May 03, 2016

DJ Khaled na mchumba wake wanategemea mtoto wao wa kwanza.

DJ Khaled ambaye kwa sasa anafanya show kubwa kwenye ziara ya Beyonce ya “The Formation World Tour” ametangaza habari mpya kuwa anategeme... thumbnail 1 summary
DJ Khaled ambaye kwa sasa anafanya show kubwa kwenye ziara ya Beyonce ya “The Formation World Tour” ametangaza habari mpya kuwa anategemea mtoto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Akiwa Kwenye Skendo Kubwa ya Usaliti, Pepsi wametoa kauli juu ya Tiwa Savage kuwa balozi wao.

Kampuni ya kinywaji cha Pepsi wamethibitisha kuwa baada ya skendo kubwa ya usaliti iliyomkumba Tiwa Savage, bado msanii huyu ni balozi wa k... thumbnail 1 summary
Kampuni ya kinywaji cha Pepsi wamethibitisha kuwa baada ya skendo kubwa ya usaliti iliyomkumba Tiwa Savage, bado msanii huyu ni balozi wa kinywaji hicho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Balozi Mahiga Amefunguka Kuhusu Mkewe Kudaiwa Kumtukana Askari Wa Barabarani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga, amezungumzia sakata la mke wake ku... thumbnail 1 summary
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga, amezungumzia sakata la mke wake kudaiwa kumtukana askari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mama yake Tupac, Afeni Shakur Davis Aiaga Dunia

Afeni Shakur Davis, mama yake na hayati Tupac Shakur amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 69. thumbnail 1 summary
afeni-shakur-bw2
Afeni Shakur Davis, mama yake na hayati Tupac Shakur amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 69.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz Afanya Jambo La Kushangaza Sana, Wengi Wamsifu....

Wanasema ukipenda boga, penda na maua yake. Kwa Diamond kumpenda Zari the Bosslady kunaamanisha kuyapenda pia maua yake matatu ya mwanzo.... thumbnail 1 summary
Wanasema ukipenda boga, penda na maua yake.
Kwa Diamond kumpenda Zari the Bosslady kunaamanisha kuyapenda pia maua yake matatu ya mwanzo. Unapompenda mwanamke ambaye tayari ana watoto watatu kabla yako, ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dogo aliyepewa jezi na Messi kutokana na kuvaa mfuko kama jezi, amehama Afghanistan kisa?

Bado headlines za dogo kutoka Afghanistan Murtaza Ahmadi kuzidi kupata umaarufu kupitia ubunifu wake wa kutengeneza na kuvaa jezi kwa kut... thumbnail 1 summary
Bado headlines za dogo kutoka Afghanistan Murtaza Ahmadi kuzidi kupata umaarufu kupitia ubunifu wake wa kutengeneza na kuvaa jezi kwa kutumia mfuko wa rambo wenye jina na namba ya Lionel Messi anazidi kuingia kwenye headlines.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NO WAY OUT 2,ALBUM YA MWISHO KWA RAPA PUFF DADDY.ANATAKA KUBOBEA KWENYE FILAMU ZAIDI.

Rapa aliyetamba kwenye sanaa ya muziki,huku akijipa majina mengi ya utani “Puff Daddy”-anajiandaa kuachana na muziki na kujikita kwen... thumbnail 1 summary


Rapa aliyetamba kwenye sanaa ya muziki,huku akijipa majina mengi ya utani “Puff Daddy”-anajiandaa kuachana na muziki na kujikita kwenye filamu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HABARI PICHAZ: Watangazaji Gerald Hando na PJ Waanza kazi EFM kwa Mkwara Huu

Ushindani kwenye vituo vya redio nchini umefika katika ubora wake. thumbnail 1 summary
Ushindani kwenye vituo vya redio nchini umefika katika ubora wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: