January 16, 2014

LAANA..MTOTO WA KIGOGO ATUPIA PICHA ZA UTUPU MTANDAONI..JIONEE MWENYEWE HAPA

Wakati sakata la mastaa kupiga picha za chafu likiwa bado halijaondoka vichwani mwa watu, gazeti la Ijumaa limenasa p... thumbnail 1 summary


Wakati sakata la mastaa kupiga picha za chafu likiwa bado halijaondoka vichwani mwa watu, gazeti la Ijumaa limenasa picha nyingine zinazomwonesha binti aliyetajwa kwa jina moja la Tuma akiwa mtupu ambaye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YAFAHAMU MATATIZO YA KUPIGA PICHA ZA UCHI UKIWA NA MPENZI WAKO FARAGHA...soma zaidi

Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bo... thumbnail 1 summary

Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nioe somo kidogo,

Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"UHUSIANO WA KIMAPENZI BILA NGONO NI KUONGOPEANA" ...!!MMMHHH MDAU TOA MAONI YAKO HAPA...

Muigizaji Tope Osoba wa Nigeria, amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashanga... thumbnail 1 summary


Muigizaji Tope Osoba wa Nigeria, amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Ghana na Nigeria wamekuwa wakiolewa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

""NATAFUTA MCHUMBA WA KUNIOA"" HAYA SASA WADAU CHANGAMKENI HAPA

Mimi ni Msichana wa Miaka 28 , Niko Dar kwa Sasa ila Nimeishi Nje ya Nchi kwa Muda mrefu kwa sasa Nimeamua kurudi Ta... thumbnail 1 summary


Mimi ni Msichana wa Miaka 28 , Niko Dar kwa Sasa ila Nimeishi Nje ya Nchi kwa Muda mrefu kwa sasa Nimeamua kurudi Tanzania Kutafuta Maisha na Kuolewa Huku Kama Mungu Akijalia ..Nipo Series

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMAAA..!!!AUNT ZEKIEL APIGANA UKUMBINI NA MWANAMKE ALIYEWAHI KUGOMBEA NAE BWANA...SOMA HAPA KUJUA

Aunt Ezekiel STAA wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amejikuta akizichapa na mwanamke aitwaye Sarah Mwakapala ambaye miak... thumbnail 1 summary


Aunt Ezekiel
STAA wa sinema Bongo, Aunt Ezekiel amejikuta akizichapa na mwanamke aitwaye Sarah Mwakapala ambaye miaka mitano iliyopita waliwahi kugombea penzi la mwanaume anayejulikana kwa jina la Mwilu Mwilola ‘Silva’.

Tukio la ugomvi huo lilichukuwa nafasi juzi katika Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo Victoria jijini Dar ambapo kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa ya rafiki yao aliyetambulika kwa jina la Jamila. 

Ilielezwa kuwa, wakati sherehe ikiendelea, Sarah alisimama na kwenda mahali alipokaa Aunt na kuanza kumfanyia fujo huku wageni waalikwa wakishindwa kujua chanzo.

Chanzo kilichoshuhudia sekeseke hilo kilibainisha kuwa, Aunt alionekana kujishusha akimwomba Sarah kuacha mambo ya ugomvi, lakini Sarah hakukubali ndipo mtiti ulipozidi kuwa mkubwa na kusababisha wavuane mawigi yao yaliyokuwa yamewapendeza. 

“Ghafla tulishangaa Sarah anainuka na kwenda kumvamia mwenzake pasipo kujua nini chanzo. Sijui wenyewe bado wana mabifu yale ya kipindi kile au vipi!” kilisema chanzo hicho. 

Hata hivyo, mdau maarufu wa mastaa wa Kibongo, Nice Chande ambaye alikuwa karibu na Aunt, aliingilia ugomvi huo na kutuliza hali ya hewa kwa kumdhibiti Sarah. 

“Unajua kuna watu hawajifunzi kwa wenzao kuhusiana na vifo vya siku hizi, we unakuja kumfanyia fujo mwenzako, mnapigana bila sababu yoyote. Je, ghafla mwenzio siku zake za kuishi kumbe zimeisha unapata kesi la ajabu, unaanza kujilaumu,” alisema Nice. 

Baada ya hali ya hewa kutulia, paparazi wetu alimfuata Sarah kutaka kujua kulikoni amuanzishie fujo mwenzake, hakuweza kujibu chochote huku akiingia kwenye gari na kukimbilia Kituo cha Polisi Oysterbay kufungua kesi.
Taarifa zilizopatikana baadaye wakati gazeti hili linakwenda mitamboni zinadai kuwa, Aunt naye alikimbilia polisi na kukuta Sarah ameshafungua malalamiko lakini waliyamaliza palepale kituoni na msala ukaishia hapo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUWA MAKINI...!!!JE WAJUA MAPENZI YA KWENYE SIMU SI LOLOTE WALA SI CHOCHOTE??? SOMA HAPA

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua tya kuwad... thumbnail 1 summary


MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua tya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua sarakasi zilizomo kwenye uwanja wa mapenzi wanashindwa kujua mchezo unakwendaje na kujikuta wakilizwa wasipate ile furaha waliyoitarajia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUNDU LISSU AMTETEA MBOWE KUTOKANA NA KASHFA YA UZINZI ALIYOKUWA NAYO MBOWE...SOMA ZAIDI HAPA

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu. KATIKA kile kinachoonekana kama kumsafisha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha... thumbnail 1 summary


Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu.
KATIKA kile kinachoonekana kama kumsafisha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe dhidi ya kashfa ya uzinzi inayomuandama, Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tundu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ARUSHA HAPAKALIKI..!!! BODABODA WAANDAMANA...WANAJESHI NA POLISI WASAMBAZWA KILA MAHALI

WAENDESHA BODABODA JIJINI ARUSHA WAAMUA KUFANYA MAANDAMANO KUTOKANA NA KUZUIWA KUEGESHA PIKIPIKI ZAO KATIKATI YA JIJI. thumbnail 1 summary


WAENDESHA BODABODA JIJINI ARUSHA WAAMUA KUFANYA MAANDAMANO KUTOKANA NA KUZUIWA KUEGESHA PIKIPIKI ZAO KATIKATI YA JIJI.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALICHOKISEMA B12 JUU YA YEYE KUSIMAMISHWA KAZI CLOUDS MEDIA GROUP ... SOMA HAPA

Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na ... thumbnail 1 summary


Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na taratibu za Clouds Media inavyotakiwa kuendeshwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZEE CHILO AWASEMA WASANII WASIOPENDA KUSHIRIKI KWENYE MATATIZO YA WENGINE ... WASANII GANI SOMA HAPA

MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na w... thumbnail 1 summary

MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku itawaponza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI RICH MAVOKO APATA PIGO .... SOMA HAPA

January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa po... thumbnail 1 summary

January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.
Rich Mavoko ameandika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA B12 NA ADAMU MCHOMVU KUTIMULIWA CLOUDS KIJANA HUYU NDIO AMESHIKA MIKOBA YAO ... MFAHAMU

Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same, Kilimanjaro. HIVI karibuni, watangazaji nyota waliojizolea umaarufu mkubwa Bongo kupitia Redio... thumbnail 1 summary


Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same, Kilimanjaro.
HIVI karibuni, watangazaji nyota waliojizolea umaarufu mkubwa Bongo kupitia Redio Clouds FM, wakitangaza kipindi cha XXL, Hamisi Mandi ‘B12’ na Adam Mchomvu ‘Baba John’  walisimamishwa kazi kituoni hapo kwa muda usiojulikana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... The Holly Sin - 10

ILIPOISHIA: GHAFLA aliona kitu kwenye siti ya nyuma kilichomshangaza sana. Akiwa ni kama haamini, alisogea taratibu huku akikichunguz... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
GHAFLA aliona kitu kwenye siti ya nyuma kilichomshangaza sana. Akiwa ni kama haamini, alisogea taratibu huku akikichunguza vizuri kitu hicho. Ilikuwa ni nguo ya ndani, tena ya kike ikiwa kwenye siti ya nyuma ya gari hilo la baba yake. Alipoichunguza vizuri, aligundua kuwa ilikuwa imechanwachanwa, akazidi kujiuliza maswali yaliyokosa majibu.
“Mungu wangu? Kwani nini kimetokea? Mbona sielewielewi?”
SASA ENDELEA…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: