April 29, 2014

INASIKITISHA SANA~DIAMOND ALIMWAGA MACHOZI LIVE WAKATI WA KURECORD WIMBO MPYA WA PROF. JAY, ISHU IPO HAPA

Wimbo wa Profesa Jay aliomshirikisha Diamond Platinumz ‘Kipi Sijasikia’umepokelewa kwa hisia na mashabiki wengi ambao wengi wao wameguswa n... thumbnail 1 summary
Wimbo wa Profesa Jay aliomshirikisha Diamond Platinumz ‘Kipi Sijasikia’umepokelewa kwa hisia na mashabiki wengi ambao wengi wao wameguswa na ujumbe na kuuhusisha na kile

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO MIJANAUME INAVYOZIDI KUTOLEA MACHO "WOLPER GAMBE"...TAZAMA HIKI ALICHOKIVAA HAPA

Kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mtandao wa  Instagram, utagundua hiki ninachokisema, Mastaa wengi sasa hivi wamekuwa wakiutumia mtanda... thumbnail 1 summary

Kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mtandao wa  Instagram, utagundua hiki ninachokisema, Mastaa wengi sasa hivi wamekuwa wakiutumia mtandao wa instagram kama sehemu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI WATATU WAFARIKI DUNIA WAKATI WAKIOGELEA KWENYE "SWIMMING POOL"

Simanzi na vilio jana vilitawala katika Mtaa wa Kijitonyama Mpakani A, baada ya watoto watatu wa familia jirani kufariki dunia baada ya k... thumbnail 1 summary

Simanzi na vilio jana vilitawala katika Mtaa wa Kijitonyama Mpakani A, baada ya watoto watatu wa familia jirani kufariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAVUNJA UKIMYA:P-SQURE WAFUNGUKA JUU YA KUVUNJIKA KWA KUNDI LAO

Kupitia mtandao wa Twitter,mapacha wawili wanaosumbua kwenye anga la muziki P Square wamefunguka kuhusiana na tetesi za wao kugombana  ... thumbnail 1 summary
Kupitia mtandao wa Twitter,mapacha wawili wanaosumbua kwenye anga la muziki P Square wamefunguka kuhusiana na tetesi za wao kugombana kit kilichohatarisha muziki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIMENUKA:WATOTO WA MAREHEMU MZEE GURUMO WAANZA KUGOMBEA MALI ZA BABA YAO.

“Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha baba…” hicho ni kibwagizo katika wimbo wa Tunatoana Roho uliopigwa na Msondo Music Band ‘Sik... thumbnail 1 summary

“Tunatoana roho yarabiii, kwa mali alizoacha baba…” hicho ni kibwagizo katika wimbo wa Tunatoana Roho uliopigwa na Msondo Music Band ‘Sikinde’ukiwa ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO..HABIRIA WANUSURIKA

Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi h... thumbnail 1 summary

Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMWAGIWA KINYESI NA MTUHUMIWA WAKATI AKITOKA MAHAKAMANI

Mkazi  wa Kata ya Ngara mjini wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera, Bw, Philimoni Bunziya akimwelezea mwandishi wa habari hizi jinsi alivyomw... thumbnail 1 summary

Mkazi  wa Kata ya Ngara mjini wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera, Bw, Philimoni Bunziya akimwelezea mwandishi wa habari hizi jinsi alivyomwagiwa chupa yenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACKLINE WOLPER AMFANYIA MBAYA MASOGANGE:AMCHUKILIA PEDESHEE WA KIHINDI ALIYETAKA KUMLIPIA MASOGANGE MAHALI YA MIL 40

Msanii Wolper akiwa na Prence Kass maarufu kama Muhindi wa Masogange

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNGA WAZIDI KUMTESA RAY C....

MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni... thumbnail 1 summary
MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye aliwahi kuathirika na utumiaji wa ‘unga’, hivi karibuni alitinga ofisi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AZINYOFOA SEHEMU ZA SIRI ZA MUMEWE KWA WIVU NA UGOMVI WA KIMAPENZI

Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mum... thumbnail 1 summary

Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) , mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mumewe Jumane Mwalami (21) baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKARI MWENYE HIPS ZA KUDATISHA KENYA APIGWA MKWARA NA BOSI WAKE BAADA YA PICHA KUSAMBAA

 Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake K... thumbnail 1 summary

 Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake Kusambaa Mitandaoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU ALA SHAVU LA MTANDAO WA SIMU

Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtell Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu thumbnail 1 summary
Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtell Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE KA VITUKO..!! AJISIFIA KWA KUWAPIGA VIBUTI WANAUME NA AJAWAHI ACHWA..

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa an... thumbnail 1 summary

STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zaidi ya milioni 300 zimemtoka Peter wa P Square kununua gari hili jipya Bentley GT 2014.

Baada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao... thumbnail 1 summary
p spuareBaada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao kwenye muziki, Peter amewaonyesha fans wake gari lake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wengi kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi chao cha utotoni lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa wamean... thumbnail 1 summary
0Wengi kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi chao cha utotoni lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa wameanza kucheza michezo yao tangu wakiwa watoto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hiki ni kitu kipya watakachofanya Jay Z na Beyonce kwa pamoja.

Mr and Mrs Carter wamefanya vitu vingi pamoja haswa kwenye ishu ya muziki ambapo wameshafanya collaboration na kupeana support kwenye sho... thumbnail 1 summary
yyMr and Mrs Carter wamefanya vitu vingi pamoja haswa kwenye ishu ya muziki ambapo wameshafanya collaboration na kupeana support kwenye show mbalimbali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA HUU NDIYO UJIO MPYA WA "CYRILL KAMIKAZE" NI SHIDAA!!

Cyrill anatarajia Kuchia Ngoma yake hivi karimbuni atakayoitambilisha kama "ALOWA" thumbnail 1 summary
Cyrill anatarajia Kuchia Ngoma yake hivi karimbuni atakayoitambilisha kama "ALOWA"

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: