September 03, 2014

SHISHI BBY ADAI YEYE NA NDOM HAPANA KA

Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki wa  miondoko ya kizazi kipya, Zuwena Mohammed ‘Sholole’ amesema kuwa matumizi ya kondom wakati wa ... thumbnail 1 summary
Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki
wa  miondoko ya kizazi kipya, Zuwena
Mohammed ‘Sholole’ amesema kuwa
matumizi ya kondom wakati wa
mahaba hayaleti ladha ndio maana
alilazimika kwenda kupima ngoma na
mpenzi wake Nuh Mziwanda ili
wasiwe  wanatumia kondom.

Akizungumza na Mpekuzi wetu, Shilole
alisema kuwa raha ya mapenzi ni kila
mmoja kuwa na mwenzake bila kuwa
na kizuizi chenya kuondoa ladha hiyo
na baada ya kupima kila mmoja
ameapa kutochepuka ili asilite
maambukizi ndani  ya uhusiano wao….
“Asikudanganye mtu, raha ya kula ndizi
ni kula ikiwa imemenywa,
ikiwa na
maganda inaondoa utamu ndio maaa
mimi na mwenzangu tulilazimika
kwenda kupima afya zetu na kila
mmoja alibainika ni mzima hivyo
tumeahidiana kutosalitiana ili tusileteane
maambukizi”, alisea  Shilole.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: