July 24, 2014

Idadi ya jezi alizouza James Rodriguez ndani ya saa moja tu Real.

Muda mfupi baada ya kujiunga na Real Madrid kwa ada ya uhamisho wa paundi millioni 63, mchezaji wa Colombia James Rodriguez ameweka rekod... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-24 at 9.33.54 AMMuda mfupi baada ya kujiunga na Real Madrid kwa ada ya uhamisho wa paundi millioni 63, mchezaji wa Colombia James Rodriguez ameweka rekodi katika mauzo ya jezi yake ya Real Madrid.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MANCHESTER UNITED YAMRUDISHA PAUL SCHOLES OLD TRAFFORD KUFUNDISHA MAKINDA

+2 Paul Scholes (kushoto) alikuwepo katika mechi ya jumanne wakati  Salford City  inacheza dhidi ya Stalybridge Celtic, klabu... thumbnail 1 summary

Watching brief: Paul Scholes (left) was on the touchline on Tuesday as Salford City took on Stalybridge Celtic, the team he co-owns, in pre-season friendly
Paul Scholes (kushoto) alikuwepo katika mechi ya jumanne wakati  Salford City  inacheza dhidi ya Stalybridge Celtic, klabu ambayo ana hisa, ikiwa ni mechi ya maandalizi ya kabla ya msimu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROMELU LUKAKU AIPASHIA LIGI KUU NA KLABU YAKE YA ZAMANI YA ANDERLECHT

MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Romelu Lukaku anajifua na klabu yake ya zamani ya   Anderlecht kwa lengo la kujiweka fiti kabla ya kuanza msimu... thumbnail 1 summary
Back home: Romelu Lukaku has decided to train with his former team ahead of the new season
MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Romelu Lukaku anajifua na klabu yake ya zamani ya  Anderlecht kwa lengo la kujiweka fiti kabla ya kuanza msimu mpya wa ligi kuu soka nchini England.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RASMI: LUCAS PIAZON AJIUNGA NA EINTRACHT FRANKFURT KWA MKOPO

MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Lucas Piazon am ejiunga na    Eintracht Frankfurt  kwa mkopo wa muda mrefu. thumbnail 1 summary
Official: Chelsea youngster Piazon joins Eintracht Frankfurt on loan
MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Lucas Piazon amejiunga na  Eintracht Frankfurt kwa mkopo wa muda mrefu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ISRAEL NA PALESTINA `BIFU` HADI KWENYE SOKA...WAANDAMANAJI WAVAMIA UWANJA NA KUZIPIGA NGUMI `KAVU KAVU`

MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiw... thumbnail 1 summary
Attack: Protestors storm the pitch and appear to attack the Maccabi Haifa players

MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RASMI: FRANK JAMES LAMPARD ATUA NEW YORK CITY NA KUTAMBULISHWA

Karibu New York mkongwe: Lampard ametambulishwa rasmi leo na klabu ya New York City. thumbnail 1 summary
Karibu New York mkongwe: Lampard ametambulishwa rasmi leo na klabu ya New York City.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANAESEMA ETI SHILOLE NI KIBIBI KWA MZIWANDA AMEPOTEA...ANGALIA PICHA HIZI UTAGUNDUA KITU

Kwenye picha hizi ndio utagundua kuwa SHISH BEIBY ni mkali sana unaweza sema ni J LO sababu yupo HOT ile mbaya utazani mwanafunzi wa mwa... thumbnail 1 summary

Kwenye picha hizi ndio utagundua kuwa SHISH BEIBY ni mkali sana unaweza sema ni J LO sababu yupo HOT ile mbaya utazani mwanafunzi wa mwaka wapili chuo kikuu..hehehehee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAKTARI ALIYEKUA AKIONGOZA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA NCHINI SIERRA LEONE AMEAMBUKIZWA UGONJWA HUO.

Daktari aliyekua akiongoza mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone anapatiwa matibabu ili kupambana na Virusi vya ugonjw... thumbnail 1 summary
Daktari aliyekua akiongoza mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone anapatiwa matibabu ili kupambana na Virusi vya ugonjwa huo, Taarifa kutoka Ofisi ya Rais imeeleza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MIAKA 2 YA NDOA AUNT EZEKIEL AHANGAIKA USIKU NA MCHANA KUSAKA MTOTO

MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya fi... thumbnail 1 summary

MWIGIZAJI nguli katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel (pichani) anadaiwa kuanza kusaka mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND KATIKA LEVEL NYINGINE TENA,ATAJWA KUWANIA TUZO ZA TFAAS,KUCHUANA NA YAYA TOURE

Diamond Platinumz anaendelea kuongeza CV katika muziki wake kwenye level za kimataifa baada ya kutajwa Jana kuwa mmoja kati ya v... thumbnail 1 summary

Diamond Platinumz anaendelea kuongeza CV katika muziki wake kwenye level za kimataifa baada ya kutajwa Jana kuwa mmoja kati ya vijana wa Afrika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROSE NDAUKA AYACHANA MAKUNDI

Na Rhoda Josiah MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka ameweka wazi kwamba kinachomfanya aishi vizuri na wenzake ni kutoendekeza mak... thumbnail 1 summary
Na Rhoda Josiah MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka ameweka wazi kwamba kinachomfanya aishi vizuri na wenzake ni kutoendekeza makundi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAY ASHINDWA KUMZIKA BAM’DOGO WA JOHARI

MKURUGENZI wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameshindwa kumzika baba mdogo wa mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo, Blandina Chagu... thumbnail 1 summary


MKURUGENZI wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameshindwa kumzika baba mdogo wa mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo, Blandina Chagula, Clement Kiyenze Chagula.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADAWA YA KULEVYA YAZIDI KUMTESA MUIGIZAJI BATULI WA BONGO MOVIE

Na Gabriel Ng’osha MWANADAFADA kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo wan... thumbnail 1 summary

Na Gabriel Ng’osha
MWANADAFADA kutoka Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa anaumia kuona listi ndefu ya Wabongo wanaosubiri kunyongwa nchi mbalimbali kwa kukutwa na dawa za kulevya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Umekipata alichokifanya Maimartha Jesse unaweza kudhani ni filamu.

Wenyewe wamesema kuwa namna waliyoifanya wamemsuta mtu ki-technology mpya kutokana na namna yao mpya,unaweza kudhani ni filamu lakini Mai... thumbnail 1 summary
MAI MANYWELEWenyewe wamesema kuwa namna waliyoifanya wamemsuta mtu ki-technology mpya kutokana na namna yao mpya,unaweza kudhani ni filamu lakini Maimartha ameamua kumuelekeza kijana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilichoendelea kesi ya Mbasha Mahakamani July 23 2014, kakubali sentensi mbili tu.

KESI ya ubakaji inayomkabili mume wa Flora Mbasha ambae ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania Emmanuel Mbasha (32), ilitajwa t... thumbnail 1 summary
Mbasha 22KESI ya ubakaji inayomkabili mume wa Flora Mbasha ambae ni mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili Tanzania Emmanuel Mbasha (32), ilitajwa tena July 23 2014 katika mahakama ya wilaya ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya headlines za kufungiwa kwa video, huu ni ujio mwingine wa Sauti Sol.

Baada ya stori za kufungiwa kwa video ya wimbo wao wa ‘nishike’ kundi la Sauti Sol kutoka 254 Kenya limerudi kwenye headlines na single y... thumbnail 1 summary
sauti-sol-nishike-music-videoBaada ya stori za kufungiwa kwa video ya wimbo wao wa ‘nishike’ kundi la Sauti Sol kutoka 254 Kenya limerudi kwenye headlines na single yao mpya ya ‘sura yako’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sikiliza ugomvi alioufanya Baba Levo kisa kikidaiwa ni cheni.

Kutoka Kigoma inasemekana baada ya mazishi ya Kaka yake Baba Levo kuna ugomvi ambao Baba Levo aliuanzisha kisa kikiwa ni cheni ambayo mar... thumbnail 1 summary
BABA LEVOOKutoka Kigoma inasemekana baada ya mazishi ya Kaka yake Baba Levo kuna ugomvi ambao Baba Levo aliuanzisha kisa kikiwa ni cheni ambayo marehemu aliiacha,kesi kwa sasa ipo Polisi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sikiliza ugomvi alioufanya Baba Levo kisa kikidaiwa ni cheni.

Kutoka Kigoma inasemekana baada ya mazishi ya Kaka yake Baba Levo kuna ugomvi ambao Baba Levo aliuanzisha kisa kikiwa ni cheni ambayo mar... thumbnail 1 summary
BABA LEVOOKutoka Kigoma inasemekana baada ya mazishi ya Kaka yake Baba Levo kuna ugomvi ambao Baba Levo aliuanzisha kisa kikiwa ni cheni ambayo marehemu aliiacha,kesi kwa sasa ipo Polisi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchekeshaji Kansiime anavyotengeneza pesa Kenya.

Kansiime Anne ni mchekeshaji kutoka Uganda ambae amesomea Sayansi ya saikolojia kwenye chuo kikuu cha Makerere Kampala Uganda ambako alia... thumbnail 1 summary
Kansiime 1Kansiime Anne ni mchekeshaji kutoka Uganda ambae amesomea Sayansi ya saikolojia kwenye chuo kikuu cha Makerere Kampala Uganda ambako alianzia kuchekesha kama utani kusambaza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mke wa T.I amerudi na hii single ya kwanza toka enzi zile za Xscape

Hii single imedondoka wakati bado headlines za moto kuhusu bondia Floyd Mayweather kudaiwa kuwepo mapenzini na Tiny zikiendelea kusambazw... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-24 at 6.30.47 AMHii single imedondoka wakati bado headlines za moto kuhusu bondia Floyd Mayweather kudaiwa kuwepo mapenzini na Tiny zikiendelea kusambazwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU SASA AJUTA KUTUMIA MKOROGO... AELEZA KILICHOMTOKEA, INASIKITISHA SANA:

MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumf... thumbnail 1 summary

MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Man City waingilia mazungumzo ya Chelsea na Drogba

Mabingwa wa soka nchini Uingereza Man City, wameingia katimazungumzo ya mshambuliaji kutoka nchini Ivory Coast, Didier Drogba ambaye ku... thumbnail 1 summary


Mabingwa wa soka nchini Uingereza Man City, wameingia katimazungumzo
ya mshambuliaji kutoka nchini Ivory Coast, Didier Drogba ambaye kutwa
nzima ya jana alikuwa anapewa nafasi kubwaya kurejea kwenye klabu ya 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mlipuko wa bomu waua watu 25 Nigeria

Wanamgambo wa kiislamu, Boko Haram wamekuwa wakitekeleza mashambulizi kadha wa kadha ya mabomu na mauaji nchini Nigeria tangu walipoanz... thumbnail 1 summary

Wanamgambo wa kiislamu, Boko Haram wamekuwa wakitekeleza mashambulizi kadha wa kadha ya mabomu na mauaji nchini Nigeria tangu walipoanza Operesheni yao mwaka 2009 wakiwa na nia ya kuunda nchi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FILAMU HAZILIPI KABISA, SAPOTI YA WAUME AU WAPENZI NDIO INASAIDIA KUTUWEKA MJINI

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume... thumbnail 1 summary

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA MARA YA KWANZA ALIKIBA AFUNGUKA MAMBO MAZITO KUHUSU DIAMOND, TAZAMA HAPA AKIHOJIWA NA SPORAH

Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chan... thumbnail 1 summary

Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZITTO KABWE ATAMBULISHWA ACTMbey

KATIBU Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-Tanzania), Samson Mwigamba, ameweka hadharani dhamira ya ch... thumbnail 1 summary


KATIBU Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-Tanzania), Samson Mwigamba


KATIBU Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-Tanzania), Samson Mwigamba, ameweka hadharani dhamira ya chama hicho kuongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: