April 25, 2016

YOUNG AFRICANS KUCHAGUANA CHINI YA MWAVULI WA TFF

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza Juni 05, 2016 kuwa siku ya Uchaguzi Mkuu wa viongozi nda... thumbnail 1 summary
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza Juni 05, 2016 kuwa siku ya Uchaguzi Mkuu wa viongozi ndani ya klabu ya Young Africans SC ya jijini Dar es salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nape Ataja Majipu Manne Katika Sanaa Nchini,aahidi Kuyatumbua

Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na michezo nchini,Nape Nnauye ametaja mambo manne ambayo ni vikwazo ndani ya sekta ya sanaa ya filamu nchi... thumbnail 1 summary
Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na michezo nchini,Nape Nnauye ametaja mambo manne ambayo ni vikwazo ndani ya sekta ya sanaa ya filamu nchini na kuyaita

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vyeti Feki Vitampa Magufuli Maadui Wengi kuliko Hata "Ufisadi"

Kama kweli Rais Magufuli atahamia katika ukaguzi wa vyeti feki akimaliza ishu ya watumishi hewa ni wazi atapata maadui wengi na idadi yao i... thumbnail 1 summary
Kama kweli Rais Magufuli atahamia katika ukaguzi wa vyeti feki akimaliza ishu ya watumishi hewa ni wazi atapata maadui wengi na idadi yao itakuwa kubwa kuliko anaowapata katika vita yake dhidi ya ubadhirifu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAKURURU Washtuka Sasa Yaanza Kuchunguza Mabilioni ya Kikwete

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza kuchunguza fedha za uwezeshaji maarufu kama ‘Mabilioni ya JK’ ambazo hazikurej... thumbnail 1 summary
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza kuchunguza fedha za uwezeshaji maarufu kama ‘Mabilioni ya JK’ ambazo hazikurejeshwa na wakopaji nchi nzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NEY WA MITEGO:NIPO TAYARI KUMTOLEA DHAMANA SIWEMA

Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amesema yupo tayari kumtolea dhamana mpenzi wake wa zamani, Siwema ambaye ame... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amesema yupo tayari kumtolea dhamana mpenzi wake wa zamani, Siwema ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kumtukana shabiki kwenye mtandao wa kijamii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PETR CECH AKUBALI YAISHE BAADA YA SARE DHIDI YA SUNDERLAND

Malinda mlango wa klabu ya Arsenal, Petr Cech amekubalia yaishe kufuatia mwenendo wa kikosi cha klabu hiyo kutoridhisha kwenye michezo ya... thumbnail 1 summary
Malinda mlango wa klabu ya Arsenal, Petr Cech amekubalia yaishe kufuatia mwenendo wa kikosi cha klabu hiyo kutoridhisha kwenye michezo ya kuelekea mwishoni mwa msimu huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIVERPOOL WAJIPANGA KUMUUZA BALOTELLI

Majogoo wa jiji Liverpool wamepanga kumtumia mshambuliaji wao kutoka nchini Italia Mario Balotelli kama chambo, katika vita ya kumuwania ... thumbnail 1 summary
Majogoo wa jiji Liverpool wamepanga kumtumia mshambuliaji wao kutoka nchini Italia Mario Balotelli kama chambo, katika vita ya kumuwania kiungo wa klabu ya SS Lazio, Lucas Biglia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUVENTUS HAWAKAMATIKI ITALIA

Kibibi kizee wa Turine Juventus FC, kimetwaa ubingwa wa nchini Italia (Scudetto) kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuwachapa Fiorentina... thumbnail 1 summary
Kibibi kizee wa Turine Juventus FC, kimetwaa ubingwa wa nchini Italia (Scudetto) kwa mara ya tano mfululizo baada ya kuwachapa Fiorentina mabao mawili kwa moja usiku wa kuamkia hii leo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RIYAD MAHREZ NI BORA KULIKO WOTE ENGLAND

Mshambuliaji wa klabu inayoshikilia usukani wa msimamo wa ligi ya nchini England, Leicester City, Riyad Mahrez usiku wa kuamkia leo amesh... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa klabu inayoshikilia usukani wa msimamo wa ligi ya nchini England, Leicester City, Riyad Mahrez usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) katika Ligi Kuu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Now These are Top 10 Most $exually Satisfied Countries List

The most $exually satisfied countries in the world have been revealed and In Africa, According to the Research there are two Countries, S... thumbnail 1 summary
The most $exually satisfied countries in the world have been revealed and In Africa, According to the Research there are two Countries, Switzerland and Nigeria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JULIUS MTATIRO AFUNGUKA...ADAI STAILI ANAYOTUMIA KUFUKUZA KAZI RAIS MAGUFULI NI YA UDIKTETA

Julias s. Mtatiro Ameandika haya katika kurasa wake ya Facebook kuhusu kutumbuliwa kwa Wilson Kabwe siku ya uzinduzi wa Daraja la Nyerere.. thumbnail 1 summary
Julias s. Mtatiro Ameandika haya katika kurasa wake ya Facebook kuhusu kutumbuliwa kwa Wilson Kabwe siku ya uzinduzi wa Daraja la Nyerere..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZARI Afanyiwa Mchezo Mchafu!

Mpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’. DAR ES SALAAM: Siri imefichuka! Sakata la muuza ... thumbnail 1 summary
Mpenzi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’.
DAR ES SALAAM: Siri imefichuka! Sakata la muuza nyago (video queen) wa Bongo anayetajwa kwa jina moja la Irene a.k.a Lynn, anayedaiwa kutoka kimapenzi na staa wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Angalia Hapa: Kipande Cha Video Kikionyesha Tukio La Papa Wemba Kuanguka Jukwaani Akitumbuiza Na Kufariki

Lilikua ni tamasha ambalo linaonekana live kwenye TV ambapo mkongwe huyu wa muziki kutoka Congo DRC thumbnail 1 summary
Lilikua ni tamasha ambalo linaonekana live kwenye TV ambapo mkongwe huyu wa muziki kutoka Congo DRC

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tatizo la Kunuka Kikwapa..Tiba yake Hii Hapa..

Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovu... thumbnail 1 summary
Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na jasho au unyevunyevu chini ya kwapa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Gigy Money Aopoa Kigogo wa Madini..Mwenyewe Adai Wameshibana

Kazi ipo! Video Queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuopoa kigogo ambaye ni mfanyabiashara wa madini, mka... thumbnail 1 summary
Kazi ipo! Video Queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuopoa kigogo ambaye ni mfanyabiashara wa madini, mkazi wa jijini Arusha ambaye ndiye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huddah Monroe Str!ps For The Camera In A New Nigerian Film

Huddah Monroe exposed skin in her role in a Nigerian film which has been shot both in Kenya and Nigeria! Huddah has given her career in... thumbnail 1 summary
Huddah Monroe exposed skin in her role in a Nigerian film which has been shot both in Kenya and Nigeria!
Huddah has given her career in acting a major boost featuring in a film starring Nollywood heavyweight Mike Ezuruonye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: