May 30, 2016

Madawa yakulevya yamenirudisha nyuma, hilo liko wazi – Ibra Da Hustler

Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler, amewataka wasanii wenzake kukaa mbali na matumizi ya Madawa ya kulevya. Rappa huyo ambay... thumbnail 1 summary
Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler, amewataka wasanii wenzake kukaa mbali na matumizi ya Madawa ya kulevya.
Rappa huyo ambaye alikaa rehab kwa muda mrefu ili kusaidiwa kuacha matumizi ya Madawa ya kulevya, ameiambia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli amteua Anne Makinda kuwa mwenyekiti wa bodi ya NHIF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefanya uteuzi mwingine Jumatatu hii. Miongoni mwa walioteuliwa ni spika wa zamani, thumbnail 1 summary
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefanya uteuzi mwingine Jumatatu hii. Miongoni mwa walioteuliwa ni spika wa zamani,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mayweather athibitisha kuzichapa na staa wa UFC Conor McGregor

Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather anatarajia kuzivaa tena gloves zake na kuingia ulingoni kuzichapa licha ya kudai amestaafu. Mayweath... thumbnail 1 summary
Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather anatarajia kuzivaa tena gloves zake na kuingia ulingoni kuzichapa licha ya kudai amestaafu.
Mayweather amethibitisha kuwa atazichapa na staa wa UFC, Conor McGregor kwa kupost picha hiyo juu kwenye Instagram. Post hiyo hata hivyo haioneshi ni lini pambano hilo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba akanusha kumuimbia Jokate wimbo ‘Aje’

Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake. “Sijamuimbia mtu yeyote kwa... thumbnail 1 summary
Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake.
“Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi kumuimbia mtu kabisa, sijawahi, so ni kwa ajili ya mashabiki wangu,”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu Akubali Ndoa na Idris, Asema haya Kuhusu Ndoa yao Itavyokua

Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka h... thumbnail 1 summary
Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka hayo katika video

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Familia ya Obama kuhamia kwenye jumba hili la kifahari baada ya kutoka White House

Rais Barack Obama hatoenda mbali sana na ikulu ya white house pindi atakapostaafu. Kwa mujibu wa CNN, Obama atahamia kwenye jumba la kifa... thumbnail 1 summary
Rais Barack Obama hatoenda mbali sana na ikulu ya white house pindi atakapostaafu.
Kwa mujibu wa CNN, Obama atahamia kwenye jumba la kifahari ambalo mwanzo lilikuwa likimilikiwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Download/Listen Audio | RayVanny (Raymond) - Freestyle

Kabla ya kumfahamu akiwa WCB, Raymond ni msanii wa rap aliyefahamika kitaa kwa uwezo wake mkubwa wa kufreestyle. Wengi hawaujui uwezo wako ... thumbnail 1 summary
Kabla ya kumfahamu akiwa WCB, Raymond ni msanii wa rap aliyefahamika kitaa kwa uwezo wake mkubwa wa kufreestyle. Wengi hawaujui uwezo wako huo hivyo sasa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanaume Wa Kenya Washindwa Kuwapa Mimba Wake Zao, Wanawake Waandamana....

Wanawake katika jimbo la Ndeiya nchini Kenya walifahamisha kuwa waume zao wanashindwa kuwapa ujauzito kutokana na mwenendo wa unywaji wa ... thumbnail 1 summary
Wanawake katika jimbo la Ndeiya nchini Kenya walifahamisha kuwa waume zao wanashindwa kuwapa ujauzito kutokana na mwenendo wa unywaji wa pombe haramu ambazo zinaathiri nguvu za kiume. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Waziri Ndalichako katolea ufafanuzi kufukuzwa kwa wanafunzi wa UDOM

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma ... thumbnail 1 summary
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

#AUDIO: Dada wa Marehemu Aneth Msuya kasimulia mkasa mzima wa mauaji ya Kinyama ya mdogo wake

May 30 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea hii ya Dada wa bilionea Erasto Msuya, Aneth Msuya ambaye aliuawa kwa kuch... thumbnail 1 summary
May 30 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea hii ya Dada wa bilionea Erasto Msuya, Aneth Msuya ambaye aliuawa kwa kuchinjwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam. Kama hukupata time ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uteuzi mwingine alioufanya Rais John Magufuli leo May 30 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali ambapo amemteua Jaji Shaba... thumbnail 1 summary
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali ambapo amemteua Jaji Shabani Ally Lila kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi huo Jaji Shabani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Msako wa mtoto aliyeachwa msituni na wazazi wake kama ‘Adhabu’ umefika siku ya tatu

Adhabu ni sehemu ya maisha katika malezi ya watoto lakini imekuwa tofauti kwa wazazi hawa kutoka Japan ambao waliamua kumuadhibu mtoto wa... thumbnail 1 summary
Adhabu ni sehemu ya maisha katika malezi ya watoto lakini imekuwa tofauti kwa wazazi hawa kutoka Japan ambao waliamua kumuadhibu mtoto wao mwenye umri wa miaka (7) Yamato Tanooka, kwa kumuacha katika msitu wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shilole na Vanessa walipokutana kwenye Stage Usiku wa May 29 2016 Club Billcanas

Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na ... thumbnail 1 summary
Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Real Madrid ya Hispania baada ya kutwaa ubingwa wa kombe lao la 11 la UEFA walivyo pokewa katika Jiji la Madrid

Klabu ya usiku wa May 28 2016 kwa kuwafunga wapinzani wao Atletico Madrid katika mchezo wa fainali ulio pigwa katika jiji la Milan, Italia ... thumbnail 1 summary
Klabu ya usiku wa May 28 2016 kwa kuwafunga wapinzani wao Atletico Madrid katika mchezo wa fainali ulio pigwa katika jiji la Milan, Italia uwanja wa San Siro, ilikuwa ni fainali inayohusisha timu kutoka jiji moja la Madrid.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Harmonize alivyompandisha kwenye stage mama yake na kumtambulisha Jackline Wolper

Usiku wa May 27 2016 wakazi wa Mtwara walipata burudani kutoka kwa w na Msanii kutoka Label ya Wasafi, Harmonize ambaye aliongozana na mp... thumbnail 1 summary
Usiku wa May 27 2016 wakazi wa Mtwara walipata burudani kutoka kwa w na Msanii kutoka Label ya Wasafi, Harmonize ambaye aliongozana na mpenzi wake Jackline Wolper, Kabla ya kumtambulisha Jackline Wolper kwa wakazi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 30, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

May30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili... thumbnail 1 summary
May30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: