December 26, 2016

Watanzania tuchape kazi kwelikweli kwa sababu hakuna cha bure – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii kama ilivyokuwa kwa Ye... thumbnail 1 summary


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii kama ilivyokuwa kwa Yesu Kristo ambaye alikuwa chini ya malezi ya fundi seremala.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ndege ya kijeshi yenye watu 90 yapotea kwenye radar

Ndege ya kijeshi ya Urusi imepotea kwenye radar dakika chache tu baada ya kupaa angani kutoka kwenye mji wa Sochi. Wizara ya ... thumbnail 1 summary


Ndege ya kijeshi ya Urusi imepotea kwenye radar dakika chache tu baada ya kupaa angani kutoka kwenye mji wa Sochi.


Wizara ya ulinzi imedai kuwa ndege hiyo, Tu-154 ilikuwa na watu 91 wakiwemo wanajeshi, bendi ya jeshi na waandishi wa habari.

Ndege hiyo ilitoweka kwenye radar dakika 20 baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Adler. Taarifa ambazo hazijathibitishwa, zimedai kuwa ndege hiyo ilikuwa inaenda kwenye jimbo la Syria, Latakia.

Msemaji wa wizara ya ulinzi, Igor Konashenkov amedai kuwa ndege hiyo ilikuwa inaenda kushiriki kwenye mkesha wa mwaka mpya na wanajeshi wa Urusi walioko Syria.

Majeshi ya Urusi, nchi yenye ukaribu na rais wa Syria, Bashar al-Assad yamekuwa yakifanya mashambulio dhidi ya makundi ya kigaidi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Wanamitindo waonesha mavazi katika Sanaa Fashion Show

Jumamosi, lilifanyika onesho la mitindo la Sanaa Fashion Show kwenye viwanja vya kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama jijini Dar es Sal... thumbnail 1 summary


Jumamosi, lilifanyika onesho la mitindo la Sanaa Fashion Show kwenye viwanja vya kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.


Onesho hilo lililoandaliwa na mdau wa mitindo nchini, Shaksy liliambatana pamoja na utoaji tuzo kwa watu waliotoa mchango wao mkubwa kwa mwaka huu kwenye tasnia ya mitindo nchini na lilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo madisgner kibao akiwemo Asia Idarous, Martin Kadinda, Kulwa Mkwandule, Walter Dimaria, Agness, Alex na wengine wengi.

Tazama picha zaidi hapa chini.








SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamuziki mkongwe wa UK, George Michael afariki dunia

Mwanamuziki mkongwe wa nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53. thumbnail 1 summary


Mwanamuziki mkongwe wa nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 25, 2016

PSG ya kamilisha usajili wa kiungo Julian Draxler

Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Nchini Ufaransa, imetangaza kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji ,Julian Draxler kutoka Wolfs... thumbnail 1 summary


Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Nchini Ufaransa, imetangaza kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji ,Julian Draxler kutoka Wolfsburg kwa m

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Presha ya Christmas: SUMATRA waruhusu daladala kusafirisha abiria Moshi na Arusha

Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA wamelazimika kuruhusu magari madogo maarufu (daladala) kwenda mikoa mba... thumbnail 1 summary


Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA wamelazimika kuruhusu magari madogo maarufu (daladala) kwenda mikoa mbalimbali ikiwemo Moshi na Arusha baada ya idadi kubwa ya abiria kukosa nafasi kwenye mabasi makubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mourinho: Sidhani kama Chelsea watapoteza pointi kwa jinsi wanavyo paki basi

Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amekiri itakuwa vigumu mno kwa timu yake kushinda ubingwa wa ligi kuu msimu huu kwa s... thumbnail 1 summary

Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amekiri itakuwa vigumu mno kwa timu yake kushinda ubingwa wa ligi kuu msimu huu kwa sababu ya tabia ya Chelsea kupaki basi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kipindi cha The Weekend Chat Show cha Clouds TV kuja kivingine, sasa kuitwa SHILAWADU

Kipindi cha The Weekend Chat Show cha Clouds TV sasa kutaitwa SHILAWADU. Mabadiliko ya kipindi hicho cha burudani yataenda sambam... thumbnail 1 summary




Kipindi cha The Weekend Chat Show cha Clouds TV sasa kutaitwa SHILAWADU. Mabadiliko ya kipindi hicho cha burudani yataenda sambamba na ujio wa Shilawadu Ubuyu Tour ambapo watangaji wa kipichi hicho, mastaa pamoja mashabiki watapata fursa y

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Viva Brain Ft. Juma Nature – Nakuhitaji

Video mpya ya msanii Viva Brain wimbo unaitwa “Nakuhitaji”, amemshirikisha Juma Nature, Video imeongozwa na Pablo. thumbnail 1 summary


Video mpya ya msanii Viva Brain wimbo unaitwa “Nakuhitaji”, amemshirikisha Juma Nature, Video imeongozwa na Pablo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nahreel ni miongoni mwa maproducer watakaonibadilisha – Chemical

Chemical amefunguka jinsi alivyojisikia baada ya kufanya kazi na Nahreel. thumbnail 1 summary




Chemical amefunguka jinsi alivyojisikia baada ya kufanya kazi na Nahreel.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mapenzi yangu na Jacqueline Wolper yapo moyoni – Harmonize

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amekanusha kuachana na mpenzi wake Jacqueline Wolper baada ya hivi karibuni kuzagaa taarifa ka... thumbnail 1 summary


Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amekanusha kuachana na mpenzi wake Jacqueline Wolper baada ya hivi karibuni kuzagaa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wameachana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bila tume huru wapinzani wasahau kuingia Ikulu – Kingunge

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, vyama vya upinzani vis... thumbnail 1 summary

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, vyama vya upinzani visahau kushinda urais katika uchaguzi mkuu ujao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Muuaji wa watu 12 mjini Berlin auawa nchini Italia

Mtu aliyehusika kwenye shambulio la lori katika soko la Christmas, Berlin na kuuawa watu 12 siku chache zilizopita ameuawa nchini Italia. thumbnail 1 summary

Mtu aliyehusika kwenye shambulio la lori katika soko la Christmas, Berlin na kuuawa watu 12 siku chache zilizopita ameuawa nchini Italia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwa sasa WCB tunadeal na label za wasanii hatuwezi kusaini wasanii wote – Sallam

Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam aka Mendez amedai label ya WCB inaandaa mkakati wa kudeal na label mbalimbali za wasanii na sio kuen... thumbnail 1 summary

Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam aka Mendez amedai label ya WCB inaandaa mkakati wa kudeal na label mbalimbali za wasanii na sio kuendelea kusaini msanii mmoja mmoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 24, 2016

Sam Allardyce ateuliwa kuwa kocha mpya wa Crystal Palace

Klabu ya Crystal Palace ambayo inashriki ligi kuu ya Uingereza, hatimaye imemtangaza Sam Allardyce kuwa kocha mpya wa klabu hiyo baad... thumbnail 1 summary


Klabu ya Crystal Palace ambayo inashriki ligi kuu ya Uingereza, hatimaye imemtangaza Sam Allardyce kuwa kocha mpya wa klabu hiyo baada ya kumfuta kazi kocha Alan Pardew wakati ambapo klabu hiyo iko katika nafasi ya 17 katika ligi hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CAF yatangaza majina 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika

Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limetangaza majina ya wachezaji watatu ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa ... thumbnail 1 summary


Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limetangaza majina ya wachezaji watatu ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Papa Misifa adai hatamsahau Rich Mavoko mpaka anaingia kaburini!

Aliyewahi kuwa meneja wa zamani wa Rich Mavoko, Papa Misifa amefuguka kwa kudai kuwa Rich Mavoko ni msanii ambaye hatakuja kumsahau m... thumbnail 1 summary




Aliyewahi kuwa meneja wa zamani wa Rich Mavoko, Papa Misifa amefuguka kwa kudai kuwa Rich Mavoko ni msanii ambaye hatakuja kumsahau mpaka anaingia karibuni kutokana na mambo aliyotendewa na msanii huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Salome na Pana zaongoza orodha ya nyimbo kubwa 10 za mwaka kwa mujibu wa tovuti ya The Gurdian ya UK

Gazeti maarufu la Uingereza, The Guardian kupitia tovuti yake, limetoa orodha ya nyimbo 10 zilizokuwa kubwa Afrika mwaka 2016. Kwenye o... thumbnail 1 summary

Gazeti maarufu la Uingereza, The Guardian kupitia tovuti yake, limetoa orodha ya nyimbo 10 zilizokuwa kubwa Afrika mwaka 2016. Kwenye orodha hiyo, Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kuanzia 2017 Ben Pol adai atatoza shilingi milioni 10 kwa collabo

Unataka kufanya collabo na Ben Pol? Muwahi sasa kabla ya Disemba 31, sababu mwaka 2017, mambo yanakwenda kubadilika. Ben Pol am... thumbnail 1 summary


Unataka kufanya collabo na Ben Pol? Muwahi sasa kabla ya Disemba 31, sababu mwaka 2017, mambo yanakwenda kubadilika.


Ben Pol amesema kuanzia mwakani atakuwa akitoa dola 5,000 kwa kila kolabo ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 10 za Kitanzania.

“Kuelekea 2017 bei yangu ya Collabo itakuwa $5000. So kama una project na mimi tuwasiliane before 31st Dec 2016,” aliandika Ben kwenye Twitter.

“Ni kweli, ila kama wimbo ni mkali tunaweza kukaa mezani na huyo mtu akanipa sehemu ya umiliki wa hiyo kazi,” Ben ameiambia Bongo5 baada ya kumuuliza kama amedhamiria kweli.

“Kwanza nataka kupunguza idadi ya colabo ili nifanye chache za walio serious na wanaoweza kupush hizo project. Mfano mtu hawezi kukulipa dola elfu 5 halafu akaiweka ngoma kwenye album, au akaiweka ndani tu,” amesisitiza.

“Pia itasaidia kwangu kufikiria zaidi kwenye hiyo kazi, hakuna mtu atakulipa dola 5 halafu akatarajia disappointment, so ita-benefit kwa pande zote.”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ibrahim Ajibu atimkia Misri kuanza maisha mpya ya soka

Mshambuliaji fundi wa klabu ya wenkundu wa Msimbazi Simba SC inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara, Ibrahim Ajibu, ameondoka klabuni ha... thumbnail 1 summary


Mshambuliaji fundi wa klabu ya wenkundu wa Msimbazi Simba SC inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara, Ibrahim Ajibu, ameondoka klabuni hapo na kutimkia nchini Msri kwa ajili ya majaribio ya kucheza soka la kulipwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Mo J adai Gigy ni mwanamke mwenye heshima sana tofauti na watu wanavyodhani – Part 3

Hii ni sehemu ya tatu ya interview ya Bongo5 TV na Gigy Money pamoja na mpenzi wake Mo J ambapo katika sehemu hii Mo J anaeleza sif... thumbnail 1 summary








Hii ni sehemu ya tatu ya interview ya Bongo5 TV na Gigy Money pamoja na mpenzi wake Mo J ambapo katika sehemu hii Mo J anaeleza sifa mbalimbali za Gigy Money ambazo watu hawazijui.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diafra Sakho kukosa michuano ya mataifa bingwa barani Afrika

Mchezaji wa klabu ya West Ham na timu ya taifa ya Senegal, Diafra Sakho hatacheza katika mechi ya kuwania kombe la mataifa bingwa bar... thumbnail 1 summary


Mchezaji wa klabu ya West Ham na timu ya taifa ya Senegal, Diafra Sakho hatacheza katika mechi ya kuwania kombe la mataifa bingwa barani Afrika baada ya kuripotiwa kuwa hatacheza kwa kipindi cha wiki nane zaidi kutokana na jeraha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

‘Hola Hola’ haijaharibu mipango yangu – Chemical

Rapper wa kike Bongo mwenye mistari na swaga za hatari, Chemical amedai kuwa project ya ‘Hola Hola’ haijaharibu mipango yake ya kufan... thumbnail 1 summary


Rapper wa kike Bongo mwenye mistari na swaga za hatari, Chemical amedai kuwa project ya ‘Hola Hola’ haijaharibu mipango yake ya kufanya collabo na rapper mwingine wa kike.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 23, 2016

Jay Moe anavyokula sahani moja na kizazi cha ‘dab’

Juma ‘Jay Moe’ Mchopanga aka Mbakiaji, ni rapper mkongwe ambaye kama ng’ombe mzee, hazeeki maini. Kwa takriban miaka 15 ya career yake, Jay... thumbnail 1 summary
Juma ‘Jay Moe’ Mchopanga aka Mbakiaji, ni rapper mkongwe ambaye kama ng’ombe mzee, hazeeki maini. Kwa takriban miaka 15 ya career yake, Jay Moe hajawahi kuonekana kuhangaika kuonesha ujuzi wake kwenye hip hop.


Ni miongoni mwa wasanii wa zamani wenye hits nyingi ambazo licha ya kuwa na muda mrefu tangu zitoke, bado zinaweza kusikika na upya masikioni mwako. Nyimbo kama Bishoo, Mvua na Jua, Kama Unataka Demu, Maisha ya Boarding, Story 3, Famous ni miongoni mwa nyimbo zake classic zilizompa heshima. Huwezi kusahau hits zingine alizoshirikishwa kama Zeze ya TID, Kimya Kimya aliyofanya na marehemu Ngwair au Jirushe ya Ferooz.

Pamoja na ukongwe huo, Jay Moe amethibitisha mwaka huu kuwa anaweza kuwa rapper hatari katika kizazi cha trap na dab. Aliamua kuchukua risk iliyozaa matunda, kufanya muziki ambao rappers wenye heshima kama yeye wanaogopa kuufanya kwa kile wanachoamini wataonekana wanatapatapa. Wimbo wake Pesa ya Madafu ulimhamisha kutoka kwenye rap yake iliyozoeleka, hadi katika rap ya vijana wa leo, rap ya kizazi cha dab.


Jay Moe anasema aliamua kubadilika kiasi hicho kutokana na kukosolewa na watu kadhaa kwenye wimbo kabla ya huo, Hili Game ambao anasema alifanya makusudi kwa kuogopa kuja na ladha mpya kufuatia ukimya wake wa muda mrefu.
Anasema hiyo ilimpa sababu ya kuja na wimbo wenye usasa mwingi kwakuwa ni nyimbo ambazo anasikiliza pia. “Huko nyuma sikuwa na wimbo ambao ungeweza kuconnect watu wa jinsia tofauti na umri tofauti,” rapper huyo alikiambia kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir miezi kadhaa iliyopita.
“Kwasababu umekuwa ni wimbo ambao hata watoto wadogo nikipita tu wanaimba ‘pesa ya madafu.’
Na kiukweli kubadilika kwa Jay Moe kumekuwa na mafanikio makubwa kwasababu Pesa ya Madafu haikosi kwenye orodha ya nyimbo 10 za hip hop zilizotamba zaidi kwenye redio na TV mwaka huu.
Kubadilika kwake pia, kulikuwa na sababu za kiuchumi na kugoma kuendelea kushikilia misingi ya hip hop ambayo haina faida.
“Leo wakitajwa wasanii wakali wa hip hop hata watano Jay Moe atatajwa lakini wakitajwa wasanii watano wa hip hop wenye mafanikio Jay Moe hayupo,” alisema kwenye interview moja.
“Kwanini na mimi nisiwe kama Nay wa Mitego, kwanini mimi nisiwe kama AY na Profesa Jay wakati kipaji changu kinafaa niwe hivyo, zaidi ya hivyo. Wasanii wengi wa hip hop wanataka ku-maintain culture ambayo haipo tena. Wote tunakubali kuwa sasa hivi muziki biashara kwahiyo tukubali kufanya ule wa kibiashara ambao hatutokuwa na malalamiko ‘wasanii wa zamani tunabaniwa kwenye media’ sio kweli ni kwasababu hatujapeleka content ambayo media na wasikilizaji wanaitaka,” alisisitiza rapper huyo.
Jay Moe hajaishia kwenye Pesa ya Madafu, bali amekuja kuonesha kuwa amekimudu vizuri kizazi cha trap na dab kwenye wimbo alioshirikishwa na Songa – rapper mwingine aliyeamua kubadilisha muelekeo.
Mwendo Tu, ni wimbo mwingine wa trap ambao kutokana na ulivyo, umewaongezea wigo wa mashabiki hasa ‘teenagers’ na wasichana ambao haikuwa rahisi kuwapata kwa nyimbo walizokuwa wamezoea kufanya.
Nguvu ya wimbo huo imeongezeka zaidi kutokana na kuwa na video kali inayovutia macho ya kila mpenda vitu vizuri. Kwa mabadiliko hayo ya Jay Moe, ni wazi kuwa ana miaka mingi kwenye game na rappers wengi wapya watakuja na kuondoka na kumwacha akipeta kama na wao watashindwa kuwa vinyonga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Carlos Tevez afunga ndoa na mpenzi wake wa tangu utotoni

Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Manchester United na City, Carlos Tevez hatimaye amefunga ndoo na mpenzi wake wa tangu utotoni, ... thumbnail 1 summary


Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Manchester United na City, Carlos Tevez hatimaye amefunga ndoo na mpenzi wake wa tangu utotoni, Vanesa Mansilla, mjini San Isidro

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

So which celebs had the biggest birthdays this year?

Sharing happiness is exciting, especially for our celebrities. We mark the biggest birthdays that our celebs had this year. thumbnail 1 summary


Sharing happiness is exciting, especially for our celebrities. We mark the biggest birthdays that our celebs had this year.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Celine Dion apiga chini ofa ya Donald Trump

Muimbaji mkongwe wa nyimbo za taratibu kutoka Canada, Celine Dion ameongeza idadi ya wasanii waliopiga chini ofa ya kutumbuiza kwenye s... thumbnail 1 summary

Muimbaji mkongwe wa nyimbo za taratibu kutoka Canada, Celine Dion ameongeza idadi ya wasanii waliopiga chini ofa ya kutumbuiza kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa Marekani Donald Trump.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jeshi la Polisi latoa onyo msimu wa sikukuu

Jeshi la polisi nchini limetoa onyo kali kwa wananchi waliojipanga kufanya uhalifu katika kipindi cha kuelekea sikukuu za mwisho wa m... thumbnail 1 summary


Jeshi la polisi nchini limetoa onyo kali kwa wananchi waliojipanga kufanya uhalifu katika kipindi cha kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Gigy Money aeleza jinsi alivyopambana kumpata mpenzi wake mpya Mo J – Part 2

Video vixen ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM, Gigy Money ameendelea kufunguka mbele ya Bongo5TV kueleza namna ambavyo alitumia nguvu... thumbnail 1 summary
Video vixen ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM, Gigy Money ameendelea kufunguka mbele ya Bongo5TV kueleza namna ambavyo alitumia nguvu nyingi kumpata mpenzi wake ambaye anafanya naye kipindi kimoja cha redio, Choice FM.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dereva bodaboda akatwa sikio kwa tuhuma ya kufumaniwa na mke wa dereva teksi

Dereva bodaboda wa Mji Mdogo wa Qatesh wilayani Hanang’ Mkoa wa Manyara, amekatwa sikio kwa kisu kwa tuhuma za kufumaniwa akiwa na ... thumbnail 1 summary


Dereva bodaboda wa Mji Mdogo wa Qatesh wilayani Hanang’ Mkoa wa Manyara, amekatwa sikio kwa kisu kwa tuhuma za kufumaniwa akiwa na mke wa dereva wa teksi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Orodha ya Fifa: Argentina bado yaongoza Tanzania ya panda

Shirikisho la soka Duniani FIFA December 22 2016 limetoa orodha mpya ya viwango vya soka, Tanzania imefanikiwa kupanda katika viwango... thumbnail 1 summary


Shirikisho la soka Duniani FIFA December 22 2016 limetoa orodha mpya ya viwango vya soka, Tanzania imefanikiwa kupanda katika viwango hivyo vya soka vya FIFA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Polisi waliomdhalilisha mchungaji wakufuzwa kazi

Askari polisi wanne mkoani Kilimanjaro waliotuhumiwa kutengeneza tukio la ushoga kwa mchungaji wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tan... thumbnail 1 summary


Askari polisi wanne mkoani Kilimanjaro waliotuhumiwa kutengeneza tukio la ushoga kwa mchungaji wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania(KKKT) wamefukuzwa kazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa Mdee adai ataachia wimbo wake na Barnaba mwakani

Vanessa Mdee amethibitisha kufanya wimbo mwingine na Barnaba ambao utatoka mwakani. thumbnail 1 summary


Vanessa Mdee amethibitisha kufanya wimbo mwingine na Barnaba ambao utatoka mwakani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mambo ya shemeji zima taa yatokea kariakoo, shuhudia Fumanizi hili live hapa

MFANYABIASHARA maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na so... thumbnail 1 summary
MFANYABIASHARA maarufu wa simu za mikononi maeneo ya Kariakoo jijini Dar, aliyefahamika kwa jina moja la Devi, hivi karibuni alipatwa na soni ya aina yake baada ya kukutwa katika nyumba ya kulala wageni akiwa na mke wa rafiki yake wa karibu.

Mtoa habari makini aliliambia gazeti hili kuwa kisa kizima kilianza baada ya mwenye mali (mume) kukuta ujumbe mfupi wa simu katika kilongalonga cha mkewe unaoashiria mambo ya mapenzi na mbaya zaidi, meseji hiyo ilitoka kwa rafiki yake huyo.

Licha ya kukuta ujumbe huo wa kimahaba, chanzo chetu kilidai kuwa pia mume huyo alikutana na sms kadhaa zilizokuwa zimetuma fedha kwa njia ya mtandao wa simu, zikielekezwa kwa dada huyo kwa ajili ya matumizi yake.

Baada ya jamaa huyo kujiridhisha kuwa Davi alikuwa na nia mbaya na mkewe, mume huyo aliamua kuanzisha mkakati na kumtuma mdogo wake kufuatilia ishu nzima kwani yeye alibanwa na majukumu mengine ya kikazi.

Bila kujua kuwa nyendo zao zinafuatiliwa, Davi na shemeji yake walipanga kukutana katika hoteli moja (jina linahifadhiwa)iliyopo Sinza na baada ya kupata chumba na kuingia ndani, bila hofu, walianza kujiandaa kwa ajili usaliti.

Huku mwanaume akiwa ameshatoa nguo zake sambamba na mpenzi wake, mlango wa chumba chao uligongwa, lakini wakiwa hawana hofu,wakiamini ni mhudumu walifungua na wote kupatwa na bumbuazi baada ya kugundua aliyekuwa mbele yao ni mdogo wa mwenye mke ambaye wote wanamfahamu!

“Huwezi kuamini, baada ya sisi kuingia chumbani na kuwakuta kama walivyozaliwa, jamaa alikimbilia chooni na kwa jinsi alivyokuwa, alionyesha kabisa kuhitaji kujitumbukiza, lakini bahati nzuri vyoo vile ni vya kisasa,” kilidai chanzo hicho.

Mwandishi wetu alimtafuta kwa njia ya simu mwenye mke kutaka kujua kilichoendelea baada ya tukio hilo ambapo alipopatikana alisema:

“Ni kweli tukio hilo limetokea ila siwezi kuzungumzia zaidi, jamaa alikuwa akinizunguka kwa mke wangu lakini arobaini yake imefika, zaidi nenda Kituo cha Polisi Oysterbay utaelezwa kila kitu.”
GPL

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUU Wimbo Mpya wa Baghdad na Roma f/ Snura Unaitwa K Utata Mtupu Mwanzo Mwisho...Usikilize Hapa

Baghdad na Roma wameigeukia Singeli katika wimbo wao K waliomshirikisha Snura. Ni wimbo utakaokuvunja mbavu kwa ujumbe wake. Enjoy. ... thumbnail 1 summary
Baghdad na Roma wameigeukia Singeli katika wimbo wao K waliomshirikisha Snura. Ni wimbo utakaokuvunja mbavu kwa ujumbe wake. Enjoy.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkuu wa Wilaya aagiza kukamatwa mwandishi wa habari wa ITV

Mwandishi wa habari wa Kituo cha ITV mkoani Arusha, Khalfan Lihundi, anashikiliwa na polisi katika Kituo cha Polisi Usa River, wilayani A... thumbnail 1 summary
Mwandishi wa habari wa Kituo cha ITV mkoani Arusha, Khalfan Lihundi, anashikiliwa na polisi katika Kituo cha Polisi Usa River, wilayani Arumeru kwa tuhuma za kuandika habari zinazodaiwa kuwa ni za uchochezi.


Lihundi alikamatwa jana jijini hapa majira ya saa nane mchana na askari anayedaiwa kutumwa na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Alexander Mnyeti.


Mmoja wa waandishi wa habari walioshuhudia tukio hilo, Basil Elias, alisema kuwa, walipokuwa ofisini, alifika ofisa wa polisi akidai ametumwa kumfuata Lihundi kwa ajili ya mahojiano.


Kwa mujibu wa Elias ambaye alimnukuu ofisa huyo wa polisi, Lihundi anadaiwa kuandika habari ya uchochezi kuhusu mgogoro wa maji bila kumhoji mkuu huyo wa wilaya.


“Habari hiyo inayodaiwa kuwa ni ya uchochezi, ilikuwa ni malalamiko ya wananchi juu ya tatizo la maji katika wilaya hiyo,” alisema Elias.


Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari, Mkoa wa Arusha (APC), Claud Gwandu, pamoja na kulaani tukio hilo, alisema hatua hiyo haikubaliki kwani haikufuata taratibu za kuadhibu mwandishi wa habari.


“Hili ni tukio la kulaani na halikubaliki kwani kama mwandishi amekosea, zinapaswa kufuatwa taratibu na siyo kukamatwa kama mhalifu.


“Kilichofanyika ni matumizi mabaya ya madaraka, hivyo viongozi wa kuteuliwa hasa wakuu wa wilaya, wawe na utaratibu wa kufuata taratibu kwani mwandishi akikosea, kuna taratibu za kufuata, tunachotaka apewe dhamana,”alisema Gwandu.


Naye Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, alisema amesikia kuna mwandishi amekamatwa kwa kosa la uchochezi.


“Mkuu wa wilaya ametumia mamlaka yake ya sheria inayomruhusu kumweka ndani mtu hadi saa 48. Kwa hiyo, siwezi kuingilia kati suala hilo,” alisema Kamanda Mkumbo.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Godbless Lema augua ghafla gerezani......ashindwa kufika mahakamani Kusikiliza Kesi Zinazomkabili

Kesi iliyokuwa isikilizwe 21 Disemba 2016 inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema pamoja na mkewe, Neema Lema wakituhumiwa kum... thumbnail 1 summary
Kesi iliyokuwa isikilizwe 21 Disemba 2016 inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema pamoja na mkewe, Neema Lema wakituhumiwa kumtukana Mkuu wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO SABABU 10 ZA WANAWAKE KUTOKUOLEWA NA KUISHIIA KUSAGANA TU..

Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa kat... thumbnail 1 summary


Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND Alamba Mamilioni ya CAF, Kutumbuiza Uzinduzi wa AFCON 2017

Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye shereh thumbnail 1 summary
Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye shereh

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Trey Songz sio role model wangu – Jux

Jux anataka watu waelewe kitu hiki ‘once and for all’, Trey Songz sio role model wake. Amedai kuwa kitendo cha kujichora tatto... thumbnail 1 summary




Jux anataka watu waelewe kitu hiki ‘once and for all’, Trey Songz sio role model wake.


Amedai kuwa kitendo cha kujichora tattoo kifuani inayofanana na msanii huyo wa Marekani, hakimaanishi kuwa ni mtu anayemuangalia kwa jicho la ‘role model.’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: