December 13, 2015

KWA WAKUBWA TUU 18+:USIACHE KUSOMA HII:VIGEZO 10 VYA KUMPATA MUME/MKE /MCHUMBA MWENYE MAPENZI YA KWELI.....

Ni madhumuni ya somo hili kufundisha vigezo vya kumpata mwanaume/mwanamke halisi wa maisha, bila kufanya naye mapenzi. Njia hii ina faida... thumbnail 1 summary
Ni madhumuni ya somo hili kufundisha vigezo vya kumpata mwanaume/mwanamke halisi wa maisha, bila kufanya naye mapenzi. Njia hii ina faida kwa pande zote mbili yaani kwa mwanamke na mwanaume kwani kuacha au kuachwa bila kufanya mapenzi ni bora kuliko kuwa muonjaji,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ujumbe wa Mario Balotelli kuhusu Euro 2016 unaoshangaza wengi !!!

Kuelekea michuano ya  Euro 2016  mshambuliaji wa  Liverpool  aliyepo kwa mkopo katika klabu ya  AC Milan  ya  Italia   Mario Balote... thumbnail 1 summary
Kuelekea michuano ya Euro 2016 mshambuliaji wa Liverpool aliyepo kwa mkopo katika klabu ya AC Milan ya Italia Mario Balotelli, ameingia katika headlines baada ya kuandika ujumbe ambao hadi sasa unashindwa kueleweka kuwa staa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nimekutana na hii, Lionel Messi ametwaa mataji mengi kuliko klabu ya Chelsea ambayo ina miaka 110 …

Hii inaweza ikawa sababu nyingine ya mshambuliaji wa kimataifa wa Argentinaanayekipiga katika klabu ya FC Barcelona Lionel Messi kutajwa ... thumbnail 1 summary
Hii inaweza ikawa sababu nyingine ya mshambuliaji wa kimataifa wa Argentinaanayekipiga katika klabu ya FC Barcelona Lionel Messi kutajwa katika list ya mchezaji bora wa muda wote kama ambavyo Diego Maradona na Pele wanatajwa, nimekutana na hii mtandaoni mtu wangu nikaona ni bora nikusogezee.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hali mbaya Man United yakubali kipigo kwa Bournemouth, Cheki matokeo ya EPL Dec 12 (+Pichaz&Video)

Ligi Kuu  Uingereza  imeendelea tena leo December 12 kwa mechi takribani sita kupigwa katika ardhi ya Malkia  Elizabeth , miongoni ... thumbnail 1 summary
Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo December 12 kwa mechi takribani sita kupigwa katika ardhi ya Malkia Elizabeth, miongoni mwa michezo iliyochezwa Jumamosi ya December 12 ni AFC Bournemouth dhidi ya klabu ya Manchester

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FC Barcelona yalazimishwa sare katika uwanja wake wa nyumbani Nou Camp (+Pichaz&Video)

Mechi za Ligi Kuu Hispania ziliendelea kama kawaida jumamosi ya December 12 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini... thumbnail 1 summary

Mechi za Ligi Kuu Hispania ziliendelea kama kawaida jumamosi ya December 12 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini humo, klabu ya FC Barcelonaambao ndio timu inayoongoza msimamo wa Ligi, ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Deportivo La Coruna katika uwanja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huku Ajib kule Bocco dakika 90 ya kuzitafuta point tatu kwa Azam FC na Simba, Cheki matokeo ya VPL Dec 12 (+Pichaz)

Baada ya mashabiki wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kukosa burudani hiyo kwa wiki kadhaa kutokana na kusimama kwa Ligi ili kupisha maanda... thumbnail 1 summary

Baada ya mashabiki wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kukosa burudani hiyo kwa wiki kadhaa kutokana na kusimama kwa Ligi ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa yaTanzania Taifa Stars, kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: