January 14, 2014

MATESO! MIAKA 14, KILO 111, ASIMAMISHWA SHULE ... SOMA ZAIDI

GRACE Simon mwenye miaka 14 anateseka na uzito wa kupindukia  wa kilo 111 (kama gunia... thumbnail 1 summary
GRACE Simon mwenye miaka 14 anateseka na uzito wa kupindukia  wa kilo 111 (kama gunia moja la mahindi na viroba vitatu) hali iliyomsababishia akatishwe masomo na walimu katika Shule ya Msingi Amani, Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam alikokuwa anasoma.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUNDU LISSU: AONGEA MAZITO KUHUSU ZITTO NA CHAMA CHAKE ... SOMA HAPA

Tundu Lissu akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani). thumbnail 1 summary
Tundu Lissu akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE ASICHOMOE .... SOMA HAPA

Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi? Binti : Hapana. Sina mpenzi. Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana M... thumbnail 1 summary


Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ... C.RONALDO ALIVYOTWAA UBINGWA WA BALLON D'OR .... TAZAMA HAPA

Huu ndio mpangilio wa jinsi Ronaldo na Messi w... thumbnail 1 summary
Huu ndio mpangilio wa jinsi Ronaldo na Messi walitakiwa kukaa kwenye utoaji wa tuzo hii.
Huu ndio mpangilio wa jinsi Ronaldo na Messi walitakiwa kukaa kwenye utoaji wa tuzo hii.
Usiku wa January 13 2014 huko Zurich ndio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI .... BASI LA SHABIBIY LAGONGANA NA LORI SINGIDA ... SOMA ZAIDI

Taarifa inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya... thumbnail 1 summary
4Taarifa inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya hili basi la Shabiby baada ya kugongana na lori la mafuta lililokua tupu hivyo kupinduka kwenye kijiji cha Kisaki kwenye barabara kuu kutoka Singida kwenda Dodoma.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA ATAOLEWA TENA? NA HUYU MME WA MTU? ALICHOFUATA CHINA NINI? DAWA ZA KULEVYA JE? ..... PATA MAJIBU HAPA

Hii ni interview ya kwanza ya mwigizaji Kajala, yani ndio kwa mara ya kwan... thumbnail 1 summary
kajala
Hii ni interview ya kwanza ya mwigizaji Kajala, yani ndio kwa mara ya kwanza kahojiwa kwenye chombo cha habari (Exclusive on millardayo.com) baada ya kumiliki headlines kwa ishu zake tatu ambazo ni kuchukua mume wa mtu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... The Holly Sin - 08

ILIPOISHIA: ALIPOMALIZA chupa ya pili, tayari alikuwa tilalila, akamuinua na kuanza kumkokota kuelekea mahali alikopaki gari lake. “Leo ... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
ALIPOMALIZA chupa ya pili, tayari alikuwa tilalila, akamuinua na kuanza kumkokota kuelekea mahali alikopaki gari lake.
“Leo ndiyo leo, asemaye kesho mwongo,” alisema mzee huyo huku akijilamba midomo kutokana na uchu aliokuwa nao.
SASA ENDELEA…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: