October 15, 2014

Hiki ndicho alicho andika Chriss Brown kuhusu Ebola

Crissbrown kuseandika kwenye twitter yake  kuhusu ebola thumbnail 1 summary


Crissbrown kuseandika kwenye twitter yake  kuhusu ebola

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDO PICHA YA WEMA SEPETU ILIYOTIKISA MTANDAONI HAPO JANA

Nimeshapiga picha nyingi sana...lakini kwa upande wangu hii ni zaidi ya zote...kwamaana kwamba ameonekana ni MSUPA zaidi....yeah!! yaani ... thumbnail 1 summary
Nimeshapiga picha nyingi sana...lakini kwa upande wangu hii ni zaidi ya zote...kwamaana kwamba ameonekana ni MSUPA zaidi....yeah!! yaani amependeza kimavazi na sehemu aliopigia ndio balaa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Umepata alichokisema Ommy Dimpoz kuhusu ile picha yake iliyosambaa?

Najua kama umekua karibu na mitandao ya kijamii kuanzia weekend iliyopita sanasana kwenye twitter na instagram utakua ulikutana na picha... thumbnail 1 summary

Ommy Dimpoz pichaNajua kama umekua karibu na mitandao ya kijamii kuanzia weekend iliyopita sanasana kwenye twitter na instagram utakua ulikutana na picha ya zamani ya Ommy Dimpoz aliyoipiga Kigoma ambayo ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii bila ya idhini yake.
Ommy Dimpoz ni mmoja wa wakali watakaopanda kwenye stage ya Fiesta Jumamosi hii Leaders Dar es salaam, unajua ni nini alichokisema baada ya kukutana na camera yaAyoTV? bonyeza play hapa chini mtu wangu…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ujerumani nayo imeingia kwenye headlines za Ebola, wa kwanza amefariki.

Mfanyakazi wa Umoja wa mataifa aliesafirishwa mpaka Ujerumani akitokea Liberia wiki iliyopita baada ya kupatwa na virusi vya ugonjwa wa E... thumbnail 1 summary
Ebola Ujerumani 1Mfanyakazi wa Umoja wa mataifa aliesafirishwa mpaka Ujerumani akitokea Liberia wiki iliyopita baada ya kupatwa na virusi vya ugonjwa wa Ebola, amefariki dunia kwenye hospitali ya St. Georg Ujerumani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mmiliki wa Facebook amenunua huu upande wa kisiwa cha Hawaii.

Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amenunua sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kauai ambayo ni hekari 700 k... thumbnail 1 summary
mark

Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amenunua sehemu kubwa ya kisiwa cha Hawaii iitwayo Kauai ambayo ni hekari 700 kwa dola za Kimarekani milioni 100 ambapo atakuwa anamiliki eneo kubwa ambalo litaendana na hadhi ya bilionea, jarida la Forbes limeripoti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUUUUH: FAST JET KIMEO!

SHIRIKA  la Ndege la Fast Jet linalotoa huduma ya usafiri wa anga katika baadhi ya mikoa ya Tanzania na nje ya nchi, limelalamikiwa na wate... thumbnail 1 summary
SHIRIKA la Ndege la Fast Jet linalotoa huduma ya usafiri wa anga katika baadhi ya mikoa ya Tanzania na nje ya nchi, limelalamikiwa na wateja wake mbalimbali kutokana na jinsi linavyofanya kazi, Risasi Jumatano lina habari kamili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SASA HII HALI IMESHAKUWA TETE,LEO TENATRAFIKI MWINGINE ASHUSHIWA KICHAPO KITAKATIFU

Dah Mwezi huu ni mwezi mgumu sana kwa hawa ndugu zetu wa usalama barabarani..Achiliambali wale ndugu zetu waliofukuzwa kazi..Leo hii ma... thumbnail 1 summary


Dah Mwezi huu ni mwezi mgumu sana kwa hawa ndugu zetu wa usalama barabarani..Achiliambali wale ndugu zetu waliofukuzwa kazi..Leo hii majira ya mchana hapa mjini Dar es salaam, eneo la BUNGO mataa, Raia wenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA KUHUSU MAMENEJA WA T.I KUJA KUTOA SEMINA YA MUZIKI DAR

T.I akiwa na manager wake Jason Geter Ikiwa ni siku chache tu zimebakia ili shangwe za Serengeti Fiesta zitawale katika maskio ya wakazi ... thumbnail 1 summary

dsc_0629

T.I akiwa na manager wake Jason Geter

Ikiwa ni siku chache tu zimebakia ili shangwe za Serengeti Fiesta zitawale katika maskio ya wakazi wa Dar es Salaam, October 18, Meneja wa T.I., Jason Geter pamoja na meneja wa Wizkid na Waje, Cecil Hammond, wanatarajia kutoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZEE MAJUTO AINGIA MITINI NA PESA ZA WATU, ILIKUWA AKAFANYE SHOW DODOMA, MWANDAAJI ANGUA KILIO UKUMBINI

Msanii Vichekesho maarufu kwa jina la Mzee Majuto Wekeend iliyopita alitakiwa kuwepo Dodoma kwenye ukumbi wa Matei lounge kwa ajili ya ku... thumbnail 1 summary

Msanii Vichekesho maarufu kwa jina la Mzee Majuto Wekeend iliyopita alitakiwa kuwepo Dodoma kwenye ukumbi wa Matei lounge kwa ajili ya kufanya show, Sakata lilikuja pale mwandaaji wa show hiyo kunaswa akiwa analia, Picha lilianza pale ambapo Paparazi wetu alimnasa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA NYUMA YA PAZIA BUSHOKE AKISHOOT VIDEO NA MWIMBAJI MKUBWA WA UGANDA

Muimbaji wa Bongo Flava, Bushoke ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini ameshoot video ya wimbo wake mpya akiwa na msanii wa Uganda, Fa... thumbnail 1 summary


IMG_2183

Muimbaji wa Bongo Flava, Bushoke ambaye kwa sasa anaishi Afrika Kusini ameshoot video ya wimbo wake mpya akiwa na msanii wa Uganda, Face Off.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: