December 12, 2016

VIDEO: Kutana na Mtanzania anaefanana na Jay Z kimuonekano mpaka sauti

After School Bash ni tamasha ambalo huwa linafanyika kila mwisho wa mwaka na kukutanisha Wanafunzi mbalimbali na mastaa wa muziki bon... thumbnail 1 summary


After School Bash ni tamasha ambalo huwa linafanyika kila mwisho wa mwaka na kukutanisha Wanafunzi mbalimbali na mastaa wa muziki bongoflevani, pamoja na hayo huwa kunafanyika mashindano mbalimbali ikiwemo ya hawa wanaofanana na mastaa…. Tazama hii video hapa chini kujionea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments