November 30, 2014

WEMA AMPONGEZA DIAMOND, AMUITA ‘KAKA’, ZARI ACHUKUA NAFASI YAKE RASMI, AMSINDIKIZA KWENYE #CHOAMVA14

It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena.   Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa thumbnail 1 summary

It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. 





Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond anyakua tuzo tatu za Channel O Africa Music Video Awards na kuwabwaga davido, Mafikizolo , iyanya

Diamond Platnumz ameng’ara tuzo za Channel O Africa Music Video Awards kwa kunyakuwa tuzo 3 za thumbnail 1 summary
10805738_813039235425607_4633273530971251814_n

Diamond Platnumz ameng’ara tuzo za Channel O Africa Music Video Awards kwa kunyakuwa tuzo 3 za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND PLATNUMZ ANATISHA,CHEKI HII VIDEO ALIYOFANYA NA MNIGERIA

Diamond ndio ameshatoboa mpaka kwenye headlines za muziki wa Nigeria baada ya kushirikiana na wakali wa muziki kutoka kwenye nchi hiyo kama... thumbnail 1 summary
waje 3Diamond ndio ameshatoboa mpaka kwenye headlines za muziki wa Nigeria baada ya kushirikiana na wakali wa muziki kutoka kwenye nchi hiyo kama Davido

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MGANGA ANAYEDAI KUMNG’ARISHA MENINAH ATOBOA SIRI NZITO

Mganga aliyejita-mbulisha kwa jina moja la Kimweri ameibuka na madai mazito kuwa ndiye aliyemng’arisha staa wa kike wa Bongo Fleva, Menin... thumbnail 1 summary

Mganga aliyejita-mbulisha kwa jina moja la Kimweri ameibuka na madai mazito kuwa ndiye aliyemng’arisha staa wa kike wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Meninah La diva’ hivyo kutoa siri nzito ambayo wengi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA HAPA DIAMOND PLUTINUMZ ALICHOFANYA AFRIKA KUSINI NDANI YA JUMBA LA BBA

Hii ni mara ya pili kwa msanii  Diamond Platnumz  kualikwa ndani ya jumba la BBA akiwa na mwanamuziki kutoka Congo,  Fally Ipupa  amb... thumbnail 1 summary
Hii ni mara ya pili kwa msanii Diamond Platnumz kualikwa ndani ya jumba la BBA akiwa na mwanamuziki kutoka Congo, Fally Ipupa ambapo wameshiriki chakula cha mchana pamoja na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA NA UFAHAMU NJIA ZA KIDIGITAL ZA KUMTONGOZA MWANAMKE NA AKUPENDE DAIMA

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvuti... thumbnail 1 summary



Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.

Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

November 29, 2014

AIBU:PICHA ZA MUUZA NYAGO KWENYE TV ZA U2PU ZA LULU ZATIA FORA KILA KONA

WHY?  Wauza nyago wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya... thumbnail 1 summary



WHY? Wauza nyago wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya utupu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZEE WA VISENT AIBUKA NA VIDHUMUNI HUKO DODOMA .....KILA KONA SASA CHENGE! CHENGE!

KAMA  Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, y... thumbnail 1 summary


KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DODOMA BADO YAZIZIMA TUNDU AMEFUNGUKA NA KUSEMA FEDHA HIZI NI ZA NCHI NA MUHONGO AMESEMA UONGO

Lissu: Naomba niseme kuwa Bunge lako limepotoshwa moja kwa moja na Mh. Muhongo Lissu: Kiambatanisho namba 2 sio ushahidi wa standard ch... thumbnail 1 summary



Lissu: Naomba niseme kuwa Bunge lako limepotoshwa moja kwa moja na Mh. Muhongo

Lissu: Kiambatanisho namba 2 sio ushahidi wa standard charted Hong Kong kutambua chochote ila ni hati ya madai.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUTOKA DODOMA:WABUNGE KUPINGA BAADHI YA MAAZIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW

MAAZIMIO Pendekezo la kwanza  la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwez... thumbnail 1 summary


MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

November 28, 2014

Muonekano wa Yule Msichana wa Kazi Aliye Taka Kumuua Mtoto wa Boss Wake Baada ya Yeye Kuchezea Kichapo

Huu ndio muonekano wa yule msichana wa kazi za ndani aliye tenda unyama wa kutaka kumuua mtoto wa bosi wake atimaye naye amepokea kipigo... thumbnail 1 summary


Huu ndio muonekano wa yule msichana wa kazi za ndani aliye tenda unyama wa kutaka kumuua mtoto wa bosi wake atimaye naye amepokea kipigo takatifu cha nusu kufa kutoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

November 26, 2014

Mwanamke yeyote Akikupa Mara Moja, Hata Akiolewa Ukimwomba Tena Atakupa Bila Shida

Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano thumbnail 1 summary


Aaahh... nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU KWA CHAMELEONE DIAMOND PLATINUM KWA ZARI THE BOSSLADY NDANI YA UGANDA TAR 18

Katika hali ya sintofahamu kwa mahusiano ya mastaa wakubwa wawili wanaopendwa sana na vijana,Wema Sepetu na Diamond ikiendelea wamewa... thumbnail 1 summary


Katika hali ya sintofahamu kwa mahusiano ya mastaa wakubwa wawili wanaopendwa sana na vijana,Wema Sepetu na Diamond ikiendelea wamewachanganya zaidi pale

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA NDIO ILE SANAMU JAMAA ALISHIKWA AKIFANYA NAYO MAPENZI..CHEK HAPA PICHA SUPERMARKET

Polisi wamemshikilia kijana aliyekuwa akifanya mapenzi na sanamu ya kuchezea watoto ndani ya Supermarket moja nchini Marekani. thumbnail 1 summary


Polisi wamemshikilia kijana aliyekuwa akifanya mapenzi na sanamu ya kuchezea watoto ndani ya Supermarket moja nchini Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Angalia Hii CV ya Mama Lwakatare ilivyo na Maajabu yake hadi mtoto wa Darasa la 5 atashangaa

kuna mambo hapo juu kwenye hii Cv kidogo yananipa shida. naomba wadau mliosoma zamani mnisaidie. je miaka ya nyuma Elimu ya Msingi ilikuwa m... thumbnail 1 summary
kuna mambo hapo juu kwenye hii Cv kidogo yananipa shida. naomba wadau mliosoma zamani mnisaidie. je miaka ya nyuma Elimu ya Msingi ilikuwa miaka mi tatu?
Huyu mama Dr.Lwakatare alisoma Ifakara Girls Primary School

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

November 25, 2014

HATIMAYE WEMA SEPETU AONYESHA HISIA ZAKE JUU YA PICHA HII KWA KU-COMMENT KWA KUKEBEHI>>>SOMA HAPA>

Wema gives a Comment on Zari and Diamond's K!ssing Photo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SINA MPANGO WA KURUDI BONGO KWA SASA NAKULA MI=AISHA KWANZA--MASOGANGE

Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Masogange alisema kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya thumbnail 1 summary

Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Masogange alisema kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKATI TEAM WEMA WAKIENDELEA KUMPONDA ZARI KUWA NI MZEE NA ANAWATOTO>>>TEAM DIAMOND WACHARUKA

This is one of Diamond fan's INSTAGARM account....These are some of photos they posted.... thumbnail 1 summary


This is one of Diamond fan's INSTAGARM account....These are some of photos they posted....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DULLY SYKES ATOLEA UFAFANUZI KUHUSU ULE WIMBO WAKE WA ‘MATUSI’

Msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’.   Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matu... thumbnail 1 summary


Msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’.

 Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matusi yasiyoweza kuandikika gazetini kuanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao , msanii wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHAZ: WEMA VS ZARI>>>WAKIWA NA MAWIGI NA WAKIWA HAWANA>>>NANI MKALI

Copied from, Zardiamond_theproject  account on thumbnail 1 summary

Copied from, Zardiamond_theproject  account on

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTOTO ALIYEPEWA KIPIGO CHA KUFA MTU KUTOKA KWA HOUSE GIRL HUKO UGANDA, AFYA YAKE INAENDELEA VIZURI.

Mtoto akiwa hospitali anaendelea na matibabu  Habari iliyo 'make' headlines kwa siku ya jana mpaka leo na imetokea kuisisimua ... thumbnail 1 summary


Mtoto akiwa hospitali anaendelea na matibabu Habari iliyo 'make' headlines kwa siku ya jana mpaka leo na imetokea kuisisimua jamii na kuiamsha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE DIAMOND AONGELEA KUHUSU KUACHANA NA WEMA NA MAHUSIANO YAKE NA ZARI THE BOSS LADY

Jana Nov 21, Diamond amesikika kwenye show ya XXL ambapo amezungumzia mambo mengi, baadhi ya yale aliyoyazungumzia ni pamoja na story zil... thumbnail 1 summary

diamond na zari

Jana Nov 21, Diamond amesikika kwenye show ya XXL ambapo amezungumzia mambo mengi, baadhi ya yale aliyoyazungumzia ni pamoja na story zilizoenea mitandaoni kwamba mahusiano ya msanii huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USHOSTI WA NGUVU: WEMA NA PENNY WAKIWA KATIKA NGUO SARE NA TABASAMU PANAAA>>>HEBU FUNGUKA HIVI HAWA WAKO REAL AU FAKE>

Wema Sepetu and Penny Shared these photos on their INSTAGRAM page....is it a real Tabasamu OR Fake thumbnail 1 summary


Wema Sepetu and Penny Shared these photos on their INSTAGRAM page....is it a real Tabasamu OR Fake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AISEE HII HATARI SANA ...UNAAMBIWA HUYU MTOTO ATUMIWA KUMWIBA MTOTO MWENZAKE, AKAMATWA... MTAA WAFUNGWA KWA TIMBWILI LA MTOT

Mtoto mwenye umri wa miaka 8 anayedaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake. Tukio hilo la kushangaza lililonaswa na Ijumaa Wikienda lili... thumbnail 1 summary



Mtoto mwenye umri wa miaka 8 anayedaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake. Tukio hilo la kushangaza lililonaswa na Ijumaa Wikienda lilijiri wiki iliyopita mishale ya saa 8:00 mchana maeneo ya Majengo Mapya, Kata ya Kihonda jirani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA YALIYOJIRI KWENYE BARTHDAY YA MTANGAZAJI WA PLANET FM...DIDA AONGOZA MASTAA KIBAO

 Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Moro goro Warda Makongwa[mbele]akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pi... thumbnail 1 summary

 Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Moro

goro Warda Makongwa[mbele]akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pia ni mtangaazaji nyota wa redio Times Fm ya jijini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

November 23, 2014

KAJALA KUZAA TENA!

MWIGIZAJI   Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha. thumbnail 1 summary

MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME WENGI

MWANAMITINDO  na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni mara... thumbnail 1 summary

MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UWOYA AVUNJA UKIMYA JUU YA DIAMOND...HABARI KAMILI HAPA

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka leo katika blog hii... na kusema kuwa yeye hajaachana na mumeo wa ndoa na wala msanii Diam... thumbnail 1 summary

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka leo katika blog hii... na kusema kuwa yeye hajaachana na mumeo wa ndoa na wala msanii Diamond Platnum

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii hapa ni rekodi nyingine kubwa aliyoivunja Lionel Messi

Akiwa na miaka 27, Lionel Messi bado ana miaka zaidi ya mitatu ya kucheza soka katika kiwango cha juu, na kila siku anavunja na kuweka ... thumbnail 1 summary

IMG_8980.JPG

Akiwa na miaka 27, Lionel Messi bado ana miaka zaidi ya mitatu ya kucheza soka katika kiwango cha juu, na kila siku anavunja na kuweka rekodi mpya katika medani za soka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wayne Rooney aipa Man U ushindi na aweka rekodi hii mpya

Manchester United leo imepata ushindi wa kwanza ugenini kwenye ligi kuu ya England msimu huu baada ya kuifunga Arsenal 2-1 kwenye uwanj... thumbnail 1 summary
IMG_8981.JPG
Manchester United leo imepata ushindi wa kwanza ugenini kwenye ligi kuu ya England msimu huu baada ya kuifunga Arsenal 2-1 kwenye uwanja wao wa Emirates, jijini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

La Liga: Full Time ya Real Madrid vs Eibar… matokeo na wafungaji

Wakiwa wanaongoza ligi kuu ya Hispania, mabingwa wa ulaya klabu ya Real Madrid November 22 2014 ilitupa karata yake ya 14 katika mchezo d... thumbnail 1 summary
IMG_8984.PNGWakiwa wanaongoza ligi kuu ya Hispania, mabingwa wa ulaya klabu ya Real Madrid November 22 2014 ilitupa karata yake ya 14 katika mchezo dhidi ya Eibar.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nicki Minaj na video zake…. hizi picha ni za mpya inayofata!

Ni video ambayo ndani yake wataonekana mastaa kama Lil Wyne na Drake ambapo hizi picha zilitoka wakati wa utengenezwaji wa video hii ya O... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-23 at 1.22.36 AMNi video ambayo ndani yake wataonekana mastaa kama Lil Wyne na Drake ambapo hizi picha zilitoka wakati wa utengenezwaji wa video hii ya Onika Maraj a.k.a Nicki Minaj

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

November 22, 2014

JOKATE, GAETANO KATIKA MAISHA SHOW

Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Mbunifu wa mitindo na muigizaji wa filamu nchini, mrembo Jokate Mwegelo kwa kushirikiana na ms... thumbnail 1 summary


Na Mwandishi wetu
Dar es Salaam. Mbunifu wa mitindo na muigizaji wa filamu nchini, mrembo Jokate Mwegelo kwa kushirikiana na mshiriki maarufu wa Big Brother Africa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unamjua Mbunge aliyefunga Ndoa Tz leo Novemba 22…?

Kwenye historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo kuna historia nyingine inaandikwa ambapo Mbunge mwingine amefunga Ndoa. thumbnail 1 summary
HammerKwenye historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo kuna historia nyingine inaandikwa ambapo Mbunge mwingine amefunga Ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alichokijibu Flavour kuhusu suala la kuingia kwenye ndoa

Story kubwa inayozungumziwa kwenye ulimwengu wa burudani katika mitandao ya kijamii kwa wiki hii inayoisha kuhusu albam ya Msanii kutoka ... thumbnail 1 summary
IMG_2624Story kubwa inayozungumziwa kwenye ulimwengu wa burudani katika mitandao ya kijamii kwa wiki hii inayoisha kuhusu albam ya Msanii kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Thankful’ ambayo imeuza mamilioni ya copy ndani ya wiki moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wewe ni shabiki wa Arsenal au Man United – hizi hapa sababu 6 kwanini timu yako inaweza kuibuka mshindi leo hii

Leo kwenye ligi kuu ya Uingereza utakapigwa mchezo ambao kwa miaka zaidi ya miaka 15 umekuwa ukivuta hisia za mabilioni ya mashabiki wa sok... thumbnail 1 summary

69a451c0-7101-11e4-8b7c-815175f865ee_ArsenalVsManULeo kwenye ligi kuu ya Uingereza utakapigwa mchezo ambao kwa miaka zaidi ya miaka 15 umekuwa ukivuta hisia za mabilioni ya mashabiki wa soka ulimwenguni kote – Arsenal FC wanaikaribisha Manchester United kwenye uwanja wao wa Emirates.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUDAH THE BOSS AJA NA UJIO MWINGENE WA PICHA ZA UTATA HUKO INSTAGRA UTADHANI HANA WAZAZI

MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa INSTAGRAM  kama kawaid... thumbnail 1 summary


MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa INSTAGRAM kama kawaida yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WABUNGE WARUKA UKUTA KUINGIA BUNGENI...

Ukweli ni kwamba kuna story ambayo unaweza ukasimuliwa na rafiki yako ama mtu yoyote halafu ukaona kama ni uzushi na hakuna ukweli wowote. thumbnail 1 summary

Ukweli ni kwamba kuna story ambayo unaweza ukasimuliwa na rafiki yako ama mtu yoyote halafu ukaona kama ni uzushi na hakuna ukweli wowote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

November 21, 2014

Ukweli kuhusu utajiri wa Real Madrid.

Real M adrid iko mbioni kutimiza mwaka wake wa 10 huku ikiwa inaongoza kama taasisi ya michezo linapokuja suala la mapato au faida inay... thumbnail 1 summary

Real-Madrid-new-shirt

Real M adrid iko mbioni kutimiza mwaka wake wa 10 huku ikiwa inaongoza kama taasisi ya michezo linapokuja suala la mapato au faida inayotengenezwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kipa wa Chelsea yuko sokoni.

Klabu za Arsenal , Liverpool na Real Madrid ziko kwenye vita kali ya kuwania kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech . thumbnail 1 summary

Chelsea+v+Southampton+Premier+League+aQgqk_Wv1pBx

Klabu za Arsenal , Liverpool na Real Madrid ziko kwenye vita kali ya kuwania kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: