October 14, 2016

Rais wa Malawi, Peter Mutharika Apotea, Hajulikani Aliko

Habari kubwa zinazotrend sasa hivi mtu wangu moja nii hii iliyoripotiwa na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa Rais ... thumbnail 1 summary

Habari kubwa zinazotrend sasa hivi mtu wangu moja nii hii iliyoripotiwa na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu alivyoondoka kuelekea New YorkMarekani kwenye mkutani mkubwa wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STUDIO YA WASAFI RECORDS YAENDELEA KUBORESHWA, SASA KULETWA KIFAA HICHI KIPYA

Mkali wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz amesema ameagiza mixer kubwa nje ya nchi ili kuboresha studio ya ‘Wasafi Records’ ambayo tayari ... thumbnail 1 summary
Mkali wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz amesema ameagiza mixer kubwa nje ya nchi ili kuboresha studio ya ‘Wasafi Records’ ambayo tayari imeshaanza kufanya hits kadhaa ambazo zinafanya vizuri katika chart mbalimbali za muziki nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO:- USICHOKIJUA KUHUSU JIKESHUPA NA JUMA NATURE

Zimenyakwa za chini ya kapeti kumuhusu legendary wa game ya Bongo FLeva Juma Kassim Kiroboto almaarufu kama Juma Nature na video queen wa w... thumbnail 1 summary
Zimenyakwa za chini ya kapeti kumuhusu legendary wa game ya Bongo FLeva Juma Kassim Kiroboto almaarufu kama Juma Nature na video queen wa wimbo wa Nuh Mziwanda ambao kafanya na Alikiba “Jikeshupa”.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI HAMADAI..AWAOMBA MASHABIKI KUAMINI HILI KUHUSU YEYE NA SHILOLE, CHEKI VIDEO

Hitmaker wa Marioo Hamadai amekuwa anatajwa kutoka kimapenzi na msanii Shilole kutokana na picha zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao ya... thumbnail 1 summary
Hitmaker wa Marioo Hamadai amekuwa anatajwa kutoka kimapenzi na msanii Shilole kutokana na picha zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, licha ya kukanusha mara kadhaa lakini Hamadai amekuja na hii mpya kuhusu yeye na Shilole.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Makonda atimiza ahadi kwa bwana said alietobolewa macho amkabithi mil10,nyumba, bajaji2,pikipiki 5 vinakuja

‘’Niliahidi kumsaidia Said baada ya ripoti ya madaktari kuonyesha kuwa hatoweza kuona tena kumtafutia macho ya bandia, kumpatia mill. 10,... thumbnail 1 summary
‘’Niliahidi kumsaidia Said baada ya ripoti ya madaktari kuonyesha kuwa hatoweza kuona tena kumtafutia macho ya bandia, kumpatia mill. 10, fimbo ya kutembelea na darasa la kujifunza la watu wasioona, lakini pia nawashukuru sana Watanzania wanatoa michango,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

U-HEARD -: PENZI LA MADEE LAPAGAWISHA VIMWANA! WAENDEANA KWA SANGOMA ILI KUNYOOSHANA!

Taarifa za kunyapia nyapia zinasema eti Madee sio mtu wa mchezo mchezo. Ni baada ya kusemekana amempagawisha shemela wetu Neema hadi kufi... thumbnail 1 summary
Taarifa za kunyapia nyapia zinasema eti Madee sio mtu wa mchezo mchezo. Ni baada ya kusemekana amempagawisha shemela wetu Neema hadi kufikia hatua ya kuwaendea kwa wataalam wale woote anaowahisia kuchepuka na kaka etu Madee.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dully Sykes asema ana nyimbo 6 ndani ambazo amemshirikisha Diamond

Msanii wa muziki, Dully Sykes amesema mpaka sasa ana nyimbo sita ndani ambazo amemshirikisha Diamond Platnumz lakini hafikirii kuziachia. thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki, Dully Sykes amesema mpaka sasa ana nyimbo sita ndani ambazo amemshirikisha Diamond Platnumz lakini hafikirii kuziachia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Davido kuachia kitu kipya Ijumaa hii

Msanii wa Nigeria, Davido ameahidi kuachia kitu kipya Ijumaa hii. Ni muda mrefu msanii huyo amekuwa kimya lakini kwa sasa ameonekana ku... thumbnail 1 summary
Msanii wa Nigeria, Davido ameahidi kuachia kitu kipya Ijumaa hii.
Ni muda mrefu msanii huyo amekuwa kimya lakini kwa sasa ameonekana kuanza kuachia kazi zake kwa kasi ikiwa ni siku chache zimepita tangu alipoachia wimbo wake mpya pamoja na video ya ‘Gbagbe Oshi.’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond atoa zaidi ya Tsh milioni 40 kununua mixer kubwa ya ‘Wasafi Records’

Mkali wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz amesema ameagiza mixer kubwa nje ya nchi ili kuboresha studio ya ‘Wasafi Records’ ambayo tayari ... thumbnail 1 summary
Mkali wa wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz amesema ameagiza mixer kubwa nje ya nchi ili kuboresha studio ya ‘Wasafi Records’ ambayo tayari imeshaanza kushafanya hits kadhaa ambazo zinafanya vizuri katika chart mbalimbali za muziki nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Janet Jackson athibitisha kuwa mjamzito akiwa na miaka 50

Janet Jackson amethibitisha kuwa na ujauzito baada ya tetesi za muda mrefu bila ya kuzungumza chochote. thumbnail 1 summary
Janet Jackson amethibitisha kuwa na ujauzito baada ya tetesi za muda mrefu bila ya kuzungumza chochote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pogba: Napenda kocha Jose Mourinho anichezeshe mbele zaidi

Mchezaji ghali zaidi kwasasa duniani kiungo Paul Pogba amesema kuwa anapenda kocha Jose Mourinho amchezeshe mbele zaidi katika kikosi cha... thumbnail 1 summary
Mchezaji ghali zaidi kwasasa duniani kiungo Paul Pogba amesema kuwa anapenda kocha Jose Mourinho amchezeshe mbele zaidi katika kikosi cha Man United.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanaotumia kope bandia hatarini kupata upofu wa macho

Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi wanazotumiwa kutumia kope hi... thumbnail 1 summary
Wanawake wanaotumia kope bandia wanahofiwa kuwa na hali ya hatari ya kupata upofu wa macho kutokana na gundi wanazotumiwa kutumia kope hizo kuripotiwa kuripotiwa kuwa na athari kwenye macho yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: