March 10, 2015

MAAJABU..!! MTOTO ATUMBUKIA KWENYE MTO ULIOFURIKA MAJI KWA SAA 14,AKUTWA AKIWA HAI

Je ushasikia kuwa watoto ni malaika ? Amini usiamini mtoto wa kike alipatikana hai zaidi ya saa 14 baada ya gari alimokuwa ku... thumbnail 1 summary





Je ushasikia kuwa watoto ni malaika ?
Amini usiamini mtoto wa kike alipatikana hai zaidi ya saa 14 baada ya gari alimokuwa kutumbukia ndani ya mto uliofurika huko Utah marekani.


Kitoto hicho chenye umri wa mwaka mmoja na nusu kilipatikana na wavuvi kinaning'inia ndani ya gari hilo lililokuwa limepinduka ndani ya mto.


Polisi wanasema kuwa mtoto huyo alipatikana akiwa ndani ya kiti cha watoto .


Alikimbizwa hospitalini katika mji wa Salt Lake City, ambapo hali yake inasemekana kuwa imeimarika maradufu.


Mamake mtoto huyo Lynn Groesbeck mwenye umri wa miaka 25 alipatikana ameaga dunia katika kiti cha dereva.


wachunguzi wanasema kuwa mamake mtoto huyo huenda aligonga vizuizi vya barabarani na kutumbukia ndani ya mto Spanish Fork usiku wa kuamkia Jumamosi.


Mvuvi mmoja aliwaarifu polisi baada ya kuona kitoto kikielea ndani ya gari lililopinduka .



Askari watatu na zimamoto wanne walioingia ndani ya maji hayo baridi walilazimika kutibiwa hospitalini baada ya mwili wao kuganda katika operesheni hiyo.
Via>>BBC

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wimbo Mpya wa Ali Kiba Wazidi Kuwapagawisha Wadada..Mwingine Naye Atuma Video Akayakata Mauno Balaa

Baada ya Kupokea Video ya Kwanza kutoka kwa Mdada mmoja akisakata Ngoma ya Ali Kiba inayoitwa Chekechua ,Dada mwingine naye ametuma video... thumbnail 1 summary
Baada ya Kupokea Video ya Kwanza kutoka kwa Mdada mmoja akisakata Ngoma ya Ali Kiba inayoitwa Chekechua ,Dada mwingine naye ametuma video akiyazungusha mauno kuzidi feni ..Huyu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lemutuz Awapa Vidonge Masista Duu wa Mjini Wenye Michepuko Ambao ni Waume za Watu

LEMUTUZ STRAIGHT TALK LIVE:- Kama kweli unanipenda usinichagulie cha kuandika nasema hivi hapa mjini Dar it is almost like Sheria kila mb... thumbnail 1 summary
LEMUTUZ STRAIGHT TALK LIVE:- Kama kweli unanipenda usinichagulie cha kuandika nasema hivi hapa mjini Dar it is almost like Sheria kila mbebezz mzuri lazima awe anatembea na Mume

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei

Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. thumbnail 1 summary
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkanganyiko Uliojitokeza Kuhusu Mchinjaji Watu wa ISIS Jihad John Kutaka Kuingia Tanzania na Kuzuiwa

Jihad John Juzi nilikuja na uzi hapa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe aliliambia gazeti la The Times la Uingereza kuwa ... thumbnail 1 summary

Jihad John
Juzi nilikuja na uzi hapa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe aliliambia gazeti la The Times la Uingereza kuwa Mohammed Emwazi aka Jihadi John na marafiki zake wawili walizuiwa kuingia nchini mwaka 2009 kwa sababu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Escrow: Stanbic Bank Kuchafua Hali ya Hewa..Kutaja Majina ya Waliobeba Mahela Kwa Lumbesa

Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.... thumbnail 1 summary
Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Watoto 17 Wakutwa Wamefichwa Pasua Moshi Wakipatiwa Mafunzo ya Kiislam Kwa Siri

Watoto wapatao 17 wamepatikana wakiwa wamefichwa huko Kilimanjaro wakiwa wanapatiwa mafunzo ya siri ya maadili ya kiislamu kwa zaidi ya mwa... thumbnail 1 summary
Watoto wapatao 17 wamepatikana wakiwa wamefichwa huko Kilimanjaro wakiwa wanapatiwa mafunzo ya siri ya maadili ya kiislamu kwa zaidi ya mwaka huko wazazi wao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"Kajala ni rafiki MBAYA KULIKO WOTE DUNIANI, NAJUTA kumsaidia" - Wema Sepetu

HATARI BALAA!, Wema finally kaamua kufunguka kuhusu Kajala. Yani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho, ni hatari sana! thumbnail 1 summary
HATARI BALAA!, Wema finally kaamua kufunguka kuhusu Kajala. Yani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho, ni hatari sana!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKUU WA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAMTEMBELEA MTOTO ALBINO

Mtoto Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana kijijini kwao juzi akiwa amelala kitandani akiendelea kupatiwa m... thumbnail 1 summary
Mtoto Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana kijijini kwao juzi akiwa amelala kitandani akiendelea kupatiwa matibabu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: