September 03, 2014

Uhamisho mkubwa katika usajili msimu huu EPL huu hapa

Angel Di Maria [Real Madrid - Manchester United] pauni milioni 59.7 Alexis Sanchez [Barcelona - Arsenal] Pauni milioni 35 Diego Costa ... thumbnail 1 summary

Angel Di Maria [Real Madrid - Manchester United] pauni milioni 59.7 Alexis Sanchez [Barcelona - Arsenal] Pauni milioni 35 Diego Costa [Atletico Madrid - Chelsea] pauni milioni 32 Eliaquim Mangala [FC Porto - Manchester

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHISHI BBY ADAI YEYE NA NDOM HAPANA KA

Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa  miondoko ya kizazi kipya, Zuwena Mohammed ‘Sholole’ amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa ... thumbnail 1 summary
Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki
wa  miondoko ya kizazi kipya, Zuwena
Mohammed ‘Sholole’ amesema kuwa
matumizi ya kondom wakati wa
mahaba hayaleti ladha ndio maana
alilazimika kwenda kupima ngoma na
mpenzi wake Nuh Mziwanda ili
wasiwe  wanatumia kondom.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LAANA BABA AMNYONGA MWANAE WA KUMZAA NA KUMZIKA KWENYE KIBANDA CHAKE

Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi miwili , Regina Geofrey ameuawa kikatili kwa kunyongwa na baba yake mzazi Geofrey Kilngwa ... thumbnail 1 summary
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja
na miezi miwili , Regina Geofrey
ameuawa kikatili kwa kunyongwa na
baba yake mzazi Geofrey Kilngwa
‘Simbaiwe” (27) kwa kuwa alizaliwa
akiwa ameatanguliza makalio yake .
Baba wa binti huyo ambaye pia ni
mganga wa kienyeji anayeishi kitongoji
cha Mwikang’ombe, kijijicha cha
Katuma ,wilayani Mpanda alitenda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PAMOJA NA MAJUNGU YOTE YANAYOMKABILI LADY JAYDEE APATA SHAVU.. "ATEULIWA KUWA BALOZI WA KAMPENI ZA UZAZI WA MPANGO"

Hospitali ya Marie Stopes imemchagua Lady Jay Dee kuwa balozi wa kampeni ya kuhamasisha uzazi wa mpango na kupinga mimba za utotoni ina... thumbnail 1 summary

Hospitali ya Marie Stopes imemchagua Lady Jay Dee kuwa balozi wa kampeni ya kuhamasisha uzazi wa mpango na kupinga mimba za utotoni inayoitwa ‘Chagua Maisha’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUME: MKE WANGU KANICHOMA KWA MAJI YA MOTO NA MWANANGU

Ni hali ya kusikitisha na kustaajabu kwa  jamii baada ya Tunu Kimaro kummwagia maji ya moto mumewe, William Mushi (32), mkazi wa Mabib... thumbnail 1 summary

Ni hali ya kusikitisha na kustaajabu kwa  jamii baada ya Tunu Kimaro kummwagia maji ya moto mumewe, William Mushi (32), mkazi wa Mabibo  jijini Dar es Salaam pamoja na mtoto wake mchanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HALI TETE WATU MAARUFU WAANIKWA KWAPICHA CHA UCHI MITANDAONI ULAYA,MSAKOMKALI KUFANYIKA

Idara ya upelelezi ya nchini marekani FBI linachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za watu maarufu kutekwa,na kinachotafu... thumbnail 1 summary



Idara ya upelelezi ya nchini marekani FBI linachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za watu maarufu kutekwa,na kinachotafutwa hasa ni picha za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz azungumza kwa mara ya kwanza mambo 6 kuhusu fujo zilizotokea Ujerumani

Kuanzia siku tatu zilizopita stori kubwa kwenye kiwanda cha burudani Tanzania imehusu fujo zilizotokea Ujerumani kwenye show aliyokwenda ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-01 at 12.16.12 AMKuanzia siku tatu zilizopita stori kubwa kwenye kiwanda cha burudani Tanzania imehusu fujo zilizotokea Ujerumani kwenye show aliyokwenda kufanya Diamond Platnumz huko Stuttgart.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAAAH KWELI MTOTO DAYNA NYANGE MKOROGO UMEITIKA, TAZAMA PICHA KAMA MZUNGU VILE

hatimae msanii Dyna Nyange Afunguka Live!!!jana kupitia kipindi cha Full anyemo Xclusive,kirukacho ndani ya 97.7Nyemo Fm Radio na Kukiri ... thumbnail 1 summary
hatimae msanii Dyna Nyange Afunguka Live!!!jana kupitia kipindi cha Full anyemo Xclusive,kirukacho ndani ya 97.7Nyemo Fm Radio na Kukiri kua Matei

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASOGANGE ATUPIA PICHA NYINGINE TATA MTANDAONI AKILINGISHIA MAPAJA YAKE..KAZI KWENU VIDUME TAZAMA ZOTE HAPA

Eti jamani kuna mtu mwenye hipsi nzuri na kubwa kama zangu..hapa thumbnail 1 summary
Eti jamani kuna mtu mwenye hipsi nzuri na kubwa kama zangu..hapa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA: MCHINA ACHEZEA KICHAPO CHA MBWA MWIZI BAADA YA KUCHEPUKA NA MKE WA MBONGO

Mchina akichezea kichapo kwa kumshika mke wa mtu maziwa mjini Iringa ....................................... ............................... thumbnail 1 summary
Mchina akichezea kichapo kwa kumshika mke wa mtu maziwa mjini Iringa ....................................... ....................................... ..................... RAIA mmoja wa Kichina ambae jina lake halikuweza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMA JAMAA AACHA GUMZO ICE BUCKET CHALLANGE, TAZAMA NJIA ALIYOTUMIA KUJIMWAGIA MAJI YA BARAFU,

Hii imevunja rekodi na kuwa gumzo mitandao yote ya kijamii, ni kuhusu ile ice bucket challenge ambayo kwasasa ndiyo habari ya mjini ambap... thumbnail 1 summary
Hii imevunja rekodi na kuwa gumzo mitandao yote ya kijamii, ni kuhusu ile ice bucket challenge ambayo kwasasa ndiyo habari ya mjini ambapo mtu utakiwa kujimwagia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Masaa kadhaa baada ya usajili wa Kagawa Dortmund – Idadi ya jezi alizouza hii hapa

1409500115493_wps_3_DORTMUND_GERMANY_AUGUST_3 Dirisha la usajili barani ulaya limefungwa usiku wa jana – Shinji Kagawa ni mmoja wa wach... thumbnail 1 summary
1409500115493_wps_3_DORTMUND_GERMANY_AUGUST_3

1409500115493_wps_3_DORTMUND_GERMANY_AUGUST_3

Dirisha la usajili barani ulaya limefungwa usiku wa jana – Shinji Kagawa ni mmoja wa wachezaji waliofanya uhamisho katika dirisha hili la usajili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHAZ: HAPPY WASTARA AKIVINJALI MAENEO YA UFUKWENI....

Akiwa mwenye furaha na tabasamu, muigizaji wa filamu hapa Bongo, Wastara leo ameshea nasi picha hizi kupitia ukurasa wake wa I... thumbnail 1 summary

Akiwa mwenye furaha na tabasamu, muigizaji wa filamu hapa Bongo, Wastara leo ameshea nasi picha hizi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AYSHA CHEYO NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT 2014‏

Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Ba... thumbnail 1 summary
Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMEONA GARI 50 CENT ALIYOMNUNULIA MWANAE WA MIAKA MIWILI???? NI NOMA

Rapper, 50 cent recently bought a miniature Mercedes benz ML 450 SUV for his 2 year old son, Sire as a birthday gift. thumbnail 1 summary



Rapper, 50 cent recently bought a miniature Mercedes benz ML 450 SUV for his 2 year old son, Sire as a birthday gift.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sentensi 6 za Samwel Sitta kwenye bunge la katiba Sept 2 2014.

1 . Wengine wananikejeli wanasema kwa shughuli hii ya bunge la katiba naonyesha sifai Urais, mimi sijaomba Urais…. naifanya kazi hii kam... thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-09-03 at 2.50.23 AM

1. Wengine wananikejeli wanasema kwa shughuli hii ya bunge la katiba naonyesha sifai Urais, mimi sijaomba Urais…. naifanya kazi hii kama Mwenyekiti wa bunge la katiba… basi, lakini nasema wanaochagua ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ndio nahodha mpya wa timu ya taifa ya Ujerumani

Miezi miwili baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la dunia, huku timu ya taifa ya Ujerumani ikitwaa ubingwa wa dunia, nahodha wa tim... thumbnail 1 summary
iMiezi miwili baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la dunia, huku timu ya taifa ya Ujerumani ikitwaa ubingwa wa dunia, nahodha wa timu hiyo Philip Lahm alifikia uamuzi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pichaz nyingine za harusi ya Angelina Jolie na Brad Pitt!

Ilikua ni ndoa ambayo walifunga kwa siri, yani bila kuitangaza kwenye vyombo vya habari ambapo ishu nzima ilifanyika nchini Ufaransa na k... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-03 at 4.35.29 AMIlikua ni ndoa ambayo walifunga kwa siri, yani bila kuitangaza kwenye vyombo vya habari ambapo ishu nzima ilifanyika nchini Ufaransa na kuhudhuriwa na watu 22 peke yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNDANI NA PICHA ZAIDI JUU YA KUUNGUA KWA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA

JUMBA lililokuwa limeandaliwa kwa ajili ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa (BBA ) 2014 limeteketea kwa moto jana eneo la ... thumbnail 1 summary
JUMBA lililokuwa limeandaliwa kwa ajili ya
washiriki wa shindano la Big Brother Africa
(BBA ) 2014 limeteketea kwa moto jana eneo la
Sesani Studios jijini Johannesburg nchini
Afrika Kusini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KITCHENI PATI YA LUCY KOMBA WA BONGO MOVIE YAZUA GUMZO, GUTA LAHUSIKA USAFIRI

NI mshangao! Sherehe ya kicheni pati ya staa wa filamu Bongo, Lucy Komba imewashangaza waalikwa wengi baada ya kutawaliwa na vitu vingi v... thumbnail 1 summary
NI mshangao! Sherehe ya kicheni pati ya staa wa filamu Bongo, Lucy Komba imewashangaza waalikwa wengi baada ya kutawaliwa na vitu vingi vya kiasili tofauti na matarajio ya wengi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOTI NA LULU MMMH, LULU AACHA MANIDO NJE, JOTI AWAPA KICHWA MASHOGA KWA VAZI LAKE

Mastaa wawili Bongo waliokuwa watangazaji wa Shindano la Kuibua Vipaji vya Kuigiza, Tanzania Movie Talents (TMT), Elizabeth Michael ‘Lulu... thumbnail 1 summary
Mastaa wawili Bongo waliokuwa watangazaji wa Shindano la Kuibua Vipaji vya Kuigiza, Tanzania Movie Talents (TMT), Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Lucas Mhuvile ‘Joti’ wamezua balaa na kuwaacha hoi mashabiki waliohudhuria fainali za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUFUATIA DIAMOND KUSABABISHA VURUGU KUBWA UJERUMANI, SASA APIGWA MARUFUKU KUKANYAGA NCHINI UMO

Kufuatia vurugu zilizoibuka ukumbini alfajiri ya Jumapili iliyopita baada ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kucheleweshwa kupanda... thumbnail 1 summary
Kufuatia vurugu zilizoibuka ukumbini alfajiri ya Jumapili iliyopita baada ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kucheleweshwa kupanda stejini kwenye Ukumbi wa Sindelfingen uliopo Mji wa Stuttgart, Ujerumani, mwanamuziki huyo anadaiwa kupigwa marufuku kutia maguu nchini humo.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
SHUHUDA WETU
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini mjini humo, ambacho pia kilikuwepo ukumbini wakati vurugu zilipoibuka, uchunguzi wa awali umeonesha kwamba,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA.NAE HATIMAYE.AANDIKIWA BARUA YA WAZI NA WADAU ISOME HAPA

Kwako Kajala Masanja. Bila shaka ni mzima wa afya. Binafsi mimi niko poa na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida. Leo nimekuku... thumbnail 1 summary
Kwako Kajala Masanja. Bila shaka ni mzima wa
afya. Binafsi mimi niko poa na ninaendelea na
majukumu yangu kama kawaida.
Leo nimekukumbuka kupitia safu hii , nataka
kuzungumza na wewe, na hasa katika suala
zima la ‘ ku - maintain’ ustaa wako . Ninaposema
ustaa wako , namaanisha heshima , kipaji (kazi)
pamoja na mapato yako.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: