December 23, 2013

HATARIII.... GONJWA KUBWA LAMKUMBA NISHA

Maskini! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anateseka baada ya kupata gonjwa la ajabu linalomsababishia maumivu makal... thumbnail 1 summary


Maskini! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anateseka baada ya kupata gonjwa la ajabu linalomsababishia maumivu makali.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SITAOA TENA ....... BOB JUNIOR ASEMA,,, SOMA ZAIDI KILICHOMSIBU

a Rais wa Masharobaro, Bob Junior amesema hakuwa na furaha kwenye ndoa yake na ndio maana ameachana na m... thumbnail 1 summary







a
Rais wa Masharobaro, Bob Junior amesema hakuwa na furaha kwenye ndoa yake na ndio maana ameachana na mke wake.

Muimbaji na mtayarishaji huyo wa muziki aliiambia tovuti ya Times FM kuwa ugumu wa ndoa umemfanya asifikirie tena kuoa maishani.

 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Barua mpya ya mfungwa Hong Kong akiwataja Wauzaji wakubwa wa Madawa ya kulevya Nchini na kutoa Onyo.

Waraka mwingine ulioandikwa katika lugha ya Kiswahili umechapishwa kwenye tovuti  v2catholic.com ... unataja majina ya Watanzania wawili... thumbnail 1 summary


Waraka mwingine ulioandikwa katika lugha ya Kiswahili umechapishwa kwenye tovuti v2catholic.com... unataja majina ya Watanzania wawili kuwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya.
Picture

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 5 za muonekano wa kifua cha Loveness Diva...JIONEE MWENYEWE

Habari za weekend wadau, pamoja  na mipasho ya habari  mbalimbali  za kisiasa  na matukio ya hapa  na  pale, si mbaya pia  tuk... thumbnail 1 summary


diva4
Habari za weekend wadau, pamoja  na mipasho ya habari  mbalimbali  za kisiasa  na matukio ya hapa  na  pale, si mbaya pia  tukiangalia  na  upande  wa pili wa shilingi, nikiwa  na  maana  ya  udaku  na  burudani…. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIYO TOP 10 YA VINARA WA SKENDO 2013 NA SKENDO ZAO...NI NOMA

KATIKA ulimwengu wa mastaa kuna ambao wamekuwa wakitikisa kwa skendo mbalimbali kwa mwaka 2013 ambazo zi... thumbnail 1 summary

KATIKA ulimwengu wa mastaa kuna ambao wamekuwa wakitikisa kwa skendo mbalimbali kwa mwaka 2013 ambazo ziliwachefua mashabiki wao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA MAWAZIRI WANNE KUTIMILIWA.....VILIO ZAIDI VINAKUJA!!!! SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Rais Dk. Jakaya Kikwete. MWAKA 2013 uko ukingoni. Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne... thumbnail 1 summary


Rais Dk. Jakaya Kikwete.
MWAKA 2013 uko ukingoni. Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya, Ijumaa Wikienda lina cha kusema.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: