December 15, 2013

MAN UTD KULIPIZA KISAS NA KUMCHAPA ASTONVILLA 3-0

Danny Welbeck scored twice as Manchester United avoided a third Premier League d... thumbnail 1 summary


Manchester United striker Danny Welbeck (left) scores his side's second against Aston Villa
Danny Welbeck scored twice as Manchester United avoided a third Premier League defeat in a row by overwhelming Aston Villa.

Welbeck's goals came in the space of three minutes - his opener coming when he slotted in after Adnan Januzaj's header rebounded off the post.

The England striker then slid in to score from Antonio Valencia's

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIVERPOOL KUMNYONYOA TOTTENHAM 5-0

Luis Suarez scored twice as Liverpool dominated 10-man T... thumbnail 1 summary
Jordan Henderson
Luis Suarez scored twice as Liverpool dominated 10-man Tottenham to move second in the Premier League table.
The Uruguayan's 16th goal of the season took him past the total for the whole Spurs side when he found the bottom corner from Jordan Henderson's flick.
Philippe Coutinho hit the bar before the excellent Henderson volleyed in.
Paulinho was then sent off for a high kick on Suarez

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REGINALD MENGI Amjibu Prof. MUHONGO..

  1.   Nafurahi kwa nafasi ya kuwa nanyi leo kwa kuwa sekta binafsi itapata nafasi ya kipekee  kesho... thumbnail 1 summary




1.  Nafurahi kwa nafasi ya kuwa nanyi leo kwa kuwa sekta binafsi itapata nafasi ya kipekee  kesho tarehe 16 Desemba 2013, ya kuwa na mkutano chini ya Mhe. Rais Kikwete kama mwenyekiti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUKISHIKA DOLA TUTUHARARISHA UTENGENEZAJI WA POMBE HARAMU YA GONGO..DR SLAA

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la ... thumbnail 1 summary


 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo.
 
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya rushwa kwa polisi ambao wamekuwa wakiwakamata wanaotengeneza kwa kificho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO MBINU ZA KUONGEZA MVUTO KWA MPENZI WAKO..soma hapa kuzuijua

  Kama umeshushwa thamani unakuwa kwenye hatari ya kuachwa. Hata kama mwenzako alikuwa ames... thumbnail 1 summary

 
Kama umeshushwa thamani unakuwa kwenye hatari ya kuachwa. Hata kama mwenzako alikuwa ameshafikiria suala la kuingia kwenye ndoa na wewe lakini kwa sababu ameshakushusha thamani ndoa inaweza kuyeyuka.
Ukiwa kwenye ndoa ni hatari zaidi maana mwenzako hukuchukulia wa kawaida – mazoea huzidi na hapo ndipo uhitaji wa kuwa na mwingine wa pembeni unapoanzia. Haoni cha muhimu tena kwako, ndiyo maana wazo hilo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWENYEKITI WA CCM ALIYEUWAWA KWA KUPIGWA MAWE NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.

Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na w... thumbnail 1 summary


Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.

Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIKI NDICHO KIASI ANACHOPATA JACKLINE WOLPER KWA KILA MOVIE ,PIA KUNA MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU WOLPER ....SOMA HAPA KUYAJUA





Inawezekana ukawa unajua but in real sense unahitaji kujua zaidi na udakumtupu ipo kukupa exclusive, mkali wa movie kwa sasa Jackline Wolper , mwanadada hustler aliyezaliwa tarehe 6 December huko mjini A- town, ni ukweli usiofichika kwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUME WANGU ANATAKA STYLE ZA MAPENZI ZA AJABU AMBAZO ZINANIUMIZA...NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE?

Mimi ni mama wa miaka 36, nina watoto watatu, nina miaka tisa kwenye ndoa, tulipoona... thumbnail 1 summary

Mimi ni mama wa miaka 36, nina watoto watatu, nina miaka tisa kwenye ndoa, tulipoona na mume wangu tulikuwa tukifanya mapenzi style za kawaida tu, tunabadili style lakini ni zile za kawaida.   Umefika miezi mwaka sasa mume wangu amebadilika sana, yani hatulii yani mimi nayeye hatukai nusu saa bila ugomvi, kitu kidogo tu, hasira kwangu na anapeleka hadi kwa watoto wangu, yani hadi wanamuogopa sasa hivi, wakimuona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPACHA WAREMBO WALIOVUNJA REKODI KWA KUFANANA HADI KUCHANGANYA WAPENZI WAO NA WATU WENGINE PIA..!

Hawa ni warembo wanaofanana kupita kiasi, wamekua wakichanganya watu wengi pamoja na kuwa nao siku zote, hata wapenzi wan... thumbnail 1 summary
http://www.theclicktz.com/
Hawa ni warembo wanaofanana kupita kiasi, wamekua wakichanganya watu wengi pamoja na kuwa nao siku zote, hata wapenzi wanaoishi nao kila siku imefikia hatua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI AMWAGIWA MAFUTA YA MOTO BAADA YA KUFUMANIWA WAKIDUUU NA BOYFRIEND WA RAFIKI YAKE


http://www.theclicktz.com/
Mwanafunzi wa chuo kimoja alimwagiwa mafuta ya moto na rafiki yake kipenzi baada ya kumkuta na boyfriend wake wakifanya mapenzi.


Ilikuwa ni siku ya ijumaa Nasra alipokuwa akitoka darasani na kurejea hostel alipokea sms ikisema "Nenda kwa Rafiki yako kipenzi Naima kuna Bonge la Surprize, tafadhali usikose nenda sasa hivi" Nasra aliamua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATARIIII .... KENYA YAPIGWA BOMU TENA

Matatu iliyokumbwa na shambulizi ilikuwa inaelekea mtaani Eastleigh *... thumbnail 1 summary



Matatu iliyokumbwa na shambulizi ilikuwa inaelekea mtaani Eastleigh
******
Watu kadhaa wamehofiwa kufariki kufuatia mlipuko uliotokea ndani ya gari moja dogo la abiria katika mtaa wa Pangani mjini Nairobi.
Duru zinaarifu kuwa karibu watu 5 huenda wamefriki katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USITAKE NCHEKE

Jamaa kagombana na mkewe.Kasusa kula,kurudi kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwa"Ukisusa wenzio wala"ilipofik... thumbnail 1 summary


Jamaa kagombana na mkewe.Kasusa kula,kurudi kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwa"Ukisusa wenzio wala"ilipofika asubuhi mke kavaa kanga imeandikwa"ukitoka mwenzio anaingia"
Jamaa akagoma kwenda kanzini. Mke akavaa kanga imeandikwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LAZIMA KUONJA UTAMU ARSENAL YACHAPWA 6 -3 NA MAN CITY ETIHAD

Manchester City delivered an ominous message to their Premier League title rivals as leaders Arsenal were thrashed.... thumbnail 1 summary
Manchester City striker Alvaro Negredo
Manchester City delivered an ominous message to their Premier League title rivals as leaders Arsenal were thrashed.
Manuel Pellegrini's side closed the gap on the Gunners to three points with another in a growing list of devastating attacking displays at home this season.
And they have piled on the agony for North London's two contenders

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BARCELONA 2 VILLAREAL 1

Neymar scores from the penalty spot against to put Barcelona ahead against Villarreal
Neymar made it five goals in two games as Barcelona went three points clear at the top of La Liga with a hard-earned win over Villarreal at the Nou Camp.
The 21-year-old Brazil forward followed up his Champions League hat-trick against Celtic by scoring a penalty after Mario had handled.
Villarreal stunned the Nou Camp by levelling, Mateo Musacchi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALIYEOKOTA FLASH YA SHILOLE AMEVUJISHA NYIMBO YAKE BILA MWENYEWE KUTAKA

Shilole aka ‘ShiShi Baby’ amejikuta akiwa na ngoma mpya hewani bila kupenda, huku akipokea simu za watangazaji kadhaa wakitaka auel... thumbnail 1 summary


Audio: Aliyeokota flash ya Shilole amkata Mood, amevujisha ngoma moja kutoka kwenye flash hiyo

Shilole aka ‘ShiShi Baby’ amejikuta akiwa na ngoma mpya hewani bila kupenda, huku akipokea simu za watangazaji kadhaa wakitaka auelezee wimbo huo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: