December 25, 2016

PSG ya kamilisha usajili wa kiungo Julian Draxler

Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Nchini Ufaransa, imetangaza kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji ,Julian Draxler kutoka Wolfs... thumbnail 1 summary


Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Nchini Ufaransa, imetangaza kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji ,Julian Draxler kutoka Wolfsburg kwa mkataba wa miaka minne na nusu kwa ada ambayo inasemekana kuwa ni pauni milioni £34m.


Mjerumani huyo,23, atajiunga rasmi na matajiri hao wa Ufaransa mwezi ujao katika dirisha dogo la usajili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments