January 01, 2014

RAFIKI WA MUME WANGU ANANITAKA.... !!!NAOMBENI USHAURI NIFANYEJEE????

Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekut... thumbnail 1 summary

Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.

Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments