August 25, 2014

BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU KESI YA KIFO CHA KANUMBA SURA MPYA.. ELIZABERTH MICHAEL HALI TETE

Jipya!  Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven C... thumbnail 1 summary


Jipya! Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ imechukua sura mpya baada ya kuanza kusikilizwa kimyakimya, Ijumaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDOA YA MTANGAZAJI WA STAR TV SAUDA MWILIMA SASA NI SHIDA!

Oooh nooo!  Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha (ndoa) na mwanaume aitwaye Kauli Juma, imefichuka kwamba ndoa ya prizenta... thumbnail 1 summary



Oooh nooo! Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha (ndoa) na mwanaume aitwaye Kauli Juma, imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa kwamba kila mmoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Angalia namna Messi alivyoanza msimu mpya wa La Liga (Barca vs Elche)

Ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga ilianza usiku wa jana kwa mchezo wa kati ya FC Barcelona dhidi ya Elche. thumbnail 1 summary
article-2733270-20C3E31D00000578-492_636x421
Ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga ilianza usiku wa jana kwa mchezo wa kati ya FC Barcelona dhidi ya Elche.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI WA CHUO CHA USHIRIKI MOSHI AKUTWA AMEJINYONGA KATIKA NYUMBA AMBAYO KWA SASA HAIKALIWI . . .

havijajulikana mpaka sasa amekutwa akiwa ameekufa kwa kujinyonga ,huku mfuko wa nyuma wa suruali yake ukiwa njee ,katika eneo la mwa... thumbnail 1 summary
havijajulikana mpaka sasa amekutwa akiwa
ameekufa kwa kujinyonga ,huku mfuko wa
nyuma wa suruali yake ukiwa njee ,katika
eneo
la mwanjelwa mbeya hapo jana katika
nyumba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LUCY KOMBA: HARUSI BONGO, SHEREHE MAMTONI

Dada Lucy hongera kwa kuwa na kipaji, kiukweli unaweza, kubwa napenda kuijua historia yako kwa ufupi. Thabiti Kiula, Igunga, 0786947474 thumbnail 1 summary


Dada Lucy hongera kwa kuwa na kipaji, kiukweli unaweza, kubwa napenda kuijua historia yako kwa ufupi. Thabiti Kiula, Igunga, 0786947474

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OMMY DIMPOZI AWACHANGANYA VANESSA MDEE NA JOKATE

Acha kabisa!  Habari ya mjini katika ulimwengu wa mastaa wa Kibongo ni madai ya Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuwacha... thumbnail 1 summary


Acha kabisa! Habari ya mjini katika ulimwengu wa mastaa wa Kibongo ni madai ya Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuwachanganya kimalovee, mastaa wenzake, Jokate Mwengelo ‘Kidoti’ na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: