July 19, 2014

Alichoandika Peter wa P Square baada ya kuipotezea harusi ya kaka yake.

Kama kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walioneka... thumbnail 1 summary
24
Kama kaka yake ambavyo hakuhudhuria harusi yake, basi Peter Okoye na yeye amepotezea harusi ya kaka yake Jude Okoye. Ndugu hao walionekana  kwamba wamemaliza tofauti zao lakini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lil Wayne hivi sasa yupo kwenye mapenzi na msanii huyu.

Walionekana wakiwa pamoja kwa karibu sana kwenye tukio la BET awards na baadae mapaparazi waliwapiga picha kwenye after party na pia wali... thumbnail 1 summary
2e540eea-2092-4d3e-a404-e2690d32db74Walionekana wakiwa pamoja kwa karibu sana kwenye tukio la BET awards na baadae mapaparazi waliwapiga picha kwenye after party na pia waliondoka pamoja usiku huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Young D kama Lil Wayne…cheki aina mpya ya muziki aliofanya.

Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Por... thumbnail 1 summary
ffff
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm Queen . Sasa Young D amefanya aina hii hiyo ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 9 za harusi ya Jude Okoye kaka yao P Square

Baada ya kuwashuhudia wadogo zake wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye kaka wa Peter na Paul wa P Square amefunga ndoa na mchumbwa wake... thumbnail 1 summary


1Baada ya kuwashuhudia wadogo zake wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye kaka wa Peter na Paul wa P Square amefunga ndoa na mchumbwa wake Ifeoma Umeokeke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BOB JUNIOR NAYE AFIKIRIA KUTEMBELEA NYOTA YA DIAMOND PLATNUMZ

Msanii wa muziki na producer, Bob Junior amesema kuna uwezekano mkubwa  wa kufanya kolabo na msanii aliyemtoa, Diamond Platnumz.   thumbnail 1 summary

Msanii wa muziki na producer, Bob Junior amesema kuna uwezekano mkubwa 
wa kufanya kolabo na msanii aliyemtoa, Diamond Platnumz.
 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA AMLIPUA KAJALA, KISA UNAFIKI!

BEAUTIFUL  Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25), amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafik... thumbnail 1 summary


BEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25), amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki.
Habari hiyo ya kuitwa mnafiki iliandikwa kwenye paparazi toleo lililopita

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA...LULU ANASWA LIVE NDANI YA MAHABA MAZITO FULL MA-KISS NA NJEMBA USIKU MNENE...!!!

Kidume huyu hakuweza fahamika ni nani...Hatari sana thumbnail 1 summary

Kidume huyu hakuweza fahamika ni nani...Hatari sana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TV STATION YA KIMATAIFA YAMCHUKUA VJ PENNY KUTANGAZA FILAMU ZA KITANZANIA.

Vipindi vya TV kuhusu filamu za kitanzania vinazidi kuongezeka kila siku katika harakati za kuzidi kuitangaza tasnia ya filamu Swahiliwo... thumbnail 1 summary

Vipindi vya TV kuhusu filamu za kitanzania vinazidi kuongezeka kila siku katika harakati za kuzidi kuitangaza tasnia ya filamu Swahiliwood. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAYUU: SIKUENDA KUROGA, SUMBAWANGA NI NYUMBANI

Msanii  anayefanya  vizuri  katika  tasnia  ya  filamu  nchini, Alice  Bagenzi  'Rayuu'  amesema  amekuwa  akisikia  maneno  ya ... thumbnail 1 summary

Msanii  anayefanya  vizuri  katika  tasnia  ya  filamu  nchini, Alice  Bagenzi  'Rayuu'  amesema  amekuwa  akisikia  maneno  ya  chinichini  kwamba  ameenda  Sumbawanga  Kuroga....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: