December 16, 2015

Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond Platnumz….(+Picha)

Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao ... thumbnail 1 summary
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao waliyomshirikisha Diamond Platnumz.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video)

Dj Arch  Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini  kipaji chake kinawashangasha watu  w... thumbnail 1 summary
Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapoAfrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu  wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama DJ.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Licha ya kuhusishwa kuwa hawapatani, Rafael Benitez kamuomba Cristiano Ronaldo afanye hivi …

Barani Ulaya kwa sasa kwa upande wa vilabu ambavyo makocha wake wanatajwa kwa katika wakati mgumu na wanahusishwa kufukuzwa ni Jose Mouri... thumbnail 1 summary
Barani Ulaya kwa sasa kwa upande wa vilabu ambavyo makocha wake wanatajwa kwa katika wakati mgumu na wanahusishwa kufukuzwa ni Jose Mourinho wa klabu yaChelsea, ambaye timu yake imekuwa ikifanya vibaya msimu huu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

v

Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor yaUturuki Samuel Eto’o bado yupo katika kikosi hicho na a... thumbnail 1 summary

Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor yaUturuki Samuel Eto’o bado yupo katika kikosi hicho na anapewa nafasi kubwa. Stori zilizotoka December 15 zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

List ya wachezaji soka wanne wenye majina yenye maana za kustaajabisha …

Nimekutana na hii mtu wangu list ya wachezaji soka ambao majina yao yana maana tofauti na yanachekesha sana ukiyasoma. Wakati mwingine ... thumbnail 1 summary

Nimekutana na hii mtu wangu list ya wachezaji soka ambao majina yao yana maana tofauti na yanachekesha sana ukiyasoma. Wakati mwingine kama unaweza kumuita mchezaji mbele za watu wasio mfahamu wanaweza kujua una maana tofauti,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAMKO LA CHADEMA KULAANI MBUNGE WAO SAID KUBENEA KUKAMATWA KWA AMRI YA MKUU WA WILAYA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kama ambavyo imeripotiwa kwenye vyombo vya habari na njia zingine za upashanaji habari tangu jana ... thumbnail 1 summary



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kama ambavyo imeripotiwa kwenye vyombo vya habari na njia zingine za upashanaji habari tangu jana kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Ndugu Saed Kubenea aliwekwa chini ya ulinzi na kuamriwa kwenda kituo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANNE WAKATAA UWAZIRI WA MAGUFULI WAKIHOFIA KUSHINDWA KUENDANA NA KASI YAKE

WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa... thumbnail 1 summary


WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: