September 01, 2014

URAIA WA NCHI MBILI WAENDELEA KUPINGWA NA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA

la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya ... thumbnail 1 summary
la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa
chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge
Maalumu la Katiba baada ya wote
kukubaliana zaidi juu ya hasara za
kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya
usalama wa taifa na uzalendo kupungua.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMA SANA DENTI ANUSURIKA KULIWA URODA NA MKATA MAJANI VICHAKANI

Denti alibakia chupu chupu kuliwa uroda na njemba wakiwa wameenda porini kwa majambozi kwa bahati nzuri mchezo thumbnail 1 summary
Denti alibakia chupu chupu kuliwa uroda
na njemba wakiwa wameenda porini kwa
majambozi kwa bahati nzuri mchezo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI NICK MINAJI NI FUNDI WA KUTIKISA MAKALIO YAKE, TENA AKINA NA KIBIKIN.. MTIZAME HAPA AKIPERFOM WIMBO WAKE MPYA WA ANAKONDA

Tuzo za Mtv video awards zilifanyika jana uk marekani na kuhuzuriwa na wasanii kibao,katika moa ya burudani zilizowafuruisha mashabi... thumbnail 1 summary
Tuzo za Mtv video awards zilifanyika jana uk marekani na kuhuzuriwa na wasanii kibao,katika moa ya burudani zilizowafuruisha mashabiki wengi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND ALIVYONUSURIKA KIPIGO HUKO UJERUMANI BAADA YA KUCHELEWA KWENYE SHOW POLISI WAOKOA JAHAZI

Gari ya Polili ilioibuka kumuokoa Diambond kufuatia sakata la mashabiki wake kupandwa na jazba thumbnail 1 summary
Gari ya Polili ilioibuka kumuokoa Diambond kufuatia sakata la mashabiki wake kupandwa na jazba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKING NEWZ; MADUKA KARIAKOO YAFUNGWA: SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Picha hali Ilivyosasa kariakoo ambapo Wafanyabiashara wamefunga Maduka Yao ikidaiwa Kupinga matumizi ya mashine ya EFD.. Hii ndo hali i... thumbnail 1 summary
Picha hali Ilivyosasa kariakoo ambapo Wafanyabiashara wamefunga Maduka Yao ikidaiwa Kupinga matumizi ya mashine ya EFD..Hii ndo hali ilivyo asubuhi hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LADY JAY DEE AKANUSHA TUHUMA ZA KUTOKA KIMAPENZI NA ‘SERENGETI BOY’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu ... thumbnail 1 summary
Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

POMBE SIO CHAI JAMAA BIA MBILI TU KAANZA KUVUA NGUO NA KUWEKA MAPOZI YA KIMISI WATU WAMPIGE PICHA

Pombe usipoweza kuicontrol basi matokeo yake ita Control wewe ! Huyu Jamaa Alinawa na Kamera za Udaku Specially Katika Baa Moja Maarufu... thumbnail 1 summary
Pombe usipoweza kuicontrol basi matokeo yake ita Control wewe ! Huyu Jamaa Alinawa na Kamera za Udaku Specially Katika Baa Moja Maarufu Mitaa ya Sinza ,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MB DOG AFUNGUKA KUHUSU NANCY SUMARI!

Nakukubali sana MB Dog, je, ni kweli umerudi kwenye kundi lako ulilolihama la Tip Top? Juma Kauga, Mwanza, 0655160467 MB DOG: Ni kweli n... thumbnail 1 summary
Nakukubali sana MB Dog, je, ni kweli umerudi kwenye kundi lako ulilolihama la Tip Top? Juma Kauga, Mwanza, 0655160467
MB DOG: Ni kweli niko nao kwa ajili ya kusimamia kazi zangu maana ndiyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI YA GARI ENEO LA TAZARA

Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara. thumbnail 1 summary
Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Live za ‘we dem boyz’ ya Wiz Khalifa !!

Wakati huu joto la Serengeti Fiesta 2014 likipita kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania Shinyanga, Musoma na Geita wakihusika weekend hii, ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-01 at 2.22.12 AMWakati huu joto la Serengeti Fiesta 2014 likipita kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania Shinyanga, Musoma na Geita wakihusika weekend hii, ikiwa ni music tour inayoubeba msimu wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE UPEPO UMEGEUKA KAJALA SASA ANA PESA CHAFU, KUMUAJIRI WEMA,

AMA  kweli fedha mwanaharamu! Kama bado ulikuwa ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea kuitwa Madam ana mtony... thumbnail 1 summary
AMA kweli fedha mwanaharamu! Kama bado ulikuwa ukiamini kwamba Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu anayependelea kuitwa Madam ana mtonyo (fedha) kumzidi aliyekuwa shosti wake, mwigizaji Kajala Masanja ‘Kay’,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMA GARI LA MSANII DUDE LAIBUA MAZITO MAPYA KABISAA

Kumbe!  Lile gari aina ya Toyota Vitz la staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambalo hivi karibuni lilikamatwa kwa msala wa k... thumbnail 1 summary
Kumbe! Lile gari aina ya Toyota Vitz la staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambalo hivi karibuni lilikamatwa kwa msala wa kuhusika na ujambazi jijini Dar, limeibua mapya likiwa bado linashikiliwa na polisi kwenye Kituo cha Kijitonyama a.k.a Mabatini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INAUMA SANA! MFANYABIASHARA AMCHARANGA MAPANGA ALBINO

INAUMA sana!  Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro likimshikilia mkazi wa wilayani Mvomero, Johnson Damian Mkude kwa msala wa kumchin... thumbnail 1 summary

INAUMA sana! Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro likimshikilia mkazi wa wilayani Mvomero, Johnson Damian Mkude kwa msala wa kumchinja mdogo wake na kupeleka kichwa kwa mganga wa kienyeji ili awe bilionea, jeshi hilo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWIMBAJI WA TAARABU WA BONGO ANUSURIKA KUUAWA NA AL SHABAAB HUKO MOMBASA

Oooh nooo ! Mwimbaji na Kiongozi wa Kundi la Mashauzi Classic , Aisha Ramadhani ‘ Isha Mashauzi’ , amejikuta kwenye wakati mgumu baa... thumbnail 1 summary
Oooh nooo ! Mwimbaji na Kiongozi wa Kundi la
Mashauzi Classic , Aisha Ramadhani ‘ Isha
Mashauzi’ , amejikuta kwenye wakati mgumu
baada ya kuvamiwa na kundi linalojiita Al -
Shaabab ( siyo wale orijino wanaosifika kwa
ugaidi ).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUHUSU TUUMA ZA KUMRISHA DIAMOND VIPORO KILA SIKU.. WEMA AFUNGUKA .. SOMA HAPA ALICHOJIBU

MAHABATi ! Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘ Madam’ amedhihirisha kuwa yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani baada ya kus... thumbnail 1 summary
MAHABATi ! Beautiful Onyinye wa Bongo,
Wema Sepetu ‘ Madam’ amedhihirisha kuwa
yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani
baada ya kusema anajitahidi kila siku katika
suala la mapishi ili asimlishe viporo mwandani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: