January 01, 2014

JOYCE KIRIA AANIKA SIRI NZITO YA NDOA ZAKE...!!!SOMA HAPA KUIJUA

Ndoa ya pili ya Joyce Kiria na Henry Kilewo. MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel 5, Joyce Kiria amefunguka na kufichua siri ya ndoa... thumbnail 1 summary
Ndoa ya pili ya Joyce Kiria na Henry Kilewo.
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel 5, Joyce Kiria amefunguka na kufichua siri ya ndoa zake mbili alizofunga, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACK CLIFF NDANI YA MATESO MAZITO NCHINI CHINA..SOMA ZAIDI HAPA KUJUA UKWELI

HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukama... thumbnail 1 summary
HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukamatwa katika  Uwanja wa Ndege wa Macau nchini China akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya aina ya heroin lakini Risasi Mchanganyiko linaangaza mapya zaidi juu ya sakata hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAFIKI WA MUME WANGU ANANITAKA.... !!!NAOMBENI USHAURI NIFANYEJEE????

Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekut... thumbnail 1 summary

Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YAFAHAMU MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI....SOMA HAPA

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya ms... thumbnail 1 summary

Image

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: