May 10, 2014

MWANAHARAKATI NCHINI MAREKANI AFUNGUKA LIVE KUWA BEYONCE NI GAIDI!!

Mwanaharakati wa masuala ya wanawake na profesa wa Marekani, Gloria Jean Watkins maarufu kama ‘bell hooks’ amemuita Beyoncé kuwa ni gaid... thumbnail 1 summary
image
Mwanaharakati wa masuala ya wanawake na profesa wa Marekani, Gloria Jean Watkins maarufu kama ‘bell hooks’ amemuita Beyoncé kuwa ni gaidi kwa jinsi anavyowaharibu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAHARAKATI NCHINI MAREKANI AFUNGUKA LIVE KUWA BEYONCE NI GAIDI!!

Mwanaharakati wa masuala ya wanawake na profesa wa Marekani, Gloria Jean Watkins maarufu kama ‘bell hooks’ amemuita Beyoncé kuwa ni gaid... thumbnail 1 summary
image
Mwanaharakati wa masuala ya wanawake na profesa wa Marekani, Gloria Jean Watkins maarufu kama ‘bell hooks’ amemuita Beyoncé kuwa ni gaidi kwa jinsi anavyowaharibu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAULI YA DIAMOND YA KUSHANGAZA JUU YA NYIMBO YAKE MPYA ILIYOTOKA LEO "KITORONDO"

Wimbo ulio patakikana kwenye mitandao wa Diamond “Kitorondo” ana dai wimbo huo umevuja na hajui aliovujisha ni nani hii ndio kauli y... thumbnail 1 summary

Wimbo ulio patakikana kwenye mitandao wa Diamond “Kitorondo” ana dai wimbo huo umevuja na hajui aliovujisha ni nani hii ndio kauli yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIDA AELEZA SABABU YA KUACHANA NA Q CHILLAH

Mwanadada Hadija Seif (Dida’s Fashion) aliyekuwa mke wa ndoa wa msanii wa muziki Q Chillah amefunguka kisa kilicho afanya waachane pamoja n... thumbnail 1 summary

http://www.baabkubwamagazine.com/wp-content/uploads/2014/05/page9.jpgMwanadada Hadija Seif (Dida’s Fashion) aliyekuwa mke wa ndoa wa msanii wa muziki Q Chillah amefunguka kisa kilicho afanya waachane pamoja na jitihada

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA JINSI MTUHUMIWA HUYU WA WIZI AKISHUSHIWA KIPIGO KIKALI NA WANANCHI

Jamaa wawili wanaotuhumiwa kuwa wezi, nusura wauawe kwa kuchomwa moto na raia waliamua kuchukua sheria mkononi baada ya kula kichapo ‘... thumbnail 1 summary

Jamaa wawili wanaotuhumiwa kuwa wezi, nusura wauawe kwa kuchomwa moto na raia waliamua kuchukua sheria mkononi baada ya kula kichapo ‘hevi’ kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

[EXCLUSIVE] WIMBO MPYA WA DIAMOND “KITORONDO” AMBAPO NI UJIO WAKE MPYA… USIKILIZE/DOWNLOAD HAPA!.

Baada ya kunyakua tuzo saba kwa mpigo Nassib Abdul “Diamond Platnumz” ameachia nyimbo yake nyengine kwa jina  Kitorondo  ambapo thumbnail 1 summary

Baada ya kunyakua tuzo saba kwa mpigo Nassib Abdul “Diamond Platnumz” ameachia nyimbo yake nyengine kwa jina Kitorondo ambapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jackline Wolper: Wanaosema Kifo Cha Kanumba Kimeshusha Soko La Filamu Ni Waongo.

Muigizaji wa filamu mwenye jina kubwa nchini Jackline Wolper amesema kuwa watu wanaosema kuwa soko la filamu nchini limeshuka baada ya ... thumbnail 1 summary

Muigizaji wa filamu mwenye jina kubwa nchini Jackline Wolper amesema kuwa watu wanaosema kuwa soko la filamu nchini limeshuka baada ya Kanumba kufariki ni waongo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Steve Nyerere ampa ONYO Wema Sepetu....

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaa... thumbnail 1 summary


MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na kuepuka umaarufu bila kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUVI INAENDELEA: KAMPUNI YA WEMA SEPETU YATOA TAMKO RASMI KUHUSU KAJALA...!!!

Kampuni ya filamu ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, leo imetoa kauli yake kuhusiana na ugomvi wa mmiliki wa kampuni hiyo na aliyekuwa ... thumbnail 1 summary

Kampuni ya filamu ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, leo imetoa kauli yake kuhusiana na ugomvi wa mmiliki wa kampuni hiyo na aliyekuwa rafiki yake wa karibu Kajala Masanja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJANGA: DIDA AZUA TIMBWILI BAADA YA KUNG'ANG'ANIWA NA MWANAMKE MWENZAKE....!!!!

  Stori: Richard Bukos DUNIA ina mambo! Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ amezua timbwili baada ya thumbnail 1 summary
 
Stori: Richard Bukos
DUNIA ina mambo! Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ amezua timbwili baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII NISHA ATOA SABABU ILIYOSABABISHA KUMWAGANA NA NAY WA MITEGO, ASEMA ALITAMANI SANA KUOLEWA NAE LAKINI SASA MMH...!

Msanii wa maigizo Salama Jabu maarafu kama Nisha amefunguka na kueleza sababu kubwa iliyomfanya kusitisha penzi lake na mwanabongo flava ... thumbnail 1 summary

Msanii wa maigizo Salama Jabu maarafu kama Nisha amefunguka na kueleza sababu kubwa iliyomfanya kusitisha penzi lake na mwanabongo flava Nay wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NORA AFUNGUKA KUACHIKA KWENYE NDOA

BAADA  ya kusoma Exclusive Interview ya staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’, leo katika kona hii tunakuletea mwanadad... thumbnail 1 summary

BAADA ya kusoma Exclusive Interview ya staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’, leo katika kona hii tunakuletea mwanadada mkongwe katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASANJA LIVE AKICHATI WAKATI WA MAOMBEZI

MSANII mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ amenaswa akichati kwenye simu wakati viongozi wa d... thumbnail 1 summary


MSANII mahiri wa komedi ambaye pia ni Mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mgaya ‘Masanja’ amenaswa akichati kwenye simu wakati viongozi wa dini wakishusha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA KUFUNGA NDOA NA MENEJA WAKE NCHINI NAIROBI MWEZI NOVEMBER

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake, Joe Kariuki wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu nchini Kenya jijini... thumbnail 1 summary

MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha na meneja wake, Joe Kariuki wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu nchini Kenya jijini Nairobi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ELIMU KWA KIJANA:KUTO KUKATA TAMAA NI ISHARA YA MAFANIKIO

Kuanza safari sio ishara ya kumaliza,kua na ndoto sio ishara kwamba itatimia na pia kua na shahada nzuri katika masomo sio ishara kwamba... thumbnail 1 summary
Kuanza safari sio ishara ya kumaliza,kua na ndoto sio ishara kwamba itatimia na pia kua na shahada nzuri katika masomo sio ishara kwamba
Umeshinda maisha hivyo ni vizuri kutambua umuhimu wa kuto kukata tamaa katika maisha kwasababu hiyo tu ndio ishara inayoleta tofauti kati ya mwenye hatima na mwenye safari fupi.
Ni muhimu kutambua kwamba unapokua na kitu kizuri basi lazima
Kutakutana na changamoto kwasababu tunaishi katika ulimwengu ambao utakushusha kila unapotaka kupanda ngazi ya mafanikio.
Changamoto ni moja ya dalili kwamba una kitu kizuri mbele yako na
Kama wewe una ndoto ambayo haina changamoto basi jua haitadumu
Kwasababu uimara wa ndoto yako ni ushindi unaopata katika kuzikabili
Changamoto zako. Ni muhimu kutambua kwamba changamoto ni
Kitu cha kawaida katika maisha ya mwanadamu na kama wewe hupendi
Changamoto basi hupendi kufanikiwa. Hakuna kitu kinachokua imala bila kupitia katika mazingira magumu. Mtazamo wako kuhusu changamoto ndiyo utakao kufanya ushinde ama zikushinde hizi changamoto.wenye mtazamo wa mafanikio wanaona changamoto kama dalaja la mafanikio na wasio na mtazamo mzuri wanaona changamoto kama kizuizi cha mafanikio na ukishakua na mtazamo kama huo basi utakua ni mtu wa kukwazika kila mara unapopitia Hali isiyo ya kawaida.   kwa mawasiliano au kujua zaidi.....



Facebook page: Elly David Tanzania


Tel:0688 440029

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA VIDEO MPYAA KABISA YA P-SQUARE "TASTE THE MONEY"..JIONEE HAPA

Baada ya Kumaliza Tofauti zao Kundi Bora kutoka Nchini Nigeria lijulikanalo kama  P.Squre linaloundwa na wasanii wawili Paul Okoye na Pater... thumbnail 1 summary
Baada ya Kumaliza Tofauti zao Kundi Bora kutoka Nchini Nigeria lijulikanalo kama  P.Squre linaloundwa na wasanii wawili Paul Okoye na Pater Okoye wakiwa ni mapacha,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NJIA ZA KUTONGOZA MWANAMKE AKAKUPENDA MILELE..!!!! SOMA HAPA KUZIJUA

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya b... thumbnail 1 summary

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKIN NEWZZ:- US MARINE WAANZA KUWANASA WAASI WA BOKO HARAM NIGERIA ONA HAPA LIVE!!

US Marines currently in Nigeria to help the government combat Boko Haram terrorists have made their first arrests taking two male suspe... thumbnail 1 summary

altUS Marines currently in Nigeria to help the government combat Boko Haram terrorists have made their first arrests taking two male suspects into custody after they were

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SKENDO YA USAGAJI: BINTI WA 1992 AKILI KUA NA MAHUSIANO NA MASTAA 2 TOFAUTI

“Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na b... thumbnail 1 summary

“Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA ALIVYOONYWA JUU YA RAFIKI ZAKE KUMSALITI ....HIVI NDIVYO ALIVYOJIBU

Naomba nikukumbushe kwa ufupi namna Wema alivymeet na Diamond na Usaliti ulivyoanza na alijibu nini kila aliposalitiwa na rafiki zake wa... thumbnail 1 summary
Naomba nikukumbushe kwa ufupi namna Wema alivymeet na Diamond na Usaliti ulivyoanza na alijibu nini kila aliposalitiwa na rafiki zake wa karibu;

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: