August 01, 2015

LOWASSA Aahidi Kuishinda CCM Uchaguzi Mkuu 2015

Waziri mkuu wa Zamani Edward Lowassa amewaahidi wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema pamoja na wale wa umoja wa katiba ... thumbnail 1 summary
Waziri mkuu wa Zamani Edward Lowassa amewaahidi wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema pamoja na wale wa umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka 2015.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbunge wa CCM Awakimbia TAKUKURU Ni Baada Ya Kunaswa Akigawa RUSHWA Kwa Wapambe Wake

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Manyara, imemhusisha Mbunge wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (pichani kulia... thumbnail 1 summary

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Manyara, imemhusisha Mbunge wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (pichani kulia), na tuhuma za kutoa hongo katika kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shetta hasafiri tena na Basi?Mengine yapi yamebadilika kwake?

Ukubwa wa hit singo za wasanii wa Tanzania huwa zinabadilisha vitu vingi sana ukiachana na vile vinavyoonekana moja kwa moja vipo ambavyo... thumbnail 1 summary
Ukubwa wa hit singo za wasanii wa Tanzania huwa zinabadilisha vitu vingi sana ukiachana na vile vinavyoonekana moja kwa moja vipo ambavyo pengine mpaka upate nafasi ya kuviuliza ndipo ufahamu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Man United imekubali kubadili jezi kwa kiasi hiki cha Pesa

Baada ya miaka 13 ya matumizi ya jezi za Nike kwa klabu ya Manchester United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika msim... thumbnail 1 summary

Baada ya miaka 13 ya matumizi ya jezi za Nike kwa klabu ya Manchester United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika msimu wa 2015/2016. Man Unitedwatatumia jezi zitakazokuwa zinatengenezwa na kampuni ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na uwanja huu wa mpira wa miguu unaobadilika rangi (pichaz & video) ziko hapa

Ujerumani ni moja kati ya nchi zinazofanya vizuri katika dunia ya soka lakini pia iliwahi kuandaa michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2006… ... thumbnail 1 summary
Ujerumani ni moja kati ya nchi zinazofanya vizuri katika dunia ya soka lakini pia iliwahi kuandaa michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2006… Sifa ya nchi hiyo sio tu kuandaa michuano mikubwa bali hata kuwa na viwanja vizuri kama Olympiastadion na Allianz Arena.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Linah kaisogeza na hii nyingine kutoka kwenye mikono ya Godfather South Africa- ‘No Stress’ (Video)

Linah Sanga  amerudi kuziandika headlines kwa mara nyingine weekend hii, baada ya kuachia audio ya wimbo wake mpya  No Stress   ameon... thumbnail 1 summary
linah
Linah Sanga amerudi kuziandika headlines kwa mara nyingine weekend hii, baada ya kuachia audio ya wimbo wake mpya No Stress ameona atusogezee na video

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: