April 30, 2015

Kocha wa Pacquiao Anahofia Mayweather Ataingia Mitini May 2 (Picha)

Kocha wa Manny Pacquiao ana wasiwasi kuwa Floyd Mayweather anaweza asitokee kwenye pambano la kesho kutwa jijini Las Vegas. thumbnail 1 summary


Kocha wa Manny Pacquiao ana wasiwasi kuwa Floyd Mayweather anaweza asitokee kwenye pambano la kesho kutwa jijini Las Vegas.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

About Love: Tambua Vitu Mwanaume Anavyokupima ili Akujue Unafaa Kuolewa Au Ni Hit And Run !

1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.2. Ukiingia kwake ukaona ... thumbnail 1 summary


1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.2. Ukiingia kwake ukaona anampigia simu yule dada wa usafi anayekujaga mara moja kwa wiki aje afanye usafi alipwe usidhani eti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPENZI: FAHAMU HAPA JINSI YA KUMTAMBUA MPENZIALIYEKUSALITI MUDA MFUPI ULIOPITA

Kwa nini? Kwa sababu kila siku ni ugomvi, hawana amani. Hawapati muda wa kukaa na kupanga mambo yao, kila wakikutana ni ugomvi. Kunya... thumbnail 1 summary


Kwa nini? Kwa sababu kila siku ni ugomvi, hawana amani. Hawapati muda wa kukaa na kupanga mambo yao, kila wakikutana ni ugomvi. Kunyang’anyana simu na kupekua meseji ndiyo sehemu ya uhusiano wao.Utakapoona wapenzi hawaishi ugomvi, ujue kwamba wanaishi kwa mashaka. Kila mmoja haamini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI UNAJUA SIYO LAZIMA ALIYEKUTOLEA MAHARI AKUOE?? SOMA HAPA

Katika ulimwengu wa sasa ndoa ni kitu cha heshima. Mwanamke kupata mwanaume wa kumuoa ni jambo la faraja lakini pia mwanaume kumpata mke ... thumbnail 1 summary

Katika ulimwengu wa sasa ndoa ni kitu cha heshima. Mwanamke kupata mwanaume wa kumuoa ni jambo la faraja lakini pia mwanaume kumpata mke bora ni kitu kinachoongeza furaha katika maisha.Hata hivyo, suala la kuoana si la kukurupuka, ni suala linalotakiwa kuchukua muda ambapo wawili waliotokea kupendana hupata nafasi ya kuchunguzana katika mambo kadha wa kadha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JIONEE BALAA HILI LILILOMPATA BINTI HUYU BAADA YA KUINGIA CHUO CHA KIKRISTO AKIWA AMEVALIA NUSU UTUPU HUKO NIGERIA>

Christian University Female student decided to break the dress code rules and things didn’t turn out as she had expected. All the other s... thumbnail 1 summary
Christian University Female student decided to break the dress code rules and things didn’t turn out as she had expected. All the other students decided to give her the full attention she needed,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu :Kweli Nimeolewa na Tayari Mimi ni Mke wa Mtu

Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Cl... thumbnail 1 summary


Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa 'juju' na mumewe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond, Ali Kiba wachuana Tuzo za Watu

WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ali Kiba, ni miongoni mwa wasanii wanaochuan... thumbnail 1 summary



WANAMUZIKI mahiri wa muziki wa Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ali Kiba, ni miongoni mwa wasanii wanaochuana katika Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume katika Tuzo za Watu 2015.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKAWA Washindwa Kuafikiana.......NCCR Mageuzi Yawasilisha Hoja Ya Kujitoa, CUF Watoa Masharti Mazito

KIKAO cha viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimeshindwa kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kushindwa... thumbnail 1 summary

KIKAO cha viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimeshindwa kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kushindwa kuafikiana kuhusu hoja iliyowasilishwa na Chama cha NCCR-Mageuzi, ya kutaka kujitoa kwenye umoja huo, imefahamika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI KAJALA APEWA SIKU 5 TU ZA KUISHI,MWENYEWE APAGAWA,AKIMBILIA POLISI

MASIKINI! Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amejikuta akiwa katika wakati mgumu na wa hatari kufuatia wat... thumbnail 1 summary


MASIKINI! Staa mkali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni amejikuta akiwa katika wakati mgumu na wa hatari kufuatia watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake na kutoa onyo kwamba wanampa siku tano tu za kuishi, Amani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USTAKE NCHEKE



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni zamu ya Mayweather na msafara wake kwenda kukagua Uwanja watakapopigana na Manny Pac.. (PICHAZ)

Siku mbili tu zimesalia kabla ya pambano la kimataifa la ngumi kati ya mastaa wawiliManny Pacquiao na Floyd Mayweather ambao watapand... thumbnail 1 summary


Siku mbili tu zimesalia kabla ya pambano la kimataifa la ngumi kati ya mastaa wawiliManny Pacquiao na Floyd Mayweather ambao watapanda ulingoni na kutegua kitendawili cha nani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutoka uwanja wa ndege Dar es salaam, amepokelewa mgeni mwingine wa Zari All White Party

Kutoka South Africa Rapper A.K.A staa wa hit single ya All eyes on me ft. Burna Boy, Run Jozi na Congratulate ambaye ni miongoni mw... thumbnail 1 summary



Kutoka South Africa Rapper A.K.A staa wa hit single ya All eyes on me ft. Burna Boy, Run Jozi na Congratulate ambaye ni miongoni mwa walioalikwa kwenye Zari All

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kuna ukweli wowote eti Kombe la FA limebadilishwa jina??

Michuano ya Kombe la FA ina ukongwe wake wa kutosha kabisa kwenye Historia ya Soka la Dunia.. mpaka sasa imetimiza jumla miaka yake... thumbnail 1 summary



Michuano ya Kombe la FA ina ukongwe wake wa kutosha kabisa kwenye Historia ya Soka la Dunia.. mpaka sasa imetimiza jumla miaka yake 144 tangu kuanzishwa kwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA HAPA KILICHOTOKEA BAADA YA RIHANNA KUKUTANA NA DINGI YAKE,NA HICHI NDICHO ALICHOMFANYIA MBELE YA MAPAPARAZI

Rihanna akisalimiana na baba yake wakiwa kwenye mtoko wa kupata chakula cha usiku thumbnail 1 summary


Rihanna akisalimiana na baba yake wakiwa kwenye mtoko wa kupata chakula cha usiku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMEISIKIA HII YA WAUMINI WA KANISA KUSALI BILA KUWA NA NGUO YANA (UCHI) UNAJUA KILICHOFWATA?? AMAZING,,,

Malalamiko yalikuwa mengi tangu kufunguliwa kwa kanisa hilo la Healing Ministrykatika Kaunti ya Machakos, Kenya.. wanawake wanaingia k... thumbnail 1 summary

Malalamiko yalikuwa mengi tangu kufunguliwa kwa kanisa hilo la Healing Ministrykatika Kaunti ya Machakos, Kenya.. wanawake wanaingia kwenye migogoro na wanaume zao kisa ibada, wakatu mwingine walikua wanaenda kulala hukohuko.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baby Madaha: Natamani Zitto Kabwe Anioe, Pia Natamani Kujiunga na Freemason

NYOTA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha amesema kuwa anatamani kuolewa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitt... thumbnail 1 summary


NYOTA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha amesema kuwa anatamani kuolewa na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuber Kabwe, akisema ni mwanaume mwenye sifa zote za kuwa mume kwa mwanamke anayejiamini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MATEKA 293 WA BOKO HARAM

Jeshi la Nigeria likishambulia ngome za Boko Haram katika msitu wa Sambisa. thumbnail 1 summary

Jeshi la Nigeria likishambulia ngome za Boko Haram katika msitu wa Sambisa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Kikwete Azindua Meli Mbili Za KIVITA Kwa Kishindo Jijini Dar

RAIS Jakaya Kikwete, jana amezindua na kuzitunukia Kamisheni meli mbili za kivita za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Kamandi ... thumbnail 1 summary


RAIS Jakaya Kikwete, jana amezindua na kuzitunukia Kamisheni meli mbili za kivita za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Kamandi ya Wanamaji ambazo zitatumika kufanya doria na kulinda mipaka ya majini katika Bahari ya Hindi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

April 29, 2015

DARASA HURU:HAYA NDIO MADHARA YA KUNYONYANA

Haya ndiyo madhara ya kunyonyana,midomo,uchi na makalioZaidi ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana... thumbnail 1 summary


Haya ndiyo madhara ya kunyonyana,midomo,uchi na makalioZaidi ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO MATANO 5 ANAYOHITAJI MWANAMKE KUTOKA KWA MWANAUME WAKATI WA TENDO

1.Wanataka uwe wa mwisho kumaliza: Kawaida wanawake huchelewa kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, wastani wa dakika 8 zaidi wakati ... thumbnail 1 summary


1.Wanataka uwe wa mwisho kumaliza: Kawaida wanawake huchelewa kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8hazijafika!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMO LA LEO: KUJENGA MIZIZI YA UCHUMBA

UJANA una mambo mengi lakini vijana wa zama hizi tumezidisha. Matukio ndani ya uhusiano ni mengi zaidi ya wakati uliopita. Kukutana n... thumbnail 1 summary


UJANA una mambo mengi lakini vijana wa zama hizi tumezidisha. Matukio ndani ya uhusiano ni mengi zaidi ya wakati uliopita. Kukutana na wanandoa wanaoachana baada ya miaka miwili tu ni jambo la kawaida siku hizi. Si ajabu tena kusikia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU HAPA JINSI YA KUMTAMBUA MPENZI ALIYEKUSALITI MUDA MFUPI ULIOPITA

KUNA BAADHI YA WATU WANAYATENDEA HAKI MAPENZI; WAPO MAKINI KWA KILA KITU KATIKA UHUSIANO WAONA HIVYO KUWA KAMA WANAISHI KWENYE PARA... thumbnail 1 summary



KUNA BAADHI YA WATU WANAYATENDEA HAKI MAPENZI; WAPO MAKINI KWA KILA KITU KATIKA UHUSIANO WAONA HIVYO KUWA KAMA WANAISHI KWENYE PARADISO YA PEKEE. PIA, WAPO WENGINE AMBAO WANAYAONA MAPENZI

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA LIST YA WAKALI WOTE WALIOTEULIWA KWENYE KILI MUSIC AWARDS 2015 IKO HAPA TAYARI

2015 ndiyo hii mtu wangu.. Kili Music Awards ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo hizo leo wameileta kwe... thumbnail 1 summary

2015 ndiyo hii mtu wangu.. Kili Music Awards ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo hizo leo wameileta kwetu rasmi kabisa ile list ya mastaa wetu wa muziki ambao wameteuliwa kuwania Tuzo hizo kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA NINI WANAWAKE WENGI WAKISHAZALISHWA WANAKUWA WARAHISI KUGAWA MAPENZI?

Katika pita pita zangu wale wadada wanajidai wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa wanashukachini na inakuwa ... thumbnail 1 summary


Katika pita pita zangu wale wadada wanajidai wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa wanashukachini na inakuwa rahisi kupiga sound

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SEHEMU MUHIMU KATIKA TENDO LA NDOA....Soma Hapa UKITAKA KUWA FUNDI>>WAKUBWA TU>

Katika mwili wa mwanamke kunasehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawashanahamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi ... thumbnail 1 summary


Katika mwili wa mwanamke kunasehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawashanahamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi zilizozoeleka na watu wengi kama vile kisimi, kuna sehemu moja ambayo nibab kubwa kiasi cha kwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

April 28, 2015

Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station thumbnail 1 summary


Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Agness Masogange Ajibu Maswali Kuhusu Tuhuma za Kufukuzwa South Africa, Kazi Anayoifanya South Africa, Kuhusu Mtoto Wake na Kuhusu Boifriend

Q1. Tulisikiaga umepata uraia wa south na ulisema hutorudi bongo ....mbona umerudi ghafla na kuna madai umetimuliwa ukweli ni upi? thumbnail 1 summary

Q1. Tulisikiaga umepata uraia wa south na ulisema hutorudi bongo ....mbona umerudi ghafla na kuna madai umetimuliwa ukweli ni upi?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WALIOFARIKI KWA TETEMEKO LA ARDHI HUKO NEPAL YAFIKIA 4000, MAJERUHI 8000,PICHA ZIKO HAPA

Utawala nchini Nepal unasema kuwa watu zaidi ya watu 4000 wamedhibitishwa kuaga dunia huku wengine 8000 wakijeruhiwa kwenye janga l... thumbnail 1 summary



Utawala nchini Nepal unasema kuwa watu zaidi ya watu 4000 wamedhibitishwa kuaga dunia huku wengine 8000 wakijeruhiwa kwenye janga la tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkubwa siku ya Jumamosi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKETI ''KUNA MTU NAMTAMANI SANA KIMAPENZI ILA NAMVUTIA KASI NIMPATE

Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata thumbnail 1 summary

Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ushauri; Acha wivu kwani nilipokuoa ulikuwa na Bikira.

Wadau, nachukua nafasi hii kukupongeza kwa kuwa umekuwa una jibu maswali mbali mbali kwa ufasaha sana. Kuna mambo mawili napenda kuku... thumbnail 1 summary


Wadau, nachukua nafasi hii kukupongeza kwa kuwa umekuwa una jibu maswali mbali mbali kwa ufasaha sana. Kuna mambo mawili napenda kukuulizai)nafasi ya bikira kwenye kuoa. Je Mwanamme

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tafadhali: MWANAUME Anayeuliza Maswali Haya Mawili ni wa Kumuepuka Kama Ukoma

Kama we mwanamke umekuwa na mwanaume ambaye hamjawahi kusex hata mara moja lakini ndio mnaanza uhusiano then katika chatting za hapa na... thumbnail 1 summary

Kama we mwanamke umekuwa na mwanaume ambaye hamjawahi kusex hata mara moja lakini ndio mnaanza uhusiano then katika chatting za hapa na pale mwanaume akakuuliza haya maswali mawili ujue mbovu wa wabovu, hajui kugegeda na anakibamia. Mkimbie kabisa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

April 27, 2015

HUKU AKIDAI ANA MKATABA WA MABILIONI,JOKATE ASAKWA KWA UTAPELI!

Skendo? Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwan... thumbnail 1 summary

Skendo? Wakati akiwa na mkataba wa shilingi bilioni nane na nusu wa bidhaa zenye nembo yake kutoka Kampuni ya Rainbow Shell Craft, mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amekwaa kashfa ya utapeli akidaiwa ‘kuchikichia’ shilingi elfu sabini za msanii wa Bongo Fleva anayefahamika kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zitto Kabwe awanyima usingizi CHADEMA, viongozi wahaha nchi nzima kuzima moto wa ACT

Wadau, hakika sasa si siri tena kwamba kitendo cha uongozi wa CHADEMA kumfukuza uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Z... thumbnail 1 summary


Wadau, hakika sasa si siri tena kwamba kitendo cha uongozi wa CHADEMA kumfukuza uanachama aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe kumekigharimu chama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAFIKI TUPA KULE: UNAMFUMANIA MKEO ANACHEPUKA NA JIRANI YAKO KAMA HIVI UNGELIFANYA NINI?! SOMA

Ee bwana kuna jambo limekuja automaticaly nataka wachangie akina baba au wanaume kwa jumla hata wanawake sio ili wewe uje ufunike kamavp,... thumbnail 1 summary
Ee bwana kuna jambo limekuja automaticaly nataka wachangie akina baba au wanaume kwa jumla hata wanawake sio ili wewe uje ufunike kamavp, siunajua tunavyokuaminia mwanakwetu.Issue iko hivi , wewe ni mwanaume umeoa kama miaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIKI NDICHO KITU AMBACHO MWANAMKE ANAKIPENDA KULIKO VYOTE DUNIANI... BOFYA HAPA FASTA

Haya hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi. unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu... thumbnail 1 summary


Haya hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi. unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu huwa yanapasuka.. sasa wengi wanaume huwa wanabaki kuropoa “wanawake hawaeleweki” WANATAKA TUWEJE? Mwanamke huwa anapenda sana kuambiwa ukweli japo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: