May 14, 2014

Loveness Diva kufanya Video ya ‘Mashallah’ na Director wa Kenya

Diva The Bawse ambaye ametoa wimbo wake mpya  ‘Mashallah’  siku chache zilizopita, amesema anajiandaa kuufanyia video pamoja na kuanza ... thumbnail 1 summary

Diva The Bawse ambaye ametoa wimbo wake mpya ‘Mashallah’ siku chache zilizopita, amesema anajiandaa kuufanyia video pamoja na kuanza tour ya kuutangaza wimbo huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NJEMBA ANASWA NA DENTI WA KIUME GESTI

ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika... thumbnail 1 summary

ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika nyumba ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA AWAGOMBANISHA DIAMOND, PREZZO

RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul  ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngec... thumbnail 1 summary

RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul  ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TABIA YA LULU YAWA KERO BONGO MUVI

kwa kuwa ipo siku naye yatamfika. Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwen... thumbnail 1 summary

kwa kuwa ipo siku naye yatamfika.Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwenye matukio ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tazama Picha 5 za Utani Uliosambazwa Baada ya Solange Kumpiga ‘Shemeji’ Jay Z

Baada ya kuvuja kwa video ikionyesha jinsi rapper Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift huku Beyonce mwenyewe akiwa... thumbnail 1 summary
Baada ya kuvuja kwa video ikionyesha jinsi rapper Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift huku Beyonce mwenyewe akiwa pembeni yao akishuhudia ugomvi bila

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIYO HABARI YA MJINI LISTEN A GOOD MUSIC "SITAKI KAZI" KUTOKA KWA NIKKI WA PILI ft GNAKO & BEN POL HAPA HAPA

Sikiliza hapa ngoma Mpya kutoka kwa Nikki wa Pili akiwashirikisha G Nako na Ben Pol ngoma inaitwa “Sitaki Kazi” Sikiliza Ama Downlo... thumbnail 1 summary


Sikiliza hapa ngoma Mpya kutoka kwa Nikki wa Pili akiwashirikisha G Nako na Ben Pol ngoma inaitwa “Sitaki Kazi” Sikiliza Ama Download Hapa chini:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MMMH!! ONA KAMERA YA SUPERMARKET ILIVYOMNASA DADA HUYU.,.. ALIVYOVAA NI AIBU JAMANI. ONA HAPA

PHOTOS: Nairobian Lady Pictured At A Shopping Mall Dressed In A CRAZY S3x Calling Outfit thumbnail 1 summary

PHOTOS: Nairobian Lady Pictured At A Shopping Mall Dressed In A CRAZY S3x Calling Outfit

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND PLATNUMZ ATUA UINGEREZA KUSHOOT VIDEO MPYA, AONGOZANA NA OMMY DIMPOZ! PICHA ZIPO HAPA

Mshindi wa tuzo saba za KTMA 2014 Nasib Abdul aka Diamond Platnumz aka ‘Chibu’ na Ommy Dimpoz wameondoka Tanzania thumbnail 1 summary


Mshindi wa tuzo saba za KTMA 2014 Nasib Abdul aka Diamond Platnumz aka ‘Chibu’ na Ommy Dimpoz wameondoka Tanzania

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VANESSA MDEE, BARNABA NA NAY WA MITEGO WALA SHAVU LA MATANGAZO YA MTANDAO WA SIMU, TAZAMA PICHA HAPA

Mwishoni mwa mwezi uliopita, Vanessa Mdee, Barnaba na Nay wa Mitego walienda jijini Bangkok, Thailand ambako imebainika walienda kush... thumbnail 1 summary

Guy-2
Mwishoni mwa mwezi uliopita, Vanessa Mdee, Barnaba na Nay wa Mitego walienda jijini Bangkok, Thailand ambako imebainika walienda kushoot matangazo ya biashara ya mtandao wa simu ambao bado

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DHARAU ZINGINE HUWA HAZINA FAIDA..ONA HUYU DADA ALIVYOADHIRIKA

Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal.... Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagar... thumbnail 1 summary

Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Exclusive: JB,Irene Uwoya,MzeeMajuto na Ray kesho kwendaUturuki kikazi

Wasanii wa filamu Jacob Stephan aka JB ,King Mjuto, Vicent Kigosi aka Ray na mwanadada Irene  Uwoya wanatarajia kuondoka usiku wa kuam... thumbnail 1 summary
Wasanii wa filamu Jacob Stephan aka JB ,King Mjuto, Vicent Kigosi aka Ray na mwanadada Irene  Uwoya wanatarajia kuondoka usiku wa kuamkia Jumatano hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO SIASA ILIVYOUA NDOTO KUBWA ZA MSANII MARLAW

Akiwa kijana mdogo ambae alianzia shughuli zake za mziki mji mdogo thumbnail 1 summary


Akiwa kijana mdogo ambae alianzia shughuli zake za mziki mji mdogo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA TAARIFA KUENEA KUWA STAA WA FILAMU ZAKIBONGO :WEMA SEPETUANAUMWA.....HIVI NDIVYO ALIVYOFUNGUKA KINACHOMSUMBUA

Wiki hii haikuwa poa kwa mastaa wa Bongo ambapo alianza msanii Shaa kupigwa na malaria siku ya tuzo za Killi zilizofanyika katika ukum... thumbnail 1 summary


Wiki hii haikuwa poa kwa mastaa wa Bongo ambapo alianza msanii Shaa kupigwa na malaria siku ya tuzo za Killi zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE AWAFUNGUKIA WALEWANAOKOSOA UHUSIANO WAKE NA MPENZI WAKE NUHU MZUWANDA

STAA wa muziki wa mduara Zuwena Mohamed’ Shilole’ amewafungukia wale watu  thumbnail 1 summary


STAA wa muziki wa mduara Zuwena Mohamed’ Shilole’ amewafungukia wale watu 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIO ORODHA YA WASANII WA KILI MUSICTOUR 2014 ILOYOTAJWA...TWEET HII YA JAYDEE YAMPONZA, AACHWA MWAKA HUU

Orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili  Music Tour 2014 imetangazwa leo.  Baadhi ya wasanii watakaokuwepo kwenye ziara hiyo wakiwe... thumbnail 1 summary

Orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili  Music Tour 2014 imetangazwa leo.  Baadhi ya wasanii watakaokuwepo kwenye ziara hiyo wakiwe kwenye picha ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDO MSANII WA BONGO STAR SEARCH ALIYEJITOKEZA NA KUSEMA DIAMOND KAIBA WIMBO WAKE WA KITORONDO, SOMA MKASA MZIMA HAPA

INASEMEKANA Diamond Kamwibia Wababa Mtuka Baadhi Ya Mashairi PamoJa na Idea Mzima ya Nyimbo Yake Ya  KITORONDO thumbnail 1 summary



INASEMEKANA Diamond Kamwibia Wababa Mtuka Baadhi Ya Mashairi PamoJa na Idea Mzima ya Nyimbo Yake Ya KITORONDO

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WOLPER AFURUMUSHA TUSI INSTAGRAM KISA UGONJWA WA DENGUE! KAFANANISHA UMAARUFU WAKE NA DIAMOND!

Ugonjwa wa Dengue unaanza kuwa Tishio miongoni mwa wakazi wa jii la Dar-es-salaam, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari vimekuwa... thumbnail 1 summary


Ugonjwa wa Dengue unaanza kuwa Tishio miongoni mwa wakazi wa jii la Dar-es-salaam, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti kila kuona kuhusu ugonjwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA: MADEE AKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YAKE YENYE THAMANI YA ZAIDI YA MILL 100,AJIPANGA KUACHIA WIMBO MPYA

Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa... thumbnail 1 summary

Picha: Madee akamilisha ujenzi wa nyumba yake, ajipanga kuachia wimbo mpya
Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE MWENYE NDEVU ATANGAZWA KUWA MSHINDI...

  Mwanamuziki wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashinda... thumbnail 1 summary

 Screen Shot 2014-05-13 at 1.04.01 AMMwanamuziki wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashindano

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAVIDO AIINGIA MATATANI KWA HIKI KITENDO ALICHOKIFANYA

Anaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki tunamjua kama Davido na yeye anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).La... thumbnail 1 summary

davidoAnaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki tunamjua kama Davido na yeye anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).Labda tatizo linalomkuta Davido ndilo lile lile kama kwa Chris Brown na Justin Bieber, kuwa na pesa nyingi na umaarufu akiwa na umri mdogo.
 Akiwa kwenye harakati zake za kwenda kwenye show uingereza Davido alifika airport na passport yake ya Marekani.Maafisa wakamwambia alete passport ya Nigeria kwasababu passport hiyo ya Marekani haikuwa na karatasi za visa ya kuingia Nigeria kwa hiyo utaratibu haujafuatwa.
 dsdd
 Davido alisisitiza kwamba anayo passport ya Nigeria lakini ameiacha nyumbani. Hakuruhusiwa kusafiri hadi hiyo passport ya Nigeria ilivyoletwa na akaruhusiwa kusafiri. Baada ya hapo ali-tweet akiwatusi maafisa wa hapo airport kwa kile kilichotokea.
 daviOfisi ya maafisa wa uhamiaji wamesema tabia kama hiyo ya bwana Davido Adeleke sio sawa kabisa kwasababu afisa huyo alifata utaratibu wa kazi ambao umesaidia Davido. Huko mbele ya safari angeweza kurudishwa au kuaibika zaidi kwani kwenye airport nyingine ambapo utaratibu unafatwa kwa hali ya juu wasingemruhusu kuendelea na safari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAKTARI MWANZA AFIA GESTI JIJINI DAR

MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba ya kulala wa... thumbnail 1 summary


MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba ya kulala wageni ‘gesti’ ijulikanayo kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MATUKIO KATIKA PICHA:KANISA KATOLIKI LAFUNGISHA NDOA YA AJABU

KANISA la Romani Katoliki Tanzania Jimbo Kuu la Morogoro, Jumamosi iliyopita lilifungisha ndoa iliyotafsiriwa na watu kuwa ni ya ajabu k... thumbnail 1 summary

KANISA la Romani Katoliki Tanzania Jimbo Kuu la Morogoro, Jumamosi iliyopita lilifungisha ndoa iliyotafsiriwa na watu kuwa ni ya ajabu kufuatia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: