwa kiwango kikubwa sana....
Carol Botwin ambaye ni mtaalamu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mume amshtaki mkewe kwa kumyima UNYUMBA

Majaji waliamua kuwa mkewe Mason hakufanya kosa lolote Kuna kisa kimeibuka nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina Da... thumbnail 1 summary

Majaji waliamua kuwa mkewe Mason hakufanya kosa lolote
Kuna kisa kimeibuka nchini Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Eti Kwanini Mabinti wa Kitanga Wanagombaniwa?

Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Unasuki na wengine wanasema eti Mwanaume... thumbnail 1 summary

Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Unasuki na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Is This Risper Faith’s New Man? (PHOTOS)

Risper Faith has been embroiled in love-hate relationships in the past with one of the men who she’d dated turning round an d accusing h... thumbnail 1 summary

1

Risper Faith has been embroiled in love-hate relationships in the past with one of the men who she’d dated turning round an d accusing her of stealing from him but she seems

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USTAKE NCHEKE: KWA JIRANI KUNA MAMBO USIPIME ... share share share !!!

Jamaa alichora mstari akamwambia mke wa mpangaji mwenzie thumbnail 1 summary

Jamaa alichora mstari akamwambia mke wa mpangaji mwenzie

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMA KWELI PESA MPENZI BORA: CHECK MASANJA MUONEKANO WAKE MPYA NOMA SAAAAANA

Masanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika... thumbnail 1 summary

Masanja-Mkandamizaji-vibe-co-tzMasanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE USIPITWE: WANAUME WENGI WAMEKUWA WAKIPENDA MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO FAHAMU JINSI YA KUFANYA MAMBO MPAKA KILIO

   Wanaume wengi hupenda sana “ngono ya mdomo” na wanawake wengi pia hupenda ngono ya namna hiyo kwaniwana enjoy sana, lakini ukweli ni ku... thumbnail 1 summary
  Wanaume wengi hupenda sana “ngono ya mdomo” na wanawake wengi pia hupenda ngono ya namna hiyo kwaniwana enjoy sana, lakini ukweli ni kuwa hutakiwi kchukua muda mrefusana ili mwanamke abaki na hamu ya kufanya mapenzi.Hivyo haiwezekani uchukue muda mrefu sana kwa vile unapochezea kisimi na kisha mwanamke kufika kileleni anahitaji muda wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PATA KUFAHAMU MABADILIKO YA BIG BROTHER INAYOKUJA SOOOON

Imezoeleka  kuwa  shindano   la  Big Brother  Africa  huwa linaanza mwezi May lakini la mwaka huu 2014 kutokana na kombe la dunia, litaan... thumbnail 1 summary

Imezoeleka  kuwa  shindano   la  Big Brother  Africa  huwa linaanza mwezi May lakini la mwaka huu 2014 kutokana na kombe la dunia, litaanza September 7 ikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: