February 10, 2014

TAZAMA PICHA ZA BABY MADAHA HUKO KENYA

Picha hizi kutoka kwa mrembo huyu wa bongo movie Baby madaha akiwa nchini kenya hivi karibuni thumbnail 1 summary


Picha hizi kutoka kwa mrembo huyu wa bongo movie Baby madaha akiwa nchini kenya hivi karibuni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE NI SAHIHI KUMUOA X-GIRFRIEND WA RAFIKI YAKO WA KARIBU??

Nilitokea kumpenda sana binti mmoja lakini sikuwa na uwezo wa kuingia kwenye uhusiano naye kipindi hicho na najua alijua kuwa na... thumbnail 1 summary


Nilitokea kumpenda sana binti mmoja lakini sikuwa na uwezo wa kuingia kwenye uhusiano naye kipindi hicho na najua alijua kuwa nampenda lakini kulikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MFAHAMU MSANII WA BONGO BEN POL

  Benard Michael Paul Mnyang’anga au unaweza kumuita ben pol alizaliwa september 8, mwaka 1989. Kwasasa ben pol ndiyo mfalme wa muziki wa thumbnail 1 summary


 
Benard Michael Paul Mnyang’anga au unaweza kumuita ben pol alizaliwa september 8, mwaka 1989. Kwasasa ben pol ndiyo mfalme wa muziki wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAH AHUSISHA UCHAWI KUPIGWA CHINI RECORD LABEL YAKE "CANDY CANDY"

Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kw... thumbnail 1 summary



Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mambo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE WAMFAHAMU VIZURI KING MAJUTO?? SOMA HAPA KUJUA MAMBO MENGI KUHUSU KING MAJUTO NA IDADI YA MOVIE ALIZOCHEZA Amri Athuman’  King Maj... thumbnail 1 summary

JE WAMFAHAMU VIZURI KING MAJUTO?? SOMA HAPA KUJUA MAMBO MENGI KUHUSU KING MAJUTO NA IDADI YA MOVIE ALIZOCHEZA


Amri Athuman’ King Majuto’ alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, Tanga, alianza kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 9 akiigiza katika majukwaa Mzee Majuto maarufu kama King Majato ni mtunzi, muigizaji,mwandishi wa mswada.



Na ndiye muigizaji wa kwanza kuandaa kazi zake katika mikanda na kuuza akiwa na Tanzania Film Company ( TFC) Kwa sasa King Majuto ni mwigizaji mwenye mashabiki wengi kutokana maonyesho mbalimbali, vichekesho vyake aliyoshiriki nchi mbalimbali.

BONYEZA HAPA KU LIKE PAGE YETU
NA HIZI NDIZO MOVIE ALIZOCHEZA KING MAJUTO, PIA UNAWEZA KUBONYEZA KILA JINA LA MOVIE NA UKANUNUA ONLINE.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAMUEL ETOO PICHA ZA MAGARI YAKE YA KIFAHARI

Huyu ni Mka Cameroon anayesakata Kabumbu la kulipwa huko barani Ulaya, kwa sasa anaichezea Timu ya Chelsea, Pia Samuel ni mch... thumbnail 1 summary


Huyu ni Mka Cameroon anayesakata Kabumbu la kulipwa huko barani Ulaya, kwa sasa anaichezea Timu ya Chelsea, Pia Samuel ni mchezaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AGNESS MASOGANGE NA LINEX MJEDA ETI NI WAPENZI???

Hii ni Picha ya Jana Usiku walivyokuwa wamejiachina ndani ya Gymkhana Kwenye Viwanja Vya Gymkhana na Leo Wamemaliza Kila Kitu Baada thumbnail 1 summary


Hii ni Picha ya Jana Usiku walivyokuwa wamejiachina ndani ya Gymkhana Kwenye Viwanja Vya Gymkhana na Leo Wamemaliza Kila Kitu Baada

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU AWASHANGAA WANAO MPONDA JOKATE..

Mwigizaji Wema Sepetu, amewashangaa wanaomponda Jokate Mwegelo kwa kumaliza tofauti baina yao akisema kuwa hawatendi haki na wanaingilia thumbnail 1 summary


Mwigizaji Wema Sepetu, amewashangaa wanaomponda Jokate Mwegelo kwa kumaliza tofauti baina yao akisema kuwa hawatendi haki na wanaingilia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA AKIRI UCHAWI UPO BAADA YA KUPIGWA JUJU NA KUSINGIZIWA KUJIUZA

Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mam... thumbnail 1 summary


Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mambo yaliyomtokea hivi karibuni haelewi hata imekauje.

Chanzo nini?

Hapo siku za nyuma baby Madaha alipatikana na dhahama ya kukumbwa na kashfa nzito sana ya kujiuza kwa dau la milioni kumi kwa jamaa mmoja hivi mitaa ya Dar es Salaam Jambo lilolopelekea yeye kupigwa chini na Record label yake ya Candy and Candy ya huko Kenya na kupokonywa gari aina ya AUDI TT aliyokuwa akitembelea huku akiharibu pia uhusiano wake na bosi wa record label hiyo - Joe kairuki ambaye pia anadaiwa kuwa mpenzi wake.

Je ni Kweli alijiuza?

Baby Madaha ambaye amerudi nchini hivi karibuni tokea Nairobi alipoenda “ku-solve” ishu yake hiyo na label hiyo anasema yani hata haelewi kitu gani kilitokea siku hiyo ingawa mpaka akaandikwa kama alienda kujiuza, anachokumbuka ni kupigiwa simu na mtu asiyemfahamu an kumwambia anataka wafanye naye kazi ya kusambaza filamu yake mpya ya Gal Bladder ambaye inatikisa soko kwa sasa.

Baada ya kufika hapo waliongea vizuri na kuondoka ghafla kabla ya kuja kusoma kesho yake kuwa alikuwa anajiuza kitu ambacho ansema hajui kimetoka wapi.

“Yani hata sielewi ilikuaje nikaenda kukutana na yule jamaa, ilikuwa ni kama muujiza hivi, mwanzo nilisita sana ila nikashangaa nimefika tu pale bila kujielewa, ni vitu vya ajabu sana” alieleza baby Madaha.

Uhusiano wake na Label hiyo ukoje sasa?

Akizungumza na bongomovies, baby amesema kwa sasa kila kitu kipo sawa kwani alipoenda Kenya waliongea vizuri na bosi wake huyo na kumaliza tofauti zao na sasa amerudi nchini kusambaza filamu yake hiyo mpya ya Gal bladder huku akijiindaa kupiga show kwenye tour yake aliyoiandaa  jina la Top Up and Refill itakayofanyika mwezi ujao wa tatu.

Mwenyewe anasemaje zaidi?

Hata wafanyaje, waniroge, wanichafue, i'm a bad gal, na sibabaishi na vijimaneno vya watu hata kidogo, sitoki candy and Candy hata waloge kwa waganga wote duniani. Kama walifikiri nimeumbuka, wajue watasubiri sana. Nikitoka kenya naenda Holywood tu!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE AFICHUA SIRI YA KUPATANA NA WEMA

THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua... thumbnail 1 summary























THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua siri ya kupatana na Wema Isaac Sepetu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROSE MUHANDO MBARONI DAR KISA? SOMA HAPA

STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha ... thumbnail 1 summary


STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPENZI YA RAY NA CHUCHU HANS YAZIDI KUPAMBA MOTO

MAMBO hadharani! Penzi ‘hoti’ la mastaa mahiri wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans na  Vincent  Kigosi ‘Ray’ kwa sasa limekuwa kama la n... thumbnail 1 summary


MAMBO hadharani! Penzi ‘hoti’ la mastaa mahiri wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa sasa limekuwa kama la njiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASTAA WA BONGO WASHEREKEA AROBAINI YA MTOTO WA ROSE NDAUKA

Mtoto wa star mkubwa wa filamu nchini Rose Ndauka alitimiza arobaini tangu azaliwe. Mtoto huyo anaitwa Naveen na baba yake thumbnail 1 summary


Mtoto wa star mkubwa wa filamu nchini Rose Ndauka alitimiza arobaini tangu azaliwe. Mtoto huyo anaitwa Naveen na baba yake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU HISTORIA YA MASANJA MKANDAMIZAJI

  Kwa wapenzi wa sanaa ya vichekesho, jina la Masanja Mkandamizaji si geni masikioni mwao kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu thumbnail 1 summary


 
Kwa wapenzi wa sanaa ya vichekesho, jina la Masanja Mkandamizaji si geni masikioni mwao kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MATOKEO WALIOFUDHU KUINGIA MAISHA PLUS

  Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) , thumbnail 1 summary


 Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) ,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMRUSHA MPENZI WAKE BAADA YA FUMANIZI

Mzee mmoja mwenye hasira kali, Deji Kamoru, amejikuta akitiwa mbaroni baada ya kumfuma binti yake Aishat thumbnail 1 summary


Mzee mmoja mwenye hasira kali, Deji Kamoru, amejikuta akitiwa mbaroni baada ya kumfuma binti yake Aishat

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UZURI KUPITA KIASI WAMPONZA MREMBO KUGOMBEA UONGOZI UCHAGUZI....!

Msichana mrembo kutoka Iran amejikuta akikosa nafasi ya uongozi katika halmashauri ya jiji lake kwa kuambiwa kuwa yeye ni mzuri sana h... thumbnail 1 summary
Msichana mrembo kutoka Iran amejikuta akikosa nafasi ya uongozi katika halmashauri ya jiji lake kwa kuambiwa kuwa yeye ni mzuri sana hivyo amepitiliza sifa za nafasi hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: