April 29, 2015

HII HAPA LIST YA WAKALI WOTE WALIOTEULIWA KWENYE KILI MUSIC AWARDS 2015 IKO HAPA TAYARI

2015 ndiyo hii mtu wangu.. Kili Music Awards ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo hizo leo wameileta kwe... thumbnail 1 summary

2015 ndiyo hii mtu wangu.. Kili Music Awards ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo hizo leo wameileta kwetu rasmi kabisa ile list ya mastaa wetu wa muziki ambao wameteuliwa kuwania Tuzo hizo kwa
msimu wa mwaka huu 2015.

Niko nayo tayari, unaweza kucheki hapa list kamili ya mastaa wote ambao wameteuliwa kwa mwaka huu.
Baada ya kuipitia nimeona majina ya mastaa walioongoza kwa kuteuliwa kwenye vipengele vingi zaidi, wa kwanza ni Ali Kiba ambae yuko kwenye vipengele sita, anafuatia Diamond kwenye vipengele vitano na Jux ambae yuko kwenye vipengele vinne.. Kila la kheri kwa watu wetu !!

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: