December 16, 2013

NJIA 10 AMBAZO MSICHANA ATAZITUMIA KUMFAHAMU MWANAUME KISAWA SAWA

Kunamsemo unasema kuwa "mapenzi yanaongoza dunia" kila mtu anayo haki ya kupenda kwa mujibu wa taratibu mb... thumbnail 1 summary



Kunamsemo unasema kuwa "mapenzi
yanaongoza dunia" kila mtu anayo haki ya kupenda kwa mujibu wa taratibu mbali mbali za dunia hii. Mapenzi ni mazuri kama utazingatia mambo muhimu yaliyo halali mbele za Mwenyezi Mungu. Fahamu njia mbadala za wewe msichana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHIJA: SIJAWAI KUKUTANA KIMWILI (KUFANYA NGONO) NA MASTAA WA BONGO

                                    Deogratius Shija. STAA wa filamu Bongo, D... thumbnail 1 summary


                                    Deogratius Shija.

STAA wa filamu Bongo, Deogratius Shija amesema katika maisha yake hafikirii kutoka kimapenzi na mwanamke yoyote ambaye ni msanii hususani kuingia naye katika maisha ya ndoa.Akizungumza na paparazi wetu alisema, kamwe hawezi kukurupuka akajiingiza mkenge kumuoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIRI ZA KUDUMISHA PENZI LISITETEREKE

UNAWEZA kuanzisha kitu chochote, wakati wowote lakini jambo la msingi zaidi ni namna ya kudumisha na kuendeleza ulichokianzisha. ... thumbnail 1 summary


UNAWEZA kuanzisha kitu chochote, wakati wowote lakini jambo la msingi zaidi ni namna ya kudumisha na kuendeleza ulichokianzisha.
Hebu sasa tuendelee kujifunza katika vipengele vingine marafiki zangu.
MHESHIMU
Mwanaume anapenda sana kuheshimiwa na mpenzi wake. Kwa kawaida, mwanaume akigundua haheshimiwi au unafanya hivyo kwa kumridhisha tu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI PESA MWANAHARAMU.....MALKIA WA NYUKI APANDA NDEGE YA WATU 150 PEKE YAKE NA KUKAA DAR KWA SIKU 1 KISHA KUONDOKA..SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi 'Malkia wa Nyuki'.    MLEZI wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa... thumbnail 1 summary

Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi 'Malkia wa Nyuki'. 

 MLEZI wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye abiria pekee ndani ya ndege hiyo.

Rahma, maarufu kama Malkia wa Nyuki, ametua na ndege

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SARA MVUNGI AFANYIWA UNYAMA...SOMA HAPA KUJUA KILICHOMKUTA

                                                                   Sara Mvungi. MWIMBAJI wa  nyimbo za injili nch... thumbnail 1 summary


                                                                   Sara Mvungi.
MWIMBAJI wa  nyimbo za injili nchini, Sara Mvungi amefanyiwa kitu mbaya kwa kukombwa vitu kibao kwenye bodaboda.
Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi jioni maeneo ya Kwanyerere, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo Sara alikuwa kwenye bodaboda ghafla ilitokea nyingine ikiwa kwenye mwendo wa kasi na wahusika walikuwa wawili ambao walimnyang’anya pochi.
Akizungumza kwa masikitiko, Sara alisema ndani ya pochi hiyo kulikuwa na simu mbili aina ya blackberry, fedha taslimu laki tatu,dola mia moja, vitambulisho na vitu vingine vingi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU MICHAEL AJIBU TUHUMU ZA KUFUMANIWA AKINANII NA YOUNG DEE KWENYE GARI...HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo F... thumbnail 1 summary

MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA AKOLEZWA NA PENZI LA MENEJA WAKE..AKANUSHA KUHUSU KUTEGEMEA PESA ZA MENEJA WAKE

STAA wa filamu Bongo anayetamba na ngoma yake ya Summer Holiday amesema kuwa kutokana na mahaba mazito anayopatiwa na mwandani wake Joe K... thumbnail 1 summary

Label ya Baby Madaha, Candy n Candy yakumbwa na mgogoro, polisi waingilia katiSTAA wa filamu Bongo anayetamba na ngoma yake ya Summer Holiday amesema kuwa kutokana na mahaba mazito anayopatiwa na mwandani wake Joe Kariuki ambaye ni Meneja wake hafikirii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWAKA 2013 NI NUKSI KWA MASTAA BONGO..SOMA HAPA

ZIKIWA zimesalia siku 15 kukatika kwa mwaka 2013 na kuukaribisha 2014, Ijumaa Wikienda linakuletea matukio kibao yaliyotafsiriwa kuwa ni... thumbnail 1 summary

ZIKIWA zimesalia siku 15 kukatika kwa mwaka 2013 na kuukaribisha 2014, Ijumaa Wikienda linakuletea matukio kibao yaliyotafsiriwa kuwa ni nuksi katika ulimwengu wa mastaa Bongo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASA ALIVYONUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA NDEGE HUKO JIJINI ARUSHA..!

Abiria 37 waliokuwa wamesafaria ndege ya Shirika la Precision Air, akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa... thumbnail 1 summary



Abiria 37 waliokuwa wamesafaria ndege ya Shirika la Precision Air, akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana walinusurika kifo, baada ya magurudumu manne ya ndege hiyo kupasuka ilipokuwa ikitua katika Uwanja wa Ndege wa Arusha. Arusha. Abiria 37 waliokuwa wamesafaria ndege ya Shirika la Precision Air, akiwamo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NJIA ZA KUMTONGOZA MWANAMKE AKAKUPENDA DAIMA...KWA MAUJUZI ZAID SOMA HAPA

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaish... thumbnail 1 summary


Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.

Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA PICHA ZA DIAMOND THE PLATNUMZ LIVE PERFOMANCE YA AFTER SCHOOL BASH 2013

After school bash!! tamasha kubwa la kila mwaka ,linalokuwa  linawaunganisha wanafunzi  Town baada ya shule zao  ... thumbnail 1 summary


After school bash!! tamasha kubwa la kila mwaka ,linalokuwa
 linawaunganisha wanafunzi  Town baada ya shule zao 
kufungwa hivyo kupata fursa ya  kujumuika  pamoja, pia  kuwakutanisha na wasanii
 wanaowapenda ,limemalizika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mangi aamua kupiga Kiberiti Nyumba yake mara baada ya kubaiini kuwa Mkewe analisaliti Penzi Lao.

Nyumba ya familia moja huko mtaa wa ugombolwa Kata ya Segerea  ikiwa inateketea kwa moto usiku huu mara baada ya Baba wa famili... thumbnail 1 summary

Nyumba ya familia moja huko mtaa wa ugombolwa Kata ya Segerea  ikiwa inateketea kwa moto usiku huu mara baada ya Baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mmoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE NI KWELI KUWA WANAWAKE WAREMBO NDIO WATEJA WAKUBWA WA WAGANGA UKILINGANISHA NA WALE WA KAWAIDA ????

Nasikia masista duh na warembo wengi ndio wqashiriki wakubwa wa mambo ya kiganga na dawa za mapenzi ukilinganisha na wasichana wen... thumbnail 1 summary


Nasikia masista duh na warembo wengi ndio wqashiriki wakubwa wa mambo ya kiganga na dawa za mapenzi ukilinganisha na wasichana wenye sura za kawaida.
Pia utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanawake warembo ndio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: