January 27, 2016

Zile Picha za Mwanamke Aliyekutwa Shimoni Hakuwa Msukule, Ndugu Wamesimulia.. (+Audio)

Kulikuwa na picha mitandaoni zilizoenea, wako waliosema mwanamke huyo aliyekutwa maeneo ya Kibamba Dar ni msukule… wengine wakasema... thumbnail 1 summary


Kulikuwa na picha mitandaoni zilizoenea, wako waliosema mwanamke huyo aliyekutwa maeneo ya Kibamba Dar ni msukule… wengine wakasema ana matatizo ya akili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tetesi Kubwa Tano za Usajili wa Ulaya Pamoja na Swala la Kujiuzulu Kwa Van Gaal wa Manchester United

Barani Ukaya kwasasa ni vurugu kwenye soko la usajili wa wachezaji kila timu ikitaka kujiimarisha thumbnail 1 summary
Barani Ukaya kwasasa ni vurugu kwenye soko la usajili wa wachezaji kila timu ikitaka kujiimarisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maiti ya Kijana Mtanzania yazuiwa India Siku 27 Sasa..Kisa Kizima Hichi Hapa

Jeneza Mwili wa kijana, Abel Machanga (24), aliyefariki dunia Desemba 31 thumbnail 1 summary


Jeneza
Mwili wa kijana, Abel Machanga (24), aliyefariki dunia Desemba 31

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Amuua Mwenzake Kwa Kipigo Baada ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake

Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada ku... thumbnail 1 summary



Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Spika Job Ndugai Anaweza Kulikimbia Bunge Hili, Kiatu Kinapwaya

Job Ndugai  Wakuu sitaki niongee kishabiki wala kwa hisia ila tu naongea kiuhalisia kupitia jukwaa hili! thumbnail 1 summary


Job Ndugai 
Wakuu sitaki niongee kishabiki wala kwa hisia ila tu naongea kiuhalisia kupitia jukwaa hili!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari: Wakiniita ‘Bi Kizee’ Huwa Najiangalia Kwenye Kioo Najiona Mrembo Sana

Zari Hassan Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni m... thumbnail 1 summary


Zari Hassan
Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa Mwigizaji wa Bongo Movies Wastara Juma MSANII wa filamu Wastara Juma amb... thumbnail 1 summary

Wastara: Nikirudi Bongo Nakuja Kivingine..Mtashangaa



Mwigizaji wa Bongo Movies Wastara Juma
MSANII wa filamu Wastara Juma ambaye hivi sasa anapata matibabu ya mguu wake nchini India, amedai akirejea nchini, atakuja kivingine katika kazi zake za uigizaji.

Akizungumza kwa njia ya simu akiwa huko, Wastara alisema anam shukuru Mungu kwani anaendelea vizuri na matibabu, lakini akawaahidi mashabiki wake vitu vipya kwani safari yake huko imemuo ngezea ubunifu.

“Yaani nikirudi Bongo naamini nitakuwa niko fiti na nitafanya makubwa kwa kutoa filamu kali zenye ubunifu mkubwa tofauti na zamani hivyo mashabiki wakae mkao wa kula,” alisema Wastara.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Andrew Chenge Asema Haya Kuhusu Sakata la Tegeta Escrow Baada ya Kuchaguliwa Kuwa Mwenyekiti wa Bunge

MBUNGE wa Bariadi, Andrew Chenge na wabunge wawili wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na Najma Giga, wamechaguliwa kuwa Wenyeviti wa Bung... thumbnail 1 summary
MBUNGE wa Bariadi, Andrew Chenge na wabunge wawili wa Viti Maalumu, Dk Mary Mwanjelwa na Najma Giga, wamechaguliwa kuwa Wenyeviti wa Bunge kwa kipindi cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bosi Amlawiti Mtumishi wa Nyumbani Mpaka Kusababisha Kifo Chake

Picha si ya tukio Mtumishi  wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo,... thumbnail 1 summary


Picha si ya tukio
Mtumishi  wa nyumbani mwenye umri wa miaka 23, aliyekuwa akifanyakazi katika nyumba iliyo eneo la Mwika-Mrimbo, Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 27, Ikiwemo ya Madee Kugoma Kuchoma Gari yake

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 27, Ikiwemo ya Madee Kugoma Kuchoma Gari yake ... thumbnail 1 summary


Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Januari 27, Ikiwemo ya Madee Kugoma Kuchoma Gari yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video ya Mtoto wa Faiza Yamgusa Mange Kimambi..Amkosoa Faiza na Kumpa Ushauri Huu

Mange Ameibuka na kutoa neno baada ya Video ya mtoto wa Faiza Ali akiomba Hela kwa Mh Mbunge Sugu kuzagaa mitandaoni... Amesema ... thumbnail 1 summary


Mange Ameibuka na kutoa neno baada ya Video ya mtoto wa Faiza Ali akiomba Hela kwa Mh Mbunge Sugu kuzagaa mitandaoni...
Amesema haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:
"Nilikuwa nachukua break to focus on my weight loss thingy Ila this video had me in tears....... Kwa Sababu tofauti , one this baby has no business being on Instagram crying for money. Atakuja kuwa mkubwa then Watu watamwonyesha hizi video..... Ukiwa Na issue Na mwanaume unaweza kumdhalilisha Kwa njia nyingi mnoooooo bila kumwanika mtoto hivi. Ila somehow naelewa wanaume wanauzi sana unaweza jikuta unafanya hivi Kwa hasira ila kuna njia nyingi mama unaweza kumkomesha mwanaume asiekusaidia malezi especially Kama ni Mbunge.
Hata yeye tu angeweza kujirekodi akilia hivi kuwa hapewi matumizi na message ingefika vile vile........ .
Kama kuna kitu kimoja nilichojifunza kuzaa na mwanaume ambae siko nae ni kwamba usiongee lolote baya kuhusu baba wa mtoto mbele ya mtoto. It affects them. Acha mtoto ampende baba yake hata kama ni baba mbaya hata kama hakusaidii ila Jitahidi mtoto asijue haimsaidii kitu zaidi ya kumuumiza akiona wenzie wana baba zao yeye baba yake hataki kutuma hela.....
Kama vipi @faizaally_  Ongea openly sugu anakusaidia Au vipi how much etc then tutakusaidia kufikisha ujumbe mjengoni, na hata msaada wa kisheria Ili mtoto apate haki yake.
.
.
Ila pia tusimjudge sana Faiza hizi ni stress mtu unajikuta unafanya vitu Kama hivi.  Especially ukiona mwanaume anauwezo ila hakusaidii. Cha Maana Faiza angeweka Wazi kabisa ni msaada gani anaoupata Kwa Sugu ili watu tumsaidie kupiga kelele. Maana hapa hatuelewi Je ni kwamba hatumi pesa kabisa au labda alituma Kidogo hazikutosha na kusuka nywele..... Ukiamua kuweka mambo wazi weka yote Wazi Ili watu waelewe na wakupe support....." Mange Kimambi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ubandue wa Wenzio tuu, Wako Asibanduliwe? Haipo Hiyo Jamaa!

Ukitaka kula lazma uliwe, wanaokubali waseme ndio wasiokubali waseme sio.... thumbnail 1 summary


Ukitaka kula lazma uliwe, wanaokubali waseme ndio wasiokubali waseme sio....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Naenda Bao Moja tu, Halafu Siwezi Sirudii Tena, Nifanyaje?

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege ba... thumbnail 1 summary


Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali ya Eritrea yatoa Amri Kila Mwanaume Kuoa Wake Wawili

Wanawake wa Kieritrea Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa,  LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI . Hali hii imejit... thumbnail 1 summary


Wanawake wa Kieritrea
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa w

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CUF Kufanya Maandamano Kesho Licha ya Jesho la Polisi Kupinga....

VIJANA wa Chama cha Wananchi kupitia jumuiya yao (JUVI-CUF) wameweka msimamo kuwa ‘iwe iwavyo’ watafanya maandamano kesho visiwani ... thumbnail 1 summary


VIJANA wa Chama cha Wananchi kupitia jumuiya yao (JUVI-CUF) wameweka msimamo kuwa ‘iwe iwavyo’ watafanya maandamano kesho visiwani humo kwa kuwa ni haki yao kufanya hivyo licha ya Jeshi la Polisi kupinga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: