December 21, 2016

Serikali imeanza kupokea maoni juu ya muswada wa habari

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kusaini muswada wa habari, serikali imeanza kupokea maoni kwaajili... thumbnail 1 summary


Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kusaini muswada wa habari, serikali imeanza kupokea maoni kwaajili ya muswada huo.



Hii taarifa yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utafiti: Uwezo wa wanawake kushika mimba washuka Tanzania

Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka... thumbnail 1 summary


Viwango vya wanawake kuweza kupata mimba nchini Tanzania vimepungua hadi 5.2 kwa kila mwanamke nchini Tanzania mwaka 2015/2016 kutoka 6.2 kwa kila mwanamke miaka ya 1991/92, kulingana na utafiti wa afya nchini humo.

Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen, utafiti huo uliofanywa na kutolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) nchini Tanzania wiki iliopita unaonyesha kushuka kwa viwango vya uwezo wa kushika mimba miongoni mwa wanawake .

Kwa mfano mwaka 1996 ripoti hiyo inaonyesha watoto 5.8, mwaka 2004/05} ni watoto 5.7 mwaka 2010 ni watoto 5.4.

Utafiti huo pia ulibaini kwamba wanawake wanaoishi mashambani nchini humo wana uwezo mkubwa wa kushika mimba ikilinganishwa na wenzao wanaoishi mijini.

Gazeti hilo linasema kuwa wanawake wa mashambani wana uwezo wa kupata watoto 6 kwa kiwango cha wastani ikilinganishwa na wenzao wa mijini walio na uwezo wa kupata watoto watatu kwa wastani.

Wanawake kisiwani Zanzibar hupata watoto watano kwa kiwango cha wastani.

Ripoti hiyo pia inasema kuwa uwezo wa kushika mimba unatofautiana na elimu pamoja na hali ya kiuchumi.

Uwezo huo hupungua kulingana na kuongezeka kwa mali kulingana na ripoti hiyo, ikiongeza kuwa wanawake wanaoishi katika maeneo masikini wanapata watoto 7 ikilinganishwa na watoto 3 miongoni mwa wanawake wanaoishi katika maeneo ya kitajiri.

Ripoti hiyo pia imebaini kwamba wanawake nchini Tanzania walianza kushiriki ngono mwaka mmoja kabla ya wanaume.

Mwaka ambao wanawake huanza kushiriki ngono ni miaka 17 ikilinganishwa na wanaume ambao ni miaka 18.

Wanawake walio na elimu ya upili ama ile ya juu hushiriki ngono zaidi ya miaka mitatu baadaye ikilinganishwa na wanawake wasio na elimu ikiwa ni miaka 19 dhidi ya 16.

Wanawake huolewa miaka miwili baada ya kushiriki ngono katika mwaka wa 19.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wenger: Nilikuwa nahofia sana kumchezesha Sanchez kama mshambuliaji wa kati

kocha Arsene Wenger amesema kuwa mwanzoni alipatwa na hofu kwamba alikuwa anafanya makosa kumchezesha Alexis Sanchez kwenye nafasi ya... thumbnail 1 summary


kocha Arsene Wenger amesema kuwa mwanzoni alipatwa na hofu kwamba alikuwa anafanya makosa kumchezesha Alexis Sanchez kwenye nafasi ya mchambuliaji wa kati awapo uwanjani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kokoro na Muziki zote zinahit kwa mpango wake – Rich Mavoko

Kuna imani kuwa wimbo wa Darassa, Muziki umezifunika nyimbo nyingi zilizotoka pamoja, ukiwemo Kokoro wa Rich Mavoko aliomshirikisha D... thumbnail 1 summary


Kuna imani kuwa wimbo wa Darassa, Muziki umezifunika nyimbo nyingi zilizotoka pamoja, ukiwemo Kokoro wa Rich Mavoko aliomshirikisha Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Siri ya mahusiano ya Drake na Jennifer Lopez yaanza kuvuja

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa sasa Drake na Jennifer Lopez wakawa na mahusiano ya kimapenzi. thumbnail 1 summary


Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa sasa Drake na Jennifer Lopez wakawa na mahusiano ya kimapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ahukumiwa jela miaka 25 kwa kusafirisha meno ya tembo

Mahakama ya hakimu mkazi Tanga imemhukumu kwenda jela miaka 25 na faini ya shilingi bilioni 4 mfanya biashara Michael Kijangwa baada ... thumbnail 1 summary


Mahakama ya hakimu mkazi Tanga imemhukumu kwenda jela miaka 25 na faini ya shilingi bilioni 4 mfanya biashara Michael Kijangwa baada ya kupatikana na kosa la kusafirisha meno ya tembo yenye uzito wa tani elfu 5

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi ndio mechi ambazo atakosa Jamie Vardy baada ya FA kukataa rufaa yake

Mshambuliaji wa klabu ya Leicester, Jamie Vardy baada ya timu yake kukata rufaa kupinga kadi nyekundi aliyo pewa wakati mchezo dhidi ya Sto... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa klabu ya Leicester, Jamie Vardy baada ya timu yake kukata rufaa kupinga kadi nyekundi aliyo pewa wakati mchezo dhidi ya Stoke City, chama cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video/Picha: Watu 29 wapoteza maisha kufuatia mlipuko wa fataki Mexico

Milipuko imelikumba soko la fataki maarufu lililopo kaskazini mwa Mexico City Jumanne na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 29 na kusababis... thumbnail 1 summary
Milipuko imelikumba soko la fataki maarufu lililopo kaskazini mwa Mexico City Jumanne na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 29 na kusababisha moshi mkubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000 (Video)

Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, ameb... thumbnail 1 summary
Mhanga wa biashara ya usafirishaji watu aliyebakwa mara 43,000 hadi kufikia umri wa miaka 16 baada ya kuchukuliwa akiwa na miaka 12, amebadilisha maisha yake kusaidia watu wengine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waajiri waagizwa kuwasilisha makato ya fidia kwa wakati

SERIKALI imewaagiza Waajiri wote nchini kuwasilisha kwa wakati michango ya mafao ya fidia kwa wafanyakazi ili kuwawezesha watumishi wao kup... thumbnail 1 summary
SERIKALI imewaagiza Waajiri wote nchini kuwasilisha kwa wakati michango ya mafao ya fidia kwa wafanyakazi ili kuwawezesha watumishi wao kupata huduma za matibabu pindi watakapoumia au kuugua wakiwa katika maeneo yao ya kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Cheka adai hakupigwa India, aeleza alichofanyiwa na mwamuzi

Bondia Mtanzania Francis Cheka ambaye mwishoni mwa wiki alipoteza pambano lake nchini India alilopigana na raia wa nchi hiyo Vijender Sin... thumbnail 1 summary
Bondia Mtanzania Francis Cheka ambaye mwishoni mwa wiki alipoteza pambano lake nchini India alilopigana na raia wa nchi hiyo Vijender Singh, ameibuka na kusema kuwa mpinzani wake huyo hakumpiga, ila alibebwa na mwamuzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALI Kiba na Ommy Dimpoz Katika Kashfa ya Kutokumlipa Aliyewatungia Nyimbo ya Kajiandae.

Zimetufikia za kunyapia nyapia kutoka shirika la wambea SHILAWADU kuihusu hitsong ya wakali wawili wa muziki hapa Bongo Ommy Dimpoz naAli... thumbnail 1 summary
Zimetufikia za kunyapia nyapia kutoka shirika la wambea SHILAWADU kuihusu hitsong ya wakali wawili wa muziki hapa Bongo Ommy Dimpoz naAlikiba na ngoma yao ya Kajiandae.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mama Mzazi wa Mr. Nice Afunguka Baada ya Habari Kusambaa Kuwa Mr. Nice Amefariki.

Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba msanii wa siku nyingi wa bongofleva Mr. Nice amefariki n... thumbnail 1 summary
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba msanii wa siku nyingi wa bongofleva Mr. Nice amefariki na mwili wake upo Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mama Mzazi wa Mr. Amesema Haya:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yaliyowahi kumkuta Jennifer Lopez kwa Mariah Carey yawakuta wasanii wengine

Baada ya Mariah Carey kuwahi kutamka kuwa hamfahamu Jennifer Lopez, sasa Ariana Grande, Miley Cyrus na Demi Lovato hawajulikani pia kwa mui... thumbnail 1 summary
Baada ya Mariah Carey kuwahi kutamka kuwa hamfahamu Jennifer Lopez, sasa Ariana Grande, Miley Cyrus na Demi Lovato hawajulikani pia kwa muimbaji huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tevez akaribia kuwafunika wachezaji wote duniani

Jumapili hii mchezaji wa klabu ya soka ya Bocca Junior ya Argentina, Carlos Tevez alionekana kuwaaga mashabiki wake wa timu hiyo kuonyesh... thumbnail 1 summary
Jumapili hii mchezaji wa klabu ya soka ya Bocca Junior ya Argentina, Carlos Tevez alionekana kuwaaga mashabiki wake wa timu hiyo kuonyesha kuwa safari yake ya kuelekea kucheza kwenye ligi kuu ya China imeshaiva.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ferooz aja na kundi lake jipya ‘Wabeshi’

Ferooz ameamua kuja na kundi jipya ambalo huenda likaanzia pale ambapo Daz Nundaz iliishia. Kundi hilo liitwalo Wabeshi lipo katika studi... thumbnail 1 summary
Ferooz ameamua kuja na kundi jipya ambalo huenda likaanzia pale ambapo Daz Nundaz iliishia. Kundi hilo liitwalo Wabeshi lipo katika studio za Bongo Records kurekodi ngoma zake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni brand ya nguo? Mr Blue aonjesha logo ya mradi wake ‘Byser’

Mr Blue ameonjesha logo ya mradi wake mpya ambao anadai unakuja hivi karibuni. Japo hajasema ni kitu gani, kuna kila dalili kuwa inaweza ... thumbnail 1 summary
Mr Blue ameonjesha logo ya mradi wake mpya ambao anadai unakuja hivi karibuni. Japo hajasema ni kitu gani, kuna kila dalili kuwa inaweza kuwa ni clothing line yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndio adhabu ambayo mahakama imewapungizia Real Madrid

Klabu ya Real Madrid hatimaye imepunguziwa adhabu na mahakama ya usuluhishi ya michezo saivi wataweza kusajili wachezaji katika kipindi c... thumbnail 1 summary
Klabu ya Real Madrid hatimaye imepunguziwa adhabu na mahakama ya usuluhishi ya michezo saivi wataweza kusajili wachezaji katika kipindi cha kiangazi mwaka 2017.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: