July 04, 2014

VIDEO MPYA:SNURA AACHIA VIDEO NYINGINE YA WIMBO WAKE 'USHAHARIBU'...ITAZAME HAPA

Staa wa ‘majanga’ Snura amerudi tena kwenye screen yako na hii video mpya ambayo imefanywa na AJ a.k.a Adam Juma wa Visual Lab, ambapo thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-04 at 1.52.19 AM
Staa wa ‘majanga’ Snura amerudi tena kwenye screen yako na hii video mpya ambayo imefanywa na AJ a.k.a Adam Juma wa Visual Lab, ambapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ya Mugabe kuwafukuza wakulima wazungu Zimbabwe.

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wakulima wazungu waliobaki katika nchi hiyo kuondoka na kuwaachia mashamba wazalendo wa nchi h... thumbnail 1 summary
robert-mugabe2Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wakulima wazungu waliobaki katika nchi hiyo kuondoka na kuwaachia mashamba wazalendo wa nchi hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwimbaji Mya akanusha vikali kutoka kimapenzi na Rapa Jay Z.

Hatimaye mwimbaji wa miondoko ya R&B wa nchini Marekani, Mya, amejibu tuhuma nzito zilizokuwa zimeelekezwa juu yake kuwa amekuwa na m... thumbnail 1 summary
mya2Hatimaye mwimbaji wa miondoko ya R&B wa nchini Marekani, Mya, amejibu tuhuma nzito zilizokuwa zimeelekezwa juu yake kuwa amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Rapa Jay Z

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa ya kuletwa kwa sarafu ya shilingi 500, noti zinachakaa mapema.

Baada ya kubainika noti ya shilingi 500 kuwa na mzunguko mkubwa wa matumizi, na kuchakaa kwa haraka huku kiwango chake kudumu kwenye mz... thumbnail 1 summary
noti
Baada ya kubainika noti ya shilingi 500 kuwa na mzunguko mkubwa wa matumizi, na kuchakaa kwa haraka huku kiwango chake kudumu kwenye mzunguko kwa miezi sita, Benki kuu ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII VIDEO NYINGINE ALIYOSHIRIKISHWA IYANYA NI HATARI, WAKUBWA TU WATAZAME

Msanii kutoka Chiggzy Entertainment, T- Obay ameachia video ya single yake mpya has dropped the thumbnail 1 summary

Msanii kutoka Chiggzy Entertainment, T-
Obay ameachia video ya single yake mpya has dropped the

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAIMATHA AVISHWA PETE NA KUDUME BAADA YA ZILE ZA MWANZO KUPOTEA KATIKA MAZINGIRA TATANISHI

MTANGAZAJI  ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa ba... thumbnail 1 summary

MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za wali kupotea katika mazingira ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PHOTOS: AJALI MBAYA YA DALADALA TABATA JIJINI DAR...!SHUHUDIA MWENYEWE HAPA..

Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T344AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es Salaam l... thumbnail 1 summary
Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T344AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es Salaam likiwa limeharibika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA YA CHETI ALICHOTUNUKIWA DIAMOND BAADA YA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME E.AFRIKA...SHUKA NAYO

Baada ya Diamond Platnumz kushinda Certificate of Archievement kwa level ya Platnumz ameweza Kuwashukuru fans zake waliofanikisha kupatik... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz

Baada ya Diamond Platnumz kushinda Certificate of Archievement kwa level ya Platnumz ameweza Kuwashukuru fans zake waliofanikisha kupatikana Tuzo hiyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FACEBOOK KUCHUNGUZWA...NI BAADA YA KUWAFANYIA WATU UTAFITI WA KISAIKOLOJIA BILA YA WAO KUJUA

Facebook imekana kuwa ilikusanya taarifa za watu kisiri Tume inayodhibiti taarifa za umma nchini Uingereza inafanya uchunguzi ... thumbnail 1 summary



Facebook imekana kuwa ilikusanya taarifa za watu kisiri
Tume inayodhibiti taarifa za umma nchini Uingereza inafanya uchunguzi iwapo mtandao wa Facebook ulivunja kanuni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAZIRI WA ZAMANI WA KENYA AWAACHA WATU MIDOMO WAZI BAADA YA KUMLA MATE MKEWE KAMA KIJANA WA MIAKA 20 LIVE UWANJA WA NDEGE...

hii ilitokea juzi wakati laila odinga ambaye kwa sasa anaishi Boston alipokwenda kumpokea mke wake ambae alikwenda kumuona, wawili hao wa... thumbnail 1 summary

hii ilitokea juzi wakati laila odinga ambaye kwa sasa anaishi Boston alipokwenda kumpokea mke wake ambae alikwenda kumuona, wawili hao walibusiana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SNURA MAMA WA MAJANGA AACHIA VIDEO YAKE MPYA TAZAMA HAPA

Staa wa ‘majanga’ Snura amerudi tena kwenye screen yako na hii video mpya ambayo thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-04 at 1.52.19 AM
Staa wa ‘majanga’ Snura amerudi tena kwenye screen yako na hii video mpya ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANASIASA AANGUA KILIO KUOMBA MSAMAHA KWA WANANCHI

Nakumbuka kwenye bunge la bajeti Tanzania lililoisha hivi karibuni kuna stori ziliongelewa za Mchina ambae alijinyonga Morogoro baada ya ku... thumbnail 1 summary
JapanNakumbuka kwenye bunge la bajeti Tanzania lililoisha hivi karibuni kuna stori ziliongelewa za Mchina ambae alijinyonga Morogoro baada ya kugundua kwamba kazi ya ujenzi aliyoifanya haikuwa kwenye kiwango kinachotakiwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Timu ya Algeria imerudi nyumbani kutokea kombe la dunia, hapa kuna picha 5 za jinsi walivyopokelewa

Kwenye kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye ... thumbnail 1 summary
algeria 2Kwenye kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye mashindano haya baada ya kuwa moja ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUWA WA KWANZA KUONA JEZI MPYA YA MANCHESTER UNITED

HUU NDIYO UZI MPYA WA MANCHESTER UNITED ULIOVUJA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI, IMEELEZWA HATA KAMA KUTAKUWA NA TOFAUTI HAITAKUWA KUBWA. thumbnail 1 summary
HUU NDIYO UZI MPYA WA MANCHESTER UNITED ULIOVUJA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI, IMEELEZWA HATA KAMA KUTAKUWA NA TOFAUTI HAITAKUWA KUBWA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STEVE NYERERE AKANUSHA MADAI YA COLETHA KUDA KUWA ANATENGWA

Deogratius Mongela na Shani Ramadhani MWENYEKITI  wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kumteng... thumbnail 1 summary

Deogratius Mongela na Shani Ramadhani
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kumtenga msanii mwenzao, Coletha Raymond ‘Koleta’ kipindi alipokuwa anaumwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FLORA MVUNGI AJAWA NA HOFU YA KUFA MAPEMA

Na Gladness Mallya KUTOKANA  na hivi karibuni mumewe, Hamis Baba ‘H. Baba’ kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue ‘Dengi’ na kulazwa Muhi... thumbnail 1 summary
Na Gladness Mallya
KUTOKANA na hivi karibuni mumewe, Hamis Baba ‘H. Baba’ kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue ‘Dengi’ na kulazwa Muhimbili,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CATHY: USTAA KWENYE NDOA NI TATIZO

MSANII maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’ amewataka wasanii wenzake kutofanya ustaa kwenye ndoa zao kwani n... thumbnail 1 summary


MSANII maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Sabrina Rupia ’Cathy’ amewataka wasanii wenzake kutofanya ustaa kwenye ndoa zao kwani ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa nyingi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI POMBE SIO SUPU...YAMTOKEA PUANI DADA HUYU BAADA YA KULEWA CHAKARI..AFANYIWA KITU MBAYA SANA!!

Wadada bhana mnazidi kutushangaza sisi waungwana hivi inakuaje unapiga mitungi mpaka kiasi unashindwa kutembea kabisa, ni ofa ndo zinakuc... thumbnail 1 summary

Wadada bhana mnazidi kutushangaza sisi waungwana hivi inakuaje unapiga mitungi mpaka kiasi unashindwa kutembea kabisa, ni ofa ndo zinakuchanganya ama nini jaribuni kupiga soft basi maana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BALOZI WA LIBYA NCHINI TANZANIA AJIUA

Balozi wa Libya nchin i Tanzania amejiua kwa kujipiga risasi kichwani. Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam , John Solombi anasema ku... thumbnail 1 summary

Balozi wa Libya nchini Tanzania amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.
Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam , John Solombi anasema kuwa balozi huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TOHARA YAUA 19 AFRIKA KUSINI

Wizara ya Afya nchini Afrika Kusini inasema kuwa wavulana kumi na  tisa wameaga dunia mwaka huu katika sherehe za kitamaduni za kuwapa... thumbnail 1 summary

Wizara ya Afya nchini Afrika Kusini inasema kuwa wavulana kumi na 
tisa wameaga dunia mwaka huu katika sherehe za kitamaduni za kuwapasha 
tohara wavulana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: