September 01, 2014

KUHUSU TUUMA ZA KUMRISHA DIAMOND VIPORO KILA SIKU.. WEMA AFUNGUKA .. SOMA HAPA ALICHOJIBU

MAHABATi ! Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘ Madam’ amedhihirisha kuwa yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani baada ya kus... thumbnail 1 summary
MAHABATi ! Beautiful Onyinye wa Bongo,
Wema Sepetu ‘ Madam’ amedhihirisha kuwa
yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani
baada ya kusema anajitahidi kila siku katika
suala la mapishi ili asimlishe viporo mwandani

wake, Nasibu Abdul , ‘ Diamond’ . Akipiga domo na paparazi wetu , Wema
alisema kama mwanamke anajua thamani ya
mwanaume siku zote hata kama ‘ baby ’ wake
atarudi usiku , lazima aingie jikoni kupika na
haweki chakula kwenye ‘ hot pot ’ .
“ Siku zote si kwamba najisifia ila kwa jikoni
ndiyo mwenyewe sasa kwa nini
nipike chakula
halafu niweke kwenye hot pot ? Kwangu
siruhusu kabisa itokee , ” alisema Wema .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: