June 13, 2016

Linnah kafunguka kuwa anatamani Darassa angekuwa Baba watoto wake

June 13 2016 kuna story nyingi za Entertaiment zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines... thumbnail 1 summary


June 13 2016 kuna story nyingi za Entertaiment zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hizi kutoka Perfecto TV, mrembo kutoka bongoflevani Linnah amefunguka kuwa anatamani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanasayansi: Mugabe ana Vinasaba vya Kuishi Milele

WANASAYANSI maarufu kutoka Taasisi moja kubwa ya Sayansi nchini Uingereza wametoa ripoti ya utafiti walioufanya ikithibitisha kwamba, Rai... thumbnail 1 summary
WANASAYANSI maarufu kutoka Taasisi moja kubwa ya Sayansi nchini Uingereza wametoa ripoti ya utafiti walioufanya ikithibitisha kwamba, Rais wa Zimbabwe, Komrade

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video ya wimbo ‘Jike Shuka’ ya Nuh Mziwanda yamtoa povu Ex wake, Shilole

Ikiwa ni siku chache toka Ex wa Shilole, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na mpenzi wake h... thumbnail 1 summary
Ikiwa ni siku chache toka Ex wa Shilole, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na mpenzi wake huyo, Shilole ameonyesha kukasirishwa na kazi hiyo.
Shilole na Nuh wakati wapo pamoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali kuongeza kodi kwa filimu na kazi za muziki zinazotoka nje na kuingizwa nchini

Serikali imejipanga kuongeza kodi kwa kazi za muziki pamoja na filamu ambazo zinatoka nje ili kuzipa nafasi kazi za wasanii wa ndani. thumbnail 1 summary
Serikali imejipanga kuongeza kodi kwa kazi za muziki pamoja na filamu ambazo zinatoka nje ili kuzipa nafasi kazi za wasanii wa ndani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mambo 4 makubwa usiyoyajua kuhusu remix ya Burger Movie Selfie ya Belle 9

Belle 9 anatarajia kuachia remix ya hit single yale ‘Burger Movie Selfie’ siku chache zijazo. Nimepiga naye story na amenieleza mambo hay... thumbnail 1 summary
Belle 9 anatarajia kuachia remix ya hit single yale ‘Burger Movie Selfie’ siku chache zijazo.
Nimepiga naye story na amenieleza mambo haya manne makubwa kuhusiana na remix hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASANII KUMI ANAOWAKUBALI ZAIDI KENDRICK LAMAR

Kendrick Lamar ni Rapper ambaye anafanya vizuri sana kwenye game ya Rap duniani, je unawajua wasanii wake Kumi Bora?  thumbnail 1 summary

Kendrick Lamar ni Rapper ambaye anafanya vizuri sana kwenye game ya Rap duniani, je unawajua wasanii wake Kumi Bora? 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MPIGA PICHA WA DIAMOND AMTUKANA BOSS WAKE. ONA HAPA

Mpiga picha wa Diamond maarufu kama Kifesi kupitia Page yake ya Instagram aliandika " Yani Huyu Malayaah" neno malaya ni ain... thumbnail 1 summary
Mpiga picha wa Diamond maarufu kama Kifesi kupitia Page yake ya Instagram aliandika " Yani Huyu Malayaah" neno malaya ni aina ya mtu ambaye anawanawake wengi , baadhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

P DIDDY ANAUZA ‘MJENGO’ WAKE, BEI YAKE ‘UTAKIMBIA’.

Rapa P diddy ndiye anatajwa kuwa rapa tajiri zaidi Duniani kwa mujibu wa tovuti mbali na jarida maarufu la Forbes. thumbnail 1 summary
Rapa P diddy ndiye anatajwa kuwa rapa tajiri zaidi Duniani kwa mujibu wa tovuti mbali na jarida maarufu la Forbes.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Music: Mkubwa Na Wanawe Ft. Ruby – Suu

Wimbo mpya kutoka kwa vijana wa Yamoto Band wakimshirikisha Ruby unaitwa “Su”, Producer Shirko. . thumbnail 1 summary
Wimbo mpya kutoka kwa vijana wa Yamoto Band wakimshirikisha Ruby unaitwa “Su”, Producer Shirko.
.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKOFU GWAJIMA AMSHITAKI KIKWETE KWA RAIS MAGUFULI,ATAKA APELEKWE MAHAKAMNI HARAKA...!!!

ASKOFU wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amemtaka Rais Magufuli kutobabaika katika utendaji wake wa kazi,huku akimweleza kuwa u... thumbnail 1 summary
ASKOFU wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima amemtaka Rais Magufuli kutobabaika katika utendaji wake wa kazi,huku akimweleza kuwa uongozi wa Kanisa hilo unafurahishwa na hatua alizoaanza kuchukua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBOWE AFUNGIWA HOTELINI, AKAMATWA NA KUGOMEA MASHARTI YA POLISI.

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alikamatwa na Jeshi la Polisi mkoa Mwanza na kuhojiwa kwa t... thumbnail 1 summary
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alikamatwa na Jeshi la Polisi mkoa Mwanza na kuhojiwa kwa takribani saa mbili katika kituo cha Polisi cha Nyakato katika wilaya ya Nyamagana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kidumu asema Wakenya wanadhani yeye ni Mtanzania, azungumzia kolabo mpya na wasanii TZ

Mwanamuziki kutoka nchini Burundi, Kidumu, amefunguka kwa kusema kuwa Wakenya wengi wanadhani kwamba yeye ni Mtanzania kutokana na kuonyesh... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki kutoka nchini Burundi, Kidumu, amefunguka kwa kusema kuwa Wakenya wengi wanadhani kwamba yeye ni Mtanzania kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa wakuimba kwa lugha ya Kiswahili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jinsi video ya ‘Ibaki story’ ilivyo tengenezwa ya Rich Mavoko

Msanii Rich Mavoko baada ya kuachia video ya wimbo ‘Ibaki story’ ambaye hivi sasa ametangazwa kasainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz W... thumbnail 1 summary
Msanii Rich Mavoko baada ya kuachia video ya wimbo ‘Ibaki story’ ambaye hivi sasa ametangazwa kasainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz WCB inaonyesha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 12 : Yanga wamewasili Uturuki na kuanza mazoezi

Kikosi cha klabu ya Dar es Salaam Young Africans leo June 12 kilisafiri kuelekeaUturuki kwa ajili ya kambi ya muda kuelekea mchezo wake w... thumbnail 1 summary
Kikosi cha klabu ya Dar es Salaam Young Africans leo June 12 kilisafiri kuelekeaUturuki kwa ajili ya kambi ya muda kuelekea mchezo wake wa kwanza wa Kombe la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ujerumani wameanza kwa ushindi Euro 2016 dhidi ya Ukraine

Bado michano ya mataifa ya Ulaya maarufu kama UEFA Euro 2016, imeendelea tena leo June 12 Ufaransa kwa michezo mitatu kupigwa katika viwa... thumbnail 1 summary
Bado michano ya mataifa ya Ulaya maarufu kama UEFA Euro 2016, imeendelea tena leo June 12 Ufaransa kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja mbalimbali, mchezo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Brazil wameondolewa Copa America kwa goli linaloaminika kuwa la mkono

Timu ya taifa ya Brazil imekumbana na wakati mgumu katika mchezo wa Copa America 2016 dhidi ya Peru uliochezwa alfajiri ya June 13 2016,... thumbnail 1 summary
Timu ya taifa ya Brazil imekumbana na wakati mgumu katika mchezo wa Copa America 2016 dhidi ya Peru uliochezwa alfajiri ya June 13 2016, mchezo huo wa Kundi B ulikuwa unawapa nafasi kubwa Brazil kuibuka na ushindi, hususani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

The Wait is Over: Hii ni ratiba ya kutoka kwa Collabo za Diamond na P-Square na Papa Wemba mwezi huu

Mashabiki wa Diamond na wapenzi wa muziki wa Bongo Flava kwa ujumla sasa wanaweza kukaa mkao wa kula kwasababu collabo za staa huyo walizok... thumbnail 1 summary
Mashabiki wa Diamond na wapenzi wa muziki wa Bongo Flava kwa ujumla sasa wanaweza kukaa mkao wa kula kwasababu collabo za staa huyo walizokuwa wakizingoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 13, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na har... thumbnail 1 summary
June 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: