May 14, 2014

MWANAMKE MWENYE NDEVU ATANGAZWA KUWA MSHINDI...

  Mwanamuziki wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashinda... thumbnail 1 summary

 Screen Shot 2014-05-13 at 1.04.01 AMMwanamuziki wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashindano
ya muziki barani Ulaya yaitwayo Eurovision Song Contest ambayo yalikua na watazamaji wa TV zaidi ya milioni 120.
 Mashindano yalifanyika Copenhagen nchini Denmark mara ya mwisho mwanamuziki kutoka Austria kushinda mashindano hayo ilikuwa mwaka 1966 ukiwa ni mwaka ambao Atletico Madrid ilishinda La Liga na Real Madrid walishinda ubingwa wa Ulaya.
 Hiyo inaweza kujitokeza tena mwaka huu kwani Atletico wanakaribia kushinda La Liga na Real ndoto zao ni La Decima. Screen Shot 2014-05-13 at 12.50.06 AM

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: