December 12, 2016

Nape: Tutawaachia kidogo wasanii, hatutobana sana

Waziri Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye amesema amesikia kilio cha wasanii kuhusu kuwabana katika kazi zao hususan kwenye... thumbnail 1 summary
Waziri Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye amesema amesikia kilio cha wasanii kuhusu kuwabana katika kazi zao hususan kwenye video za muziki na kuahidi kufumba jicho moja ili kuwapa uhuru kiasi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meli yenye malori 600 ya Kiwanda cha Dangote yawasili Mtwara

Mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote jana alipokuwatana na kufanya mazungumzo na Rais Dk Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam alimthibitishi... thumbnail 1 summary
Mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote jana alipokuwatana na kufanya mazungumzo na Rais Dk Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam alimthibitishia kuwa hana lengo la kufunga kiwanda chake kama inavyodaiwa badala yake anatafuta fursa nyingine za kuwekeza hapa nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EATV AWARDS Itafanya Rais Aendelee Kuniacha Katika Wizara- Nape Afunguka

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ambaye alikuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za EATV AWARDS zili... thumbnail 1 summary
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ambaye alikuwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo za EATV AWARDS zilizofanyika usiku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Kutana na Mtanzania anaefanana na Jay Z kimuonekano mpaka sauti

After School Bash ni tamasha ambalo huwa linafanyika kila mwisho wa mwaka na kukutanisha Wanafunzi mbalimbali na mastaa wa muziki bon... thumbnail 1 summary


After School Bash ni tamasha ambalo huwa linafanyika kila mwisho wa mwaka na kukutanisha Wanafunzi mbalimbali na mastaa wa muziki bongoflevani,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: