June 19, 2014

DOTNATA awachana wanaomponda WEMA

MJASIRIAMALI   na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ ameibuka na kusema anachukizwa na watu wenye kasumba ya kum... thumbnail 1 summary
Mjasiriamali na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’.

MJASIRIAMALI na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’ ameibuka na kusema anachukizwa na watu wenye kasumba ya kumsema vibaya mwigizaji Wema Sepetu ‘Beutiful Onyinye’, waache.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STEVE NYERERE agoma kuwataja Mashoga Bongo muvi

MWENYEKITI   wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amekataa katakata kuwataja wanachama wanaodaiwa ni mashoga ndani ya... thumbnail 1 summary
Pichani ni baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi.

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amekataa katakata kuwataja wanachama wanaodaiwa ni mashoga ndani ya klabu hiyo ya jijini Dar.

Akizungumza na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa jamaa walijiona wanafanana na Diamond na Shetta wakaamua kurekodi hii video ya ‘kerewa’

Tukiwa tunasubiri video ya Kerewa ambayo ni ya kwanza kwa Sheta kuifanya nje ya Tanzania, imetoka hii video ya Kerewa kutoka mtaani ambap... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-06-19 at 12.16.16 PMTukiwa tunasubiri video ya Kerewa ambayo ni ya kwanza kwa Sheta kuifanya nje ya Tanzania, imetoka hii video ya Kerewa kutoka mtaani ambapo ndani yake utamuona Shetta na Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ni ya Facebook kutokuwa hewani kwa dakika 30

Wamiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook ambao una watumiaji wengi zaidi duniani wamelazimika kutoa maelezo juu ya kuondoka hewani kwa ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-06-19 at 2.44.12 PMWamiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook ambao una watumiaji wengi zaidi duniani wamelazimika kutoa maelezo juu ya kuondoka hewani kwa mtandao huo kwa muda wa dakika 30 dunia nzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI KOMBE LA DUNIA NI NOMA:CHEKI MBWA AKITAZAMA MECHI KATI YA ARGENTINA NA BOSINIA

Kutana na Mbwa anayependa soka kuliko mashabiki wa soka wenyewe. Mbwa huyu nchini Marekani wakati wote anakuwa mbele ya televisheni... thumbnail 1 summary


Kutana na Mbwa anayependa soka kuliko mashabiki wa soka wenyewe.
Mbwa huyu nchini Marekani wakati wote anakuwa mbele ya televisheni wakati michuano ya kombe la dunia inapokuwa inaendelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII INAMHUSU HUYU MBUNGE ALIAMUA KUPANDA BODA BODA BILA KUJALI WADHIFA WAKE

Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa aki... thumbnail 1 summary
Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa akisafiri kwa ndege na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA VIDEO YA NYOKA MKUBWA ALIYEMEZA BINADAMU WAWILI NA KISHA KUSHINDWA KUTEMBEA, ONYO VIDEO INATISHA SANA

Video inatisha sana Ukitaka kuona Bofya HAPA Kisha Like page yetu Kisha thumbnail 1 summary

Video inatisha sana Ukitaka kuona Bofya HAPA Kisha Like page yetu Kisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kingine kipya kutoka kwa mpenzi wa Ney wa Mitego Siwema kuhusu kufukuzwa kazi

Miongoni mwa mastaa ambao wanamake headline sana Tanzania ni pamoja na Ney wa Mitego ambaye siku chache zilizopita aliwaonyesha waandish... thumbnail 1 summary

Miongoni mwa mastaa ambao wanamake headline sana Tanzania ni pamoja na
Ney wa Mitego ambaye siku chache zilizopita aliwaonyesha waandishi
habari nyumba yake mpya aliyoinunua na kuimalizia ujenzi na baadhi ya
vitu vingine ikiwemo pia gari analotembelea kwa sasa ambalo ni Nissan

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking newz: MUME WA FLORA MBASHA ANAYETUHUMIWA KWA KESI YA UBAKAJI APEWA DHAMANA

MUME wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na kesi ya ubakaji amepewa dhamana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar ... thumbnail 1 summary

MUME wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha
(32) anayekabiliwa na kesi ya ubakaji
amepewa dhamana katika Mahakama ya
Wilaya ya Ilala, Dar baada ya kutimiza
masharti.
Mbasha amefikishwa mahakamani hapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali ya Tanzania yapiga marufuku uvutaji wa Shisha

Uvitaji wa Shisha ni sawa na uvutaji wa sigara kulingana na madaktari Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa Shisha. Uraib... thumbnail 1 summary
Uvitaji wa Shisha ni sawa na uvutaji wa sigara kulingana na madaktari

Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo hutiwa ndani ya chupa kubwa na kuvutwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MME WA MTU SUMU:ISABELA ACHEZEA KIPIGO, KISA MUME WA MTU

MAJANGA!  Staa wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda alijikuta akichezea kipigo kutoka kwa mke wa kigogo mmoja maarufu jijini Dar thumbnail 1 summary
MAJANGA! Staa wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda alijikuta akichezea kipigo kutoka kwa mke wa kigogo mmoja maarufu jijini Dar

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full time ya Uholanzi vs Australia – magoli na wafungaji

Timu ya taifa ya Uholanzi inayoongozwa na kocha ajaye wa Man United Louis van Gaal – inaweza kuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya pili... thumbnail 1 summary

20140618-205622-75382653.jpg


Timu ya taifa ya Uholanzi inayoongozwa na kocha ajaye wa Man United Louis van Gaal – inaweza kuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya pili ya mtoano ya kombe la dunia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya mkataba mnono,hatimaye headphone za Beats by Dr.Dre zafungiwa na FIFA.

Wakati macho na masikio ya dunia yote yakiwa kwenye soka hasa kwa kipindi hiki cha kombe la dunia sasa inshu imekuwa tofauti kwa kampuni ... thumbnail 1 summary
screen_shot_2014-06-09_at_12-15-30_pmWakati macho na masikio ya dunia yote yakiwa kwenye soka hasa kwa kipindi hiki cha kombe la dunia sasa inshu imekuwa tofauti kwa kampuni ya Beats by Dr.Dre ambayo headphone zake zimepigwa marufuku kutumika kwenye kombe la dunia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full time ya Spain vs Chile – matokeo na wafungaji vipo hapa

Mkosi wa mabingwa watetezi wa michuano ya kombe la dunia umeendelea kutamba kwenye michuano hiyo. thumbnail 1 summary

20140619-010935-4175850.jpg


Mkosi wa mabingwa watetezi wa michuano ya kombe la dunia umeendelea kutamba kwenye michuano hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YouTube kufungia baadhi ya Video za wanamuziki, Adele ni mmojawapo.

Mtandao wa YouTube unatarajia kuondoa Video za wanamuziki Adele, Arctic Monkeys na Radiohead, kutokana na lebo za muziki walizopo kukat... thumbnail 1 summary
adele2
Mtandao wa YouTube unatarajia kuondoa Video za wanamuziki Adele, Arctic Monkeys na Radiohead, kutokana na lebo za muziki walizopo kukataa kukubaliana na masharti ya mtandao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BET NDO ISHANUKIA KWA DIAMOND, NA HIKI NDO ATAKIFANYA KABLA YA KUTOLEWA KWA TUZO HIZO.

Baada ya MTV MAMA awards iliyofanyika huko bondeni Afrika ya kusini na kuteka akili za watu hapa town, haswa baada ya mkali wa Afro... thumbnail 1 summary


929138_780988865256369_1262737922_n
Baada ya MTV MAMA awards iliyofanyika huko bondeni Afrika ya kusini na kuteka akili za watu hapa town, haswa baada ya mkali wa Afro Pop kupiga bonge la show ambalo lilimchanganya hadi Mr.President na kumfanya afunguke kukubali na show

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU NA JOTI NDO HABARI YA MJINI KWA SASA, UNAAMBIWA MAPENZI MOTO MOTO

Hapana chezea wew lulu na joti, unaambiwa uswahiba umezidi mpaka watu wameanza kupata mashaka kutokana na ukaribu waobut the truth is, ... thumbnail 1 summary

Hapana chezea wew lulu na joti, unaambiwa uswahiba umezidi mpaka watu wameanza kupata mashaka kutokana na ukaribu waobut the truth is, nothing is going on rather btn them

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE NA NUH MZIWANDA FULU KUBEBANA KAMA WEMA SEPETU NA DIAMOND

KAMA ULIKUWA HUJAWAHI KUISIKILIZA NGOMA MPYA YA NUH MZIWANDA- MSONDONGOMA HII HAPA thumbnail 1 summary


KAMA ULIKUWA HUJAWAHI KUISIKILIZA NGOMA MPYA YA NUH MZIWANDA- MSONDONGOMA HII HAPA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OMMY DIMPOZ ATOA DUKU DUKU MBELE YA RAIS JK KUHUSU WAZIRI ALIYEONEKANA ANATAKA KUMBANIA

Wikiendi iliyopita waimbaji na waigizaji wa filamu kwa pamoja wakiwa kama wadau wakuu wa sanaa ya Tanzania walikutana Dodoma kwa ajili ya... thumbnail 1 summary

dimpozWikiendi iliyopita waimbaji na waigizaji wa filamu kwa pamoja wakiwa kama wadau wakuu wa sanaa ya Tanzania walikutana Dodoma kwa ajili ya kampeni ya Naiaminia Tanzania baada ya kukamilika kwa tamasha lile lililofanyika uwanjani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MLIMAN CITY HOFU YATANDAA BAADA YA KUTAKA KULIPULIWA,BOMU LARUSHWA KUTOKA KWENYE GARI DOGO

HUKU watu karibia 60 nchini kenya wakiuawa kwenye mashambulizi ya kigaidi, katika hali isiyo ya kawaida nchini Tanzania, walinzi wa Maduka ... thumbnail 1 summary

HUKU watu karibia 60 nchini kenya wakiuawa kwenye mashambulizi ya kigaidi, katika hali isiyo ya kawaida nchini Tanzania, walinzi wa Maduka ya Mlimani City jijini Dar wamejikuta wakipata mchecheto wa aina yake baada ya kitu kilichodhaniwa ni bomu kukutwa kwenye eneo la kuegeshea magari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI SHIDAAAH!!!! HUYU NDIYO BINTI WA KIBONGO ALIESABABISHA MZUNGU KUFUKUZWA KAZI.. JIONEE HAPA

Raia mmoja wa nchini Finland amejikuta katika wakati mgumu sana baada ya kushindwa kufanya lolote kazini alipoajiriwa baada ya kutaka ku... thumbnail 1 summary
Raia mmoja wa nchini Finland amejikuta katika wakati mgumu sana baada ya kushindwa kufanya lolote kazini alipoajiriwa baada ya kutaka kuwa katika mahusiano na mwanadada huyu wa chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye alimteka akili kiasi cha kumfanya Mzungu huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wastara ajitia ubondia, azichapa na dereva wa daladala duuuu!!! ni ubabe tu hakuna kurudi nyuma.

UBABE!   Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma aliwahi kuzichapa kavukavu na dereva wa daladala baada ya kuoneshewa ishara ya matusi. thumbnail 1 summary

UBABE! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma aliwahi kuzichapa kavukavu na dereva wa daladala baada ya kuoneshewa ishara ya matusi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lulu na Husna ni ngumi njenje,,,,,zingua nikuzingue.....hatari

MASTAA  wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani)  na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Amani lina mchapo mzi... thumbnail 1 summary

MASTAA wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani)  na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Amani lina mchapo mzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO SABABU 10 ZA WANAWAKE KUCHELEWA KUOLEWA NA KUISHIA KUSAGANA NA PUNYETO..!! SOMA HAPA NIKUJUZE.

Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume.Kwa kiasi kikubwa ... thumbnail 1 summary

Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si
kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume.Kwa kiasi kikubwa
katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambao
hutaka kufunga ndoa kuliko ilivyokwa wanaume. Hilo tunaliona wazi
tokana na shamra shamra awazo nazo mwanamke wakati wa maandalizi ya
shughuli za Ndoa na Harusi. Hata hivyo, kwa wale wanawakewachache
ambao husuasua kuolewa hizi ni baadhi ya sababu zinazopelekea kusuasua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE WAJUA WANAWAKE HUONA MBALI ILA NI WAZITO KUFANYA MAAMUZI...?? SOMA HAPA

Katika hali ya kawaida inajulikana kwamba wanawake ni viumbe dhaifu, ukiachana na hayo yote wanawake wamepewa uwezo mkubwa sana wa kuona... thumbnail 1 summary

Katika hali ya kawaida inajulikana kwamba wanawake ni viumbe dhaifu,
ukiachana na hayo yote wanawake wamepewa uwezo mkubwa sana wa kuona
mbali na kutabili mambo fulani ambayo huenda yakatokea, pia wamepewa
uwezo mkubwa wa kutambua uongo na ukweli na wakati mwingine huisi tu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASIKINI MBASHA ATUPWE JERA KEKO, AKESHA AKILIA

...juzi amepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini     Dar es Salaam ishu ni yale madai ya kumbaka mara mbili shemeji yake (ji... thumbnail 1 summary
...juzi amepandishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini     Dar es Salaam ishu ni yale madai ya kumbaka mara mbili shemeji yake (jina lipo).Akisomewa mashitaka mbele ya hakimu mkazi wa mahakama hiyo, Wilberforce Luago, Wakili wa Serikali,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.

Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo hutiwa ndani ya chupa kubwa na kuvutwa kwa mirija, umeshik... thumbnail 1 summary
Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo hutiwa ndani ya chupa kubwa na kuvutwa kwa mirija, umeshika kasi sana Tanzania hasa miongoni mwa vijana wadogo mjini Dar Es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAZIRI wa Fedha wa zamani, Basil Mramba anayekabiliwa na ke ya matumizi mabaya ya madaraka na kusabaisha hasara ya Sh,bilioni 11.7, jana ... thumbnail 1 summary
WAZIRI wa Fedha wa zamani, Basil Mramba anayekabiliwa na ke ya matumizi mabaya ya madaraka na kusabaisha hasara ya Sh,bilioni 11.7, jana aliambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, anamuondia shahidi wake wa tatu ambaye  alikuwa ni  Naibu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Eti...! Ridhiwani Kikwete ni kijana asiyekuwa na shukrani? soma hii.....

Mbunge wa Chalinze (CCM),Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, amewashambulia wanahabari nchini kuwa asilimia ku... thumbnail 1 summary

Mbunge wa Chalinze (CCM),Ridhiwani Kikwete

Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete, amewashambulia wanahabari nchini kuwa asilimia kubwa ni makanjanja na kwamba wanapoandika habari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkataba wa ulinzi Kenya, Uganda na Rwanda ni kitisho kwa Tanzania

Rwandan Defence minister James Kabarebe and and Chief of General Staff of the Kenyan Defence Forces Gen. Julius Karangi chat during a past r... thumbnail 1 summary

Rwandan Defence minister James Kabarebe and and Chief of General Staff of the Kenyan Defence Forces Gen. Julius Karangi chat during a past regional security meeting in Kigali. File.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: