April 19, 2016

Wakali Korede Bello, Wizkid Wapanga Kufanya Kolabo

Korede Bello akiwa na Wizkid. MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria anayerekodi kupitia kampuni ya Mavin Records, Korede Bello, na ambaye hi... thumbnail 1 summary
Korede Bello akiwa na Wizkid.

MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria anayerekodi kupitia kampuni ya Mavin Records, Korede Bello, na ambaye hivi karibuni ametoa video yake ya ‘Mungo Park’ ambayo inatamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utata Wazuka Kuhusu Mtu Aliyepoteza Maisha Kwenye Ajali ya TUNDA MAN

Utata umeibuka kuhusu mtu aliyefariki kwenye ajali ya gari aliyokuwa amepanda Tundaman kutokea Njombe kuja Dar es Salaam, Jumapili hii. thumbnail 1 summary
Utata umeibuka kuhusu mtu aliyefariki kwenye ajali ya gari aliyokuwa amepanda Tundaman kutokea Njombe kuja Dar es Salaam, Jumapili hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tundaman Adaiwa Kudanganya Kuwa Alikuwepo Kwenye Gari Lililopata Ajali na Kumuua Rafiki yake....

Najaribu kufikiria nje ya box Kama ni kweli huu uongo wa ajali ya Tundaman kwa faida ya nani?Kwenye mitandao kunaenea habari kuwa Mwimb... thumbnail 1 summary

Najaribu kufikiria nje ya box Kama ni kweli huu uongo wa ajali ya Tundaman kwa faida ya nani?Kwenye mitandao kunaenea habari kuwa Mwimbaji Tunda Man hakuwa kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Read This Special Message from Model Hamisa Mobetto

Sometimes...... The very things we think are awful turn out to be a great blessing. The greatest trial can develop in you the greatest fa... thumbnail 1 summary
Sometimes...... The very things we think are awful turn out to be a great blessing. The greatest trial can develop in you the greatest faith. You might be at the bottom of a pit, but God has a

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

The Question - Is Wema Sepetu Re-Branding her image?

I have noticed lot's of changes on Wema's image since the Diamond's relationship issues...I don't know..maybe am poking m... thumbnail 1 summary
I have noticed lot's of changes on Wema's image since the Diamond's relationship issues...I don't know..maybe am poking my nose where it doesn't belong...BUT look at this

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EJ Johnson and his sister on set of their reality show - Photos

Son of former basketball player, Magic Johnson, EJ Johnson and his sister Elisa Johnson were spotted yesterday filming a scene from EJ&#... thumbnail 1 summary
Son of former basketball player, Magic Johnson, EJ Johnson and his sister Elisa Johnson were spotted yesterday filming a scene from EJ's reality show, EJ and The City, on Mercer Street

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kobe Bryant and wife celebrate 15th wedding anniversary!

The 37 year old former footballer who played his last game last week after 20 years in the game, is celebrating his 15th wedding annivers... thumbnail 1 summary
The 37 year old former footballer who played his last game last week after 20 years in the game, is celebrating his 15th wedding anniversary with wife, Vanessa Bryant. Kobe shared the

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serena Hotels named Africa’s top hotel brand at world gala

Serena Hotels has taken the title of Africa’s leading hotel brand, during the World Travel Awards Africa and Indian Ocean gala ceremony 2... thumbnail 1 summary
Serena Hotels has taken the title of Africa’s leading hotel brand, during the World Travel Awards Africa and Indian Ocean gala ceremony 2016.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KINDA WA WIZKHALIFA NAE AINGIA KWENYE MUZIKI.

Mtoto wa Nyoka ni Nyoka, kijana wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Wiz Kharifa, Sebastian ameanza kuonyesha kuwa mtoto wa nyoka ni nyo... thumbnail 1 summary
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka, kijana wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Wiz Kharifa, Sebastian ameanza kuonyesha kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka baada ya kumshangaza baba yake kwa kuimba wimbo wa ‘See You Again’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rihanna not happy with Jay Z over ANTI album flop on Tidal?

Back in January, Rihanna's new album Anti leaked early on Jay Z's Tidal and debuted at No. 27 on the Billboard 200 Album Chart, m... thumbnail 1 summary
Back in January, Rihanna's new album Anti leaked early on Jay Z's Tidal and debuted at No. 27 on the Billboard 200 Album Chart, making it Rihanna's lowest ever opening chart position

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAVY KENZO ni Mfano wa Kuigwa Kwa Wasanii Waliokata Tamaa Kwenye Muziki

Navy Kenzo ni kundi linaloundwa na wasanii wawili, Aika na Nahreel. Hakuna asiyejua kuwa Aika na Nahreel ni wapenzi kwa muda mrefu kabl... thumbnail 1 summary
Navy Kenzo ni kundi linaloundwa na wasanii wawili, Aika na Nahreel.
Hakuna asiyejua kuwa Aika na Nahreel ni wapenzi kwa muda mrefu kabla hawajaingia kwenye kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAGUFULI APENDEKEZA DARAJA LA KIGAMBONI LIPEWE JINA LA NYERERE.

Rais wa Tanzania John Magufuli amependekeza daraja mpya la Kigamboni lipewe jina la mwanzilishi wa taifa hilo Mwalimu Julius Nyerere. thumbnail 1 summary
Rais wa Tanzania John Magufuli amependekeza daraja mpya la Kigamboni lipewe jina la mwanzilishi wa taifa hilo Mwalimu Julius Nyerere.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWANINI Wanawake Wenye Vigezo Hawaingii Kwenye Ndoa!

Ni Jumanne nyingine yenye neema itokayo kwa Mungu wetu, Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo! Baada ya kumaliza mada yangu y... thumbnail 1 summary
Ni Jumanne nyingine yenye neema itokayo kwa Mungu wetu, Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo!
Baada ya kumaliza mada yangu ya wiki iliyopita ya; unataka kuolewa, kuoa au kufunga ndoa ambayo ilivuna wasomaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Davido Kataja Kiasi cha Pesa Alicholipwa na Pepsi kuwa Balozi Wao.

African music staa Davido amethubutu kuweka wazi kiasi cha pesa alicholipwa na kampuni ya vinywaji ya Pepsi kama balozi wao. thumbnail 1 summary
African music staa Davido amethubutu kuweka wazi kiasi cha pesa alicholipwa na kampuni ya vinywaji ya Pepsi kama balozi wao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AliKiba Afunguka 'Ommy Dimpoz Alinisumbua Sana'

Msanii Alikiba amefunguka na kusema msanii Ommy Dimpoz alimsumbua sana ili kufanya naye ‘Collabo’ japo anasema alikuwa anamsumbua kwa nam... thumbnail 1 summary
Msanii Alikiba amefunguka na kusema msanii Ommy Dimpoz alimsumbua sana ili kufanya naye ‘Collabo’ japo anasema alikuwa anamsumbua kwa namna nzuri na si mbaya kwani lengo lake lilikuwa ni kufanya kazi na yeye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MANENO YA LE MUTUZ BAADA YA MAMA YAKE ‘ANNE KILANGO MALECELA’ KUONDOLEWA KWENYE UKUU WA MKOA

Jina lake la kuzaliwa ni William Malecela na jina lake maarufu la mitandaoni ni Le Mutuz ambaye ni mmiliki wa williammalecela.com na jana... thumbnail 1 summary
Jina lake la kuzaliwa ni William Malecela na jina lake maarufu la mitandaoni ni Le Mutuz ambaye ni mmiliki wa williammalecela.com na jana April 11 2016 aliamua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAREMBO KUMI WANAOFATILIWA NA KUANDIKWA ZAIDI NA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA MASHARIKI

Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite per... thumbnail 1 summary
Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite person”,ila kwa kifupi “Socialite” ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTU ALIYEAMBUKIZA UKIMWI WATU 200 AFUNGWA MIAKA 25 JELA....

Daktari aliyewaambukiza wagonjwa 200 virusi vya ukimwi nchini Cambodia amehukumiwa jela.Daktari huyo bandia alipatikana na hatia ya kuwaa... thumbnail 1 summary
Daktari aliyewaambukiza wagonjwa 200 virusi vya ukimwi nchini Cambodia amehukumiwa jela.Daktari huyo bandia alipatikana na hatia ya kuwaambukiza takriban watu 200 virusi vya ugonjwa wa Ukimwi amehukumiwa kifungo cha miaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 10: Hadi kufikia March 2016 hivi ndivyo vinatajwa kuwa Viwanja 10 bora vya ndege Duniani

Kwa mwaka wa nne mfululizo uwanja wa Ndege wa Singapore Changi umekuwa ndio uwanja wa ndege bora zaidi duniani ukishika nafasi ya kwanza... thumbnail 1 summary
Kwa mwaka wa nne mfululizo uwanja wa Ndege wa Singapore Changi umekuwa ndio uwanja wa ndege bora zaidi duniani ukishika nafasi ya kwanza na ulichukua tuzo za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDIO MAISHA YA MBUNGE SUGU KWA SASA

Kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu wa 2010 na 2015, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu alijishusha na kujinyongesha ili wananch... thumbnail 1 summary
Kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu wa 2010 na 2015, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu alijishusha na kujinyongesha ili wananchi wamwamini na kumpa kura. Miongoni mwa mambo aliyotumia kuombea kura ni kutomiliki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINSI YA KUTAMBUA SIMU FEKI

1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06#, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua. 2. Ukishaandika itaonyesh... thumbnail 1 summary
1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06#, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua.
2. Ukishaandika itaonyesha namba ya pekee (serial number) au IMEI (International Mobile Equipment Identity)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO MATATU YA MUHIMU UNAYOWEZA KUFANYA ILI KUMDATISHA MPENZI WAKO BILA KUTUMIA PESA

Na Martha Magawa Nikikuuliza unapenda kipi kutoka kwa mpenzi wako najua wengi watatoa majibu tofauti tofauti wapo watakao sema, mcheshi... thumbnail 1 summary
Na Martha Magawa
Nikikuuliza unapenda kipi kutoka kwa mpenzi wako najua wengi watatoa majibu tofauti tofauti wapo watakao sema, mcheshi, anamvuto napenda anavyotabasamu na vitu vingine

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Fabregas kaweka wazi kosa lililomuondoa Jose Mourinho Chelsea, lakini bado wanawasiliana

Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea klabu ya Chelsea ya Uingereza Cesc Fabregas amefunguka na kueleza lililomfanya kocha wa zama... thumbnail 1 summary
Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea klabu ya Chelsea ya Uingereza Cesc Fabregas amefunguka na kueleza lililomfanya kocha wa zamani wa klabu ya hiyo Jose Mourinho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Dakika 15 za Prof Jay alivyokutana na wananchi wake wa Ruaha April 16 2016

Mbunge wa jimbo la  Mikumi   Joseph Haule  ambaye wengi tunamfahamu kama  Prof Jay Jumamosi ya April 16 alikutana na wananchi wake ... thumbnail 1 summary

Mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule ambaye wengi tunamfahamu kama Prof JayJumamosi ya April 16 alikutana na wananchi wake wa Ruaha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ukimuuliza Chicharito amzungumzie Louis van Gaal kwa sasa atakujibu kwa sentensi hizi

Mshambuliaji wa zamani wa Man United ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani Javier Hernandez Chicharito, amerud... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa zamani wa Man United ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani Javier Hernandez Chicharito, amerudi tena kwenye headlines

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waigizaji Wawili wa Series ya Empire Wafunga Ndoa

Waigizaji na mastaa wa tamthilia ya Empire, Grace Gealey ’31’ na mpenzi wake wa muda mrefu Trai Byers ’32’ wamefunga ndoa kwenye sherehe ... thumbnail 1 summary
Waigizaji na mastaa wa tamthilia ya Empire, Grace Gealey ’31’ na mpenzi wake wa muda mrefu Trai Byers ’32’ wamefunga ndoa kwenye sherehe Alhamis hii, Gealey na Byers

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hivi ni Kweli Kuwa Wenye Herufi "M" Kwenye Kiganja Wana Bahati Sana?

Wengi Tumekuwa tukisikia kuwa watu wenye herufi M kiganjani mkononi ni watu wa bahati...Hapa nimekuwekea ukweli....  HERUFI ''M... thumbnail 1 summary
Wengi Tumekuwa tukisikia kuwa watu wenye herufi M kiganjani mkononi ni watu wa bahati...Hapa nimekuwekea ukweli.... 
HERUFI ''M'' INA ASHIRIA WEWE MTU WA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meet VietJet Air with flight Attendants wear Bikini

VietJet Air's Flight Company Shillings  thumbnail 1 summary
VietJet Air's Flight Company Shillings 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Iggy Azaleo Akana Kumwagana na Nick Young

Mwanamuziki nyota wa Marekani, Iggy Azalea akiwa na mpenzi wake Nick Young.  MWANAMUZIKInyota wa Marekani, Iggy Azalea, amekana kwamba ... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki nyota wa Marekani, Iggy Azalea akiwa na mpenzi wake Nick Young. 
MWANAMUZIKInyota wa Marekani, Iggy Azalea, amekana kwamba ameachana na mpenzi wake ambaye ni nyota wa mchezo wa kikapu (basketall) wa Los Angeles Lakers, Nick Young. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aliyejitangaza… Shoga Aangua Kilio Studio

Kijana Karimu Said ‘Anti Karim’ akitoa ushuhuda redioni. Morogoro: My confession! Katika hali isiyo ya kawaida, kijana Karimu Said (25) ... thumbnail 1 summary
Kijana Karimu Said ‘Anti Karim’ akitoa ushuhuda redioni.
Morogoro: My confession! Katika hali isiyo ya kawaida, kijana Karimu Said (25) almaarufu Anti Karimu aliyekiri kufanya biashara haramu ya kuuza mwili (ushoga),

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mh. Paul Makonda ‘Awatimua’ Vigogo Wawili, Ni Baada ya Kukamata Madudu

KAMATI maalumu ya uchunguzi iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda imefichua madudu na harufu ya ufisadi katika utekel... thumbnail 1 summary
KAMATI maalumu ya uchunguzi iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda imefichua madudu na harufu ya ufisadi katika utekelezwaji wa mikataba mitatu, inayohusu maeneo ya ukusanyaji mapato ya Stendi Kuu ya Mabasi Yaendayo Mikoani ya Ubungo na kodi ya uegeshaji magari katikati ya mji.
Kutokana na madudu hayo, Mkuu huyo wa Mkoa amebainisha wazi kuwa hataki kufanya kazi tena na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe na Kaimu wake, Sarah Yohana na kuwasilisha majina yao kwa mamlaka husika ya nidhamu kwa hatua zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, alisema hivi karibuni aliunda kamati hiyo maalumu kufuatilia maeneo hayo muhimu kutokana na malalamiko ya muda mrefu, ambayo ofisi yake ilikuwa ikipokea kutoka kwa wananchi.
Alisema kwa mujibu wa uchunguzi, kamati hiyo ilibaini kuwa katika stendi ya mabasi ya Ubungo, kumekuwa na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma, ikiwemo kutokuwasilishwa kwa mapato halisi yanayotokana na makusanyo ya kila siku serikalini.
“Kamati ile imebaini kuwa pale ubungo kunatumika sheria ndogo mbili za ukusanyaji mapato moja ya mwaka 2004 na nyingine mwaka 2009 kwa lengo la kunufaisha wachache,” alisema Makonda.
Alifafanua kuwa Sheria Ndogo ya Mwaka 2004 ya ukusanyaji mapato ndani ya kituo hicho, inaonesha kuwa kila basi linatakiwa kutozwa Sh 4,000, hivyo makusanyo halisi kwa mwezi ni Sh milioni 42 kutokana na mabasi 350 yanayoegeshwa kituoni hapo.
Hata hivyo, alisema kutokana na mabadiliko ya tozo, sheria hiyo ilibadilishwa mwaka 2009 na kila basi likawa linatozwa Sh 8,000 na hivyo makusanyo ya mwezi yakapanda na kufikia Sh milioni 82 kwa mwezi.
“Lakini cha kushangaza tumebaini kuwa bado kampuni inayokusanya mapato katika kituo cha Ubungo, inawasilisha mapato hayo kwa kutumia sheria ya mwaka 2004 yaani Sh milioni 42 badala ya Sh milioni 82 kwa mwezi…” “…Mbaya zaidi kamati ile katika ukaguzi wake, ilikuta kampuni ya ukusanyaji mapato hayo stendi ya Ubungo inayo Sheria ya Mwaka 2009 lakini katika nyaraka za Halmashauri ya Jiji zinaonesha sheria inayotumika ni ya mwaka 2004,” alisisitiza Makonda.
Alisema katika uchunguzi ilibainika kuwa kampuni iliyo chini ya Halmashauri ya Jiji inayokusanya mapato hayo stendi ya Ubungo, ilisaini mkataba wa ukusanyaji mapato hayo kwa mara ya kwanza Januari 31, 2004 na baadaye ikasaini tena mkataba Januari 30, mwaka jana.
Kwa mujibu wa Makonda, kwa hali ilivyo tangu Sheria Ndogo ya Mwaka 2009 ipitishwe, haijawahi kutumika na hivyo kulisababishia hasara jiji hilo ya Sh bilioni tatu kutokana na mapato katika stendi hiyo kuendelea kuwasilishwa kwa kutumia sheria ya mwaka 2004.
“Ukipiga hesabu za harakaharaka utagundua kuwa kila mwezi Sh milioni 42 zimekuwa zikipotelea kwenye mikono ya wachache, kwa maana hiyo kuanzia mwaka 2009 Sh bilioni tatu zimepotea na kila mwaka tumekuwa tukipoteza Sh milioni 500, huu ni ufisadi wa aina yake kwa kweli,” alisema.
Alisema wakati fedha hizo zikipotea kwenye mikono ya wachache, kamati hiyo pia ilibaini kuwa hali ni mbaya katika kituo hicho cha Ubungo kwani pamoja na ukosefu wa vyoo na maegesho bora kwa mabasi, lakini pia vibanda vya biashara vilivyomo ndani ya stendi hiyo, vimekuwa vikitumika kukandamiza maskini na kunufaisha wachache.
“Kwa mujibu wa taratibu, kila kibanda mle ndani ya stendi kinatakiwa kukodishwa kwa Sh 200,000 kwa mwezi, lakini tumebaini kuwa wapo watu wachache wamevihodhi na kuvikodisha kwa zaidi ya Sh milioni 1.5,” alisema.
Kuhusu mkataba wa maegesho katikati ya jiji kupitia Kampuni ya National Parking System (NPS), alisema kamati hiyo pia imebaini kuwa Halmashauri ya Jiji imeiongezea mkataba wa miezi 10 kampuni hiyo kinyume cha taratibu wakati mkataba wake ulikuwa umeshamalizika.
Alisema mara baada ya mkataba huo kumalizika Agosti mwaka jana Mkurugenzi wa Jiji, Kabwe aliiandikia barua kampuni hiyo na kuiongezea muda wa miezi sita kwa madai kuwa mchakato wa kutafuta mzabuni mpya pamoja na kwamba umeanza, haujakamilika.
Aidha, Kaimu Mkurugenzi Yohana naye aliandika miezi kadhaa baadaye barua na kuiongezea tena kampuni hiyo muda wa miezi minne iendelee kukusanya kodi ya maegesho kwa kuwa bado mchakato wa kutafuta mzabuni mpya haujakamilika.
“Barua zote mbili zina saini ya viongozi hawa wawili, hatua hizi ni kinyume kabisa na maadili ya viongozi pamoja na Katiba ya nchi. Haiwezekani mchakato wa kumtafuta zabuni uchukue zaidi ya miezi sita,” alieleza Makonda.
Pamoja na hayo, Makonda pia alisema kamati hiyo katika uchunguzi wake dhidi ya Kampuni ya Tambaza inayosimamia makosa ya pikipiki na maegesho ya magari katika sehemu zisizotakiwa, imekuwa ikitoza fedha nyingi za faini kinyume cha mkataba.
“Mkataba wao unaonesha wazi kuwa wanatakiwa wakikamata pikipiki yenye makosa watoze faini ya Sh 20,000 lakini imebainika wao wanatoza zaidi ya Sh 80,000. Licha hivyo pia mkataba unawataka wazingatie dharura na kutotumia lugha chafu lakini yote haya hawayazingatii,” alisema.
Alisema tangu Rais John Magufuli aingie madarakani amekuwa mstari wa mbele kupiga vita ubadhirifu wa fedha za umma, rushwa na ufisadi hivyo akiwa kama Msaidizi wa Rais anaunga mkono juhudi hizo ndio maana hawezi kunyamazia madudu yeoyote yanayohusu ufisadi.
“Nimewasiliana na mamlaka husika ya nidhamu ili ichukue hatua stahiki dhidi ya viongozi hawa wawili Kabwe na Yohana na nimeiambia mamlaka hii kwa uwazi kabisa siwahitaji kuendelea nao hapa Dar es Salaam,” alisisitiza.
Aidha, alisema tayari amewasiliana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu mikataba hiyo yote mitatu ambayo imeahidi kuanza kuifanyia kazi leo.
Alisema ameamua kuchukua hatua hiyo ya kuwashughulikia wakurugenzi hao kwa kuwa wao ndio tatizo kwani mikataba hiyo hata ikivunjwa kwa sasa itakuwa ni kazi bure kama viongozi hao wataendelea kuwepo.
Hii ni mara ya pili kwa Stendi ya Ubungo kuingia katika kashfa ya ubadhirifu wa fedha, ambapo mwaka 2011, Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda aliagiza ufanyike uchunguzi, uliobaini kuwepo kwa madudu, hali iliyosababisha mzabuni aliyekuwepo kuondolewa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa ya Wizara: Mabadiliko ya Muda wa Matumizi ya Daraja la Kigamboni Kesho

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph... thumbnail 1 summary
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, anatarajiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: