May 14, 2015

Ommy Dimpoz: Mashabiki wanatakiwa waelewe kuwa sio kila wimbo unaweza ukawa hit kubwa!

Inawezekana wewe kama shabiki wa muziki ukawa unafurahi kusikiliza nyimbo za wasanii wakubwa ambazo zinafanya vizuri, lakini hauzifahamu ... thumbnail 1 summary

Inawezekana wewe kama shabiki wa muziki ukawa unafurahi kusikiliza nyimbo za wasanii wakubwa ambazo zinafanya vizuri, lakini hauzifahamu changamoto kubwa wanazokutana nazo wakati wa kufanya maamuzi magumu ya wimbo wa kutoa ili ufanye vizuri kama zilizopita. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RECHO: Bado nipo single, wanaume...[VIDEO]

Recho is single and ready to mingle guys. Akiongea na Bongo5 hivi karibuni, Recho amedai kuwa bado hajampata mwanaume anayeweza kum... thumbnail 1 summary

Recho is single and ready to mingle guys.

Akiongea na Bongo5 hivi karibuni, Recho amedai kuwa bado hajampata mwanaume anayeweza kumuita wake na ambaye huenda wanaweza kuzaa watoto pamoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHAMSA FORD: Ni rahisi sana kumpata mwanamke mzuri,mwenye shape unayoitaka,mwenye....

Ni rahisi sana kumpata mwanamke mzuri,mwenye shape unayoitaka,mwenye sura nzuri ,sauti nzuri,nk..But ni vigumu kumpata mwanamke ambaye am... thumbnail 1 summary
Ni rahisi sana kumpata mwanamke mzuri,mwenye shape unayoitaka,mwenye sura nzuri ,sauti nzuri,nk..But ni vigumu kumpata mwanamke ambaye ameanza moja na ww kuanzia huna kitu mpaka unacho.ni vigumu kumpata mwanamke ambaye uwe nacho usiwe nacho yupo na ww.Ni vigumu kumpata mwanamke

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: