July 31, 2015

Utapenda kuona matembezi aliofanya VeeMoney Johannesburg South Africa. (Pichaz)

Vee Money kwenye studio za TZA (millardayo.com) Vanessa Mdee (Vee Money) ni msanii wa Bongo Fleva anaeipeperusha bendera ya Tz viz... thumbnail 1 summary

Vee Money kwenye studio za TZA (millardayo.com)

Vanessa Mdee (Vee Money) ni msanii wa Bongo Fleva anaeipeperusha bendera ya Tz vizuri kwenye nchi mbalimbali za Kiafrika. Akiwa anatamba na single yake mpya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Watoto wa mastaa wa soka waliofuata nyayo za baba zao (picha & video) zipo hapa

Huwa ni kawaida sana kwa watoto kupenda kufanya kazi wanazofanya wazazi wao, kwa maana nyingine haishangazi kuona baba akiwa Doctor n... thumbnail 1 summary
1416316096_extras_noticia_foton_7_1
Huwa ni kawaida sana kwa watoto kupenda kufanya kazi wanazofanya wazazi wao, kwa maana nyingine haishangazi kuona baba akiwa Doctor na mtoto akaja kuwa Doctor au mzazi polisi na mtoto akaja kuwa polisi hii inaweza isitokane na maamuzi ya mtoto wala shinikizo la mzazi kwani mazingira anayokulia humfanya aanze kufuata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hatimaye kaka Yake Zari Amchumbia Mwanamuziki Linah Sanga....

Hatimaye staa wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amechumbiwa rasmi na yule jamaa wa... thumbnail 1 summary
Hatimaye staa wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amechumbiwa rasmi na yule jamaa wake, Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka kiukoo wa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanadada Mwingine Mtanzania Akamatwa na Madawa ya Kulevya Indonesia..Alikuwa Ameyaficha Tumboni Kama Pipi

Dada wa Kitanzania kakamatwa na madawa ya kulevya Indonesia. Alikamatwa alipotua uwanja wa ndege Jakarta wa Soekarno-Hatta baada ya m... thumbnail 1 summary
Dada wa Kitanzania kakamatwa na madawa ya kulevya Indonesia.

Alikamatwa alipotua uwanja wa ndege Jakarta wa Soekarno-Hatta baada ya maofisa wa usalama kumshuku.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa ndio wakali wengine watano Ligi ya Uingereza wenye utajiri mkubwa zaidi, na pichaz zao…

Mastaa wa soka wana utajiri wao wa kutosha tu, unaambiwa kutokana na kazi nzuri wanayoifanya hata thamani yao inaongezeka vilevile, ukisi... thumbnail 1 summary
Mastaa wa soka wana utajiri wao wa kutosha tu, unaambiwa kutokana na kazi nzuri wanayoifanya hata thamani yao inaongezeka vilevile, ukisikia staa wa soka kanunuliwa kwa pound. Mil 100 Uingereza basi uwe na jibu kabisa kwamba YES jamaa ni jembe la kazi !!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Cheki mastaa wapya wa Liverpool walivyoipania ligi kuu…(Pichaz)

Agosti 8 pazia la ligi kuu ya Engaland linafunguliwa rasmi. Klabu zote zimeonekana kujipanga vyema ili kukabiliana na mikiki ya lig... thumbnail 1 summary

Agosti 8 pazia la ligi kuu ya Engaland linafunguliwa rasmi.

Klabu zote zimeonekana kujipanga vyema ili kukabiliana na mikiki ya ligi hiyo, lakini wachezaji wapya wa Liverpool Christian Benteke na kiungo Mbrazil Firmino wameonyesha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ngao ya Jamii Ligi Kuu England ni Chelsea Vs Arsenal Jumapili hii,wengine je?..

Kipenga cha kuanza kwa ligi kuu ya England msimu mpya kinatarajia kupulizwa jumapili hii wakati mabingwa Chelsea watakapovaana na Arsen... thumbnail 1 summary

Kipenga cha kuanza kwa ligi kuu ya England msimu mpya kinatarajia kupulizwa jumapili hii wakati mabingwa Chelsea watakapovaana na Arsenal katika mchezo wa ngao ya jamii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Obama hakubeba zawadi yoyote aliyopewa nyumbani kwao Kenya.. Sababu ni hii (+Pichaz)

Mgeni Rais  Obama  alivyoenda kwao Kenya, walijipanga na zawadi kibao ili mtu wao arudi nazo kwa ajili ya Kumbukumbu Marekani… alienj... thumbnail 1 summary
BO UK
Mgeni Rais Obama alivyoenda kwao Kenya, walijipanga na zawadi kibao ili mtu wao arudi nazo kwa ajili ya Kumbukumbu Marekani… alienjoy vingi Kenya ikiwemo dance ya nguvu na wakali wa Sauti Sol, lakini kumbe zile zawadi hata hakuondoka nazo !!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA MARA YA KWANZA NO MABOMU MAANDAMANO YASIO RASMI YA CHADEMA,BARABARA ZAFUNGWA,POLISI WATIA DORIA KILA KONA

Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisi lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani ... thumbnail 1 summary
Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisi lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani hayakupigwa mabomu pale

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MH LOWASA AONGEZEWE ULINZI WA KUMLINDA NA KILA KONA ILI AWE SALAMA NA KUTIMIZA LENGO

Mh. Laigwanan Edward Ngoyai Moringe Lowassa anastahili ulinzi wa ziada ili kumlinda na wabaya wake kwani hawakawii kumfanyia kitendo cha ... thumbnail 1 summary
Mh. Laigwanan Edward Ngoyai Moringe Lowassa anastahili ulinzi wa ziada ili kumlinda na wabaya wake kwani hawakawii kumfanyia kitendo cha kigaidi ili kutotimiza lengo lake la kuchukua nchi kutoka chama Tawala...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NORA AWANANGA WANAODAI AMESHAZEEKA ADAI YEYE AJAGALAGAZWA OVYO KAMA HAO WENGINE

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomp... thumbnail 1 summary
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA KILICHOMTOKEA MUME WA ZARI BAADA YA KUBAMBIKWA MIMBA

Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ajifungue mtoto ... thumbnail 1 summary
Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ajifungue mtoto wa kike ‘taimu’ yoyote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIMBUNGA CHA LOWASSA CHALETA BALAA- MGOMBEA UBUNGE WA CCM AHAMIA CHADEMA SHINYANGA

Ndugu Charles Shigino akizungumza na waaandishi wa habari mkoa wa Shinyanga wakati akitangaza kukatiza safari yake ya Ubunge kupitia CCM ... thumbnail 1 summary
Ndugu Charles Shigino akizungumza na waaandishi wa habari mkoa wa Shinyanga wakati akitangaza kukatiza safari yake ya Ubunge kupitia CCM na kuhamia CHADEMA leo Julai 30,2015-Picha na Kadama Malunde- Malunde1 blog Shinyanga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HALI YAANZA KUWA MBAYA GHAFLA KWA DR MAGUFULI JUU YA NDOTO YA URAISI NA HIKI NDO CHANZO

Kitendo cha ENL kuikacha CCM limekuwa pigo sana kwa wana CCM (Yaani wana System) na hasa Magufuli ambaye alishajua kwamba kuwa ukishapiti... thumbnail 1 summary

Kitendo cha ENL kuikacha CCM limekuwa pigo sana kwa wana CCM (Yaani wana System) na hasa Magufuli ambaye alishajua kwamba kuwa ukishapitishwa na CCM kiujanja ujanja, basi ndo ushaukwaa Urais. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA BASATA KUMFUNGIA SHILOLE AFUNGUKA MAZITO LEO

Kama hii stori ilikupita niliiweka kwenye post zilizopita hapa ambapo kwa ufupi ni kwamba Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia ... thumbnail 1 summary

Kama hii stori ilikupita niliiweka kwenye post zilizopita hapa ambapo kwa ufupi ni kwamba Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia msanii wa bongofleva Shilole kutojihusisha na kazi yeyote ya mziki kwa mwaka mmoja kutokana na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE AFUNGIWA NA BASATA KWA MUDA WA MWAKA MMOJA KUFANYA SANAA

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda. Baraza la... thumbnail 1 summary

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda.
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: