June 10, 2014

BRAZUKA: Yanayojiri nchini Brazil siku mbili kabla ya Kombe la dunia kuanza

Zikiwa zimebakia takribani siku mbili kabla ya michuano ya kombe la dunia ambayo ni mikubwa kabisa kwa upande wa soka ikiwa inayovutia ma... thumbnail 1 summary
fifa-world-cup-wallpaper-hdZikiwa zimebakia takribani siku mbili kabla ya michuano ya kombe la dunia ambayo ni mikubwa kabisa kwa upande wa soka ikiwa inayovutia mabilioni ya watazamaji duniani kuanza – bongopublisher itakuwa inakuletea yote yanayojiri nchini Brazil kwa kuanza leo hizi hapa ndizo zilizo-make headlines.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilichotokea baada ya Beckham kuwaalika Zidane, Lucas Moura na Bale nyumbani kwake hiki hapa

Unadhani nini kitatokea pale magwiji wa soka duniani kama David Beckham na Zinedine Zidane wanapokaa na wadogo zao Lucas Moura na Gareth ... thumbnail 1 summary
article-2651173-1E8C64A000000578-593_964x386Unadhani nini kitatokea pale magwiji wa soka duniani kama David Beckham na Zinedine Zidane wanapokaa na wadogo zao Lucas Moura na Gareth Bale kuangalia mechi ya soka nyumbani kwa mmoja wao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXPOSED!!!!..Sexy Photo za Nagris Mohamed....She is Still Hot!!

Huyu ni Miss Tanzania namba tatu 2003/04, Nargis Mohamed, kwa sasa ni mfanyakazi katika BANK flani na ni mama wa mtoto mmoja....Unakumbuk... thumbnail 1 summary

Huyu ni Miss Tanzania namba tatu 2003/04, Nargis Mohamed, kwa sasa ni mfanyakazi katika BANK flani na ni mama wa mtoto mmoja....Unakumbuka enzi za OSHENI SANDO....na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUPITIA PICHA HII UTAWEZA KUMWONA BABA MZAZI WA DIAMOND AKIWA NA WEMA SEPETU

Ukitaka kujua kwamba Diamond na Wema Sepetu wametoka mballi na sababu ya kutokuachana kwako hadi leo utaipata hapa kupitia pichahii itaweza... thumbnail 1 summary

Ukitaka kujua kwamba Diamond na Wema Sepetu wametoka mballi na sababu ya kutokuachana kwako hadi leo utaipata hapa kupitia pichahii itaweza kukuonyesha kuwa Diamond Platnumz na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndiyo Cover ya ngoma mpya ‘Hawajui’ kutoka kwa Vanessa Mdee

Mapema leo kupitia page yake ya Instagram Vanessa Mdee amepost cover la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Hawajui’ ngoma hiyo inay... thumbnail 1 summary

Mapema leo kupitia page yake ya Instagram Vanessa Mdee amepost cover la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Hawajui’ ngoma hiyo inayotarajiwa kutoka June 13

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ONA THE GATHERING OF WAKAREEZ LIVE NOW AT DOUBLE TREE HOTEL AT UPTOWN BONGO MASAKI LIVE!!!

Tanzania Farmer Poll & Do Agric Petition Launch at Doubletree by Hilton A.Y,Prof. JAY&M.Mpoto. thumbnail 1 summary

Tanzania Farmer Poll & Do Agric Petition Launch at Doubletree by Hilton A.Y,Prof. JAY&M.Mpoto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NEY WA MITEGO AJINUNULIA GARI MWENYEWE KAMA ZAWADI YA SIKU YA KUZALIWA KWAKE

Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa... thumbnail 1 summary
Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa vile huu ndio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NJIA SABA (7) ZA UHAKIKA ZA KUPATA AJIRA HIZI HAPA

Kupata nafasi za ajira imekuwa ngumu siku hadi siku, hususani ukitilia maanani kuwa wahitimu wanazidi kuwa wengi na hali ngumu ya uchu... thumbnail 1 summary
Kupata nafasi za ajira imekuwa ngumu siku hadi siku, hususani ukitilia maanani kuwa wahitimu wanazidi kuwa wengi na hali ngumu ya uchumi inafanya waajiri kushindwa kuongeza nafasi mpya za kazi. Hauna haja ya kukata tamaa ya kupata kazi ile unayoitarajia hata kama kuna ukiritimba mwingi katika soko la ajira kama vile watu kupeana kazi kwa kujuana, nafasi za kazi kutotangazwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vera Sidika Azungumza na Al-Jazeera

Baada ya Ku TREND sana mitandaoni hapa AFRIKA mwana dada VERA SIDIKA   sasa atapata kujulikana kimataifa zaidi...hii ni baada ya kupata ... thumbnail 1 summary

Baada ya Ku TREND sana mitandaoni hapa AFRIKA mwana dadaVERA SIDIKA  sasa atapata kujulikana kimataifa zaidi...hii ni baada ya kupata nafasi ya kufanyiwa  INTAVYUU na moja kati ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Shuhudia Shilole Akikunjwa ile mbaya......Ameanza GYM

Mwana mama msanii machachali hapa nchini, SHILOLE aka SHISH BABY kwasasa ameanza thumbnail 1 summary

Mwana mama msanii machachali hapa nchini, SHILOLE aka SHISH BABY kwasasa ameanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHECKI VIDEO ILIYOJAA HUBA UKIINGIA HUTATAKA USITOKE

  hii ni hatari sana kwa roha zake toto linajiachia kama nini no shida wala nini.   thumbnail 1 summary

 hii ni hatari sana kwa roha zake toto linajiachia kama nini no shida wala nini. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kapombe Transfer Saga

Taifa Stars’ defender, Shomari Kapombe transfer is sure to go down as one of the most controversial dealings for many past and future s... thumbnail 1 summary

Kapombe training with his French club.
Taifa Stars’ defender, Shomari Kapombe transfer is sure to go down as one of the most controversial dealings for many past and future seasons. His overseas trials and eventual transfer to France fourth division side, AS Cannes was shrouded in more mysteries than the Bermuda Triangle.
After one of the shortest overseas spell that would perhaps be better entered as a footnote in his career CV, Kapombe is set to return to the local league.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOL PENNY NAYE ANAMAMBO I KITOTO ETI ANADAI HII, NDIYO DAWA YA KURUDIANA NA DIAMOND,KAMA HUJAIJUA SOMA ZAID HAPA

LOL MANENO ya watu bhana eti wanadai penny siku hizi anapost picha kali, na anaonekana mwenye kujipenda na kwa msafii thumbnail 1 summary

LOL MANENO ya watu bhana eti wanadai penny siku hizi anapost picha kali, na anaonekana mwenye kujipenda na kwa msafii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 17 ZA DIAMOND HAPA SOUTH AFRICA JINSI ILIVYOKUA AKIREKODI KOLABO NA MAFIKIZOLO JUNE 9 2014

Hapa ni kwenye gari safari ya kuelekea studio ndio inaanza, Mameneja Bab Tale kushoto na Salam kulia pembeni na Diamond Hatimae mp... thumbnail 1 summary

2
Hapa ni kwenye gari safari ya kuelekea studio ndio inaanza, Mameneja Bab Tale kushoto na Salam kulia pembeni na Diamond
Hatimae mpango wa Mafikizolo wa South Africa ambao ni mastaa wa hit single ya ‘khona’ waliochukua tuzo mbili kwenye MTV Africamusic awards 2014 kufanya kolabo na Diamond umefanikiwa kwenye usiku wa June 9 2014.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UVUMILIVU UMEMSHINDA NANDO, AFUNGUKA KUHUSU STORI ZILIZO SAMBAA KUWA ANA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA LULU MICHAEL

Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa (the chase) 2013, Amir Nando ameweka wazi kuwa hajawai kuwa na uhusiano ya kimapenzi na mwana... thumbnail 1 summary
Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa (the chase) 2013, Amir Nando ameweka wazi kuwa hajawai kuwa na uhusiano ya kimapenzi na mwanadada wa filamu, Elizabeth Micheal aka Lulu, lakini anakubali sana.
Akizungumza na Global Tv ,Nando amezungumzia pia mipango yake ya kufanya filamu na mwanadada huyo wa filamu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KASHFA YA UBAGUZI BIEBER SASA AMRUDIA MUNGU

Msanii maarufu nchini marekani na duniani kwa ujumla 'Justin Bieber' amekuwa mtu wa matukio sana na kutengeneza "he... thumbnail 1 summary


Msanii maarufu nchini marekani na
duniani kwa ujumla 'Justin Bieber'
amekuwa mtu wa matukio sana na
kutengeneza "headline" katika vyombo
vya habari tangu mwaka huu uanze,
Bieber amekumbwa na matatizo kadhaa
mpaka kufikia wananchi kutaka White
House ifute hati yake ya kuishi nchini
hapo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IMEBAINIKA KUWA DAR NDIO MKOA GHALI KULIKO YOTE TANZANIA

WAKATI Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, unapanga kuongeza nauli za daladala kwa wakazi wa Dar es ... thumbnail 1 summary

WAKATI Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka
Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza,
unapanga kuongeza nauli za daladala kwa
wakazi wa Dar es Salaam ili kukabiliana na
tatizo sugu la foleni, taarifa ya matumizi ya
kaya binafsi Tanzania Bara, zimeonesha
kuwa Mkoa wa Dar es Salaam, ndio mahali
ghali zaidi nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MILLIONI 300 ZAREJESHA HESHIMA SIMBA

SIMBA inanunua wachezaji wawili tu wapya wa kigeni, lakini bajeti yake ya usajili mzima wa kikosi ni Sh300 milioni. Fungu hilo limeten... thumbnail 1 summary

SIMBA inanunua wachezaji wawili tu
wapya wa kigeni, lakini bajeti yake ya
usajili mzima wa kikosi ni Sh300 milioni.
Fungu hilo limetengwa na kundi
maarufu la Friends of Simba ambalo
Mwanaspoti linajua kwamba
wanamsapoti Evans Aveva kwenye
nafasi ya urais katika uchaguzi ujao wa
Juni 29.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAFIKI ZOLO WAMKUBALI DIAMOND KWENYE KUIMBA

Hatimae mpango wa Mafikizolo wa South Africa ambao ni mastaa wa hit single ya 'khona' waliochukua tuzo mbili kwenye MTV Africa... thumbnail 1 summary

Hatimae mpango wa Mafikizolo wa South
Africa ambao ni mastaa wa hit single ya
'khona' waliochukua tuzo mbili kwenye MTV
Africa music awards 2014 kufanya kolabo
na Diamond umefanikiwa kwenye usiku wa
June 9 2014.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

XCLUSIV VIDEO: TAZAMA WIMBO WA DJ XCLUSIV ft WIzKID - JE JE

DJ Xclusive ameachia video mpya ya single yake inayoitwa “Jeje”  akiwa amemshirikisha Wizkid. Wimbo umetengenezwa na  MasterKraft... thumbnail 1 summary


DJ Xclusive ameachia video mpya ya single yake inayoitwa “Jeje”  akiwa amemshirikisha Wizkid.
Wimbo umetengenezwa na MasterKraft na DJ Xclusive na director wa video ni Sesan Ogunro.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

G-UNIT WARUDI TENA WAFANYA SHOW KALI SUMMER JAM 2014 NEW YORK CITY

After a 10 years ban, 50 Cent was back headlining this year Hot 97′s Summer Jam in NYC!  G-Unit reunited on stage as Lloyd Banks, Tony Yay... thumbnail 1 summary

10334384_800364439976515_5605771910172674945_n

After a 10 years ban, 50 Cent was back headlining this year Hot 97′s Summer Jam in NYC! G-Unit reunited on stage as Lloyd Banks, Tony Yayo and Young Buck came out during

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TEASER YA WIMBO MPYA WA ALIKBA ... SIKILIZA HAPA

Huenda huu ukawa ndio ujio mpya wa Alikiba baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu. thumbnail 1 summary
Huenda huu ukawa ndio ujio mpya wa Alikiba baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZEE SMALL AZIKWA, AACHA LAANA KWA NINI KAACHA LAANA NA KAWAACHIA AKINA NANI? SOMA HAPA

Ustadhi akimuombea marehemu dua ya mwisho baada ya kuuhifadhi mwili wake kaburini. Stori: MWANDISHI WETU HATIMAYE  aliyekuwa nguli wa sa... thumbnail 1 summary

Ustadhi akimuombea marehemu dua ya mwisho baada ya kuuhifadhi mwili wake kaburini.

Stori: MWANDISHI WETU
HATIMAYE aliyekuwa nguli wa sanaa za maigizo Bongo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amezikwa jana katika Makaburi ya Tabata-Segerea jijini Dar es Salaam huku akiacha laana kwa tasnia ya maigizo.
Mzee Small alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili kwenye Hospitali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUME WA FLORA MBASHA ALIA NA GWAJIMA: ASEMA MAZITO "GWAJIMA NIACHIE MKE WANGU" ... SOMA SAKATA HILI LILIPOFIKIA

MUME  wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha anayedaiwa kumbaka binti wa miaka 17 (jina lipo), Emmanuel Mbasha ameibuka mzimamzima na kumt... thumbnail 1 summary

MUME wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha anayedaiwa kumbaka binti wa miaka 17 (jina lipo), Emmanuel Mbasha ameibuka mzimamzima na kumtaka Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la jijini Dar, Josephat  Gwajima amuachie mke wake, yaani Flora.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BALAA: ANG'ATWA NA BOSS WAKE KISA KUTOA SIRI ZOTE .... SOMA MAMBO HAYA

NYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyi... thumbnail 1 summary
NYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyiwa ukatili wa kutisha na bosi wake kisha habari zake kuandikwa, ametoa siri nzito, Uwazi limemegewa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PROFFESOR AZUNGUMZIA DIAMOND KUKOSA TUZO MTV, NA UJIO WA VIDEO YA ‘KIPI SIJASIKA’

Msanii mkongwe wa Hip Hop Proffesor Jay amesema kuwa kushindwa kwa Diamond kuchukuwa tuzo za MTV kusimvunje moyo kwakuwa alikuwa ... thumbnail 1 summary

Professor-Jay1-copy-800x596Msanii mkongwe wa Hip Hop Proffesor Jay amesema kuwa kushindwa kwa Diamond kuchukuwa tuzo za MTV kusimvunje moyo kwakuwa alikuwa anashindana na wasanii wakubwa sana Africa.
Akizungumza na bongo5 leo ,Proffesor Jay amesema kuwa nafasi aliyopata Diamond na kushindana na wasanii hayo ni ushindi mkubwa wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HICHI NDICHO KILICHOSEMWA BUNGENI JUU YA PICHA CHAFU ZINAZOSAMBAZWA MITANDAONI ZA WATU MAARUFU

Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Ta... thumbnail 1 summary

bungee
Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania  Dodoma

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SABABU KWANINI JENIFFER LOPEZ HATOPAFOMU KWENYE UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA

Michuano ya kombe la dunia inatarajiwa kuanza siku ya alhamisi wiki hii nchini Brazil kwa ufunguzi wa mechi kati ya wenyeji Brazil dhidi ya... thumbnail 1 summary

jennifer-lopez-pitbull-claudia-leitteMichuano ya kombe la dunia inatarajiwa kuanza siku ya alhamisi wiki hii nchini Brazil kwa ufunguzi wa mechi kati ya wenyeji Brazil dhidi ya Croatia, lakini kama ilivyo kawaida kabla ya mechi husika ya ufunguzi kunakuwepo na sherehe za ufunguzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tuache Utani Penny Ni WAIFU MATIRIO kuliko MADAME

Amakweli mapenzi yananguvu zaidi ya BREKI DAUNI....Mara kadhaa Bwana mdogo  Diamond mara baada ya KUMPIGA CHINI  Wema Wa Sepetu...kwenye... thumbnail 1 summary

Amakweli mapenzi yananguvu zaidi ya BREKI DAUNI....Mara kadhaa Bwana mdogo  Diamond mara baada ya KUMPIGA CHINI  Wema Wa Sepetu...kwenye INTAVYUU mabalimbali alikuwa anasema Wema
SIO, Majanga kibao ya kumfumumania GESTI na Vijamaa....Hadi MAPEDEJEE

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KANTANGAZEE!! ISHU NZIMA YA KAKA YETU DIAMOND KUMWOA WEMA IPO WAZ KABISAA!! HABARI ZAID SOMA WARAKA HUU

Dear Diamond Najua uko busy sana ma Chanell za pesa pamoja na Show za Music rejea ujumbe hapo juu huyo thumbnail 1 summary
Dear Diamond
Najua uko busy sana ma Chanell za pesa pamoja na Show za Music rejea ujumbe hapo juu huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: