May 15, 2015

Cristiano Ronaldo hakuwa nyuma kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi Nepal…

Hii ni mara ya pili kwa nchi ya Nepal kukumbwa na tetemeko la ardhi ambalo linadaiwa kuua zaidi ya watu 40 huku kukiwa na idadi kub... thumbnail 1 summary



Hii ni mara ya pili kwa nchi ya Nepal kukumbwa na tetemeko la ardhi ambalo linadaiwa kuua zaidi ya watu 40 huku kukiwa na idadi kubwa ya majeruhi na kuacha watu wakiwa na hofu ya maisha yao na kuishi kwa mashaka makubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa Mdee, Victoria Kimani, Yemi Alade pamoja kwenye hii Video…

‘Strong Girl ‘ ni wimbo wa pamoja ulioimbwa na mastaa wa kike kutoka Afrika ambao wameungana pamoja kupambana na umaskini  kwa wasichan... thumbnail 1 summary
aladee
‘Strong Girl‘ ni wimbo wa pamoja ulioimbwa na mastaa wa kike kutoka Afrika ambao wameungana pamoja kupambana na umaskini  kwa wasichana na wanawake katika jamii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mapenzi ya Lil Wayne na Christina Milian sio siri tena…. !

Uhusiano wa kimapenzi kati ya Lil Wayne na Chistina Milian sio siri tena japokuwa wawili hawa hata kwenye interview wamekua hawak... thumbnail 1 summary




Uhusiano wa kimapenzi kati ya Lil Wayne na Chistina Milian sio siri tena japokuwa wawili hawa hata kwenye interview wamekua hawako huru sana kuongelea mapenzi yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ikulu: Nkurunziza Hayupo Tanzania, Alishaondoka, Tanzania haina cha kusema juu ya alipo Nkurunziza.

Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Habari Ikulu,Salva Rweyemamu amenukuliwa na Redio BBC Swahili akisema kuwa Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza h... thumbnail 1 summary
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Habari Ikulu,Salva Rweyemamu amenukuliwa na Redio BBC Swahili akisema kuwa Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza hayupo Tanzania. Akizungumza na BBC Swahili, Rweyemamu amesema kuwa Nkurunziza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ili Aweze Kuzaa, Wema Sepetu ni Lazima Alale Juu ya Kaburi au Arithiwe na Ndugu Yake Steven Kanumba

Baba mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mkubwa Bongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’, Charles Kusekwa Kanumba amefunguka kuwa ili azae, st... thumbnail 1 summary
Baba mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mkubwa Bongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’, Charles Kusekwa Kanumba amefunguka kuwa ili azae, staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu anatakiwa alale juu ya kaburi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Linah: Chozi Langu Hili Haliendi Bure!! U Will Pay it Back Maana Nimechoka na Masimango yenu

Muimbaji wa ‘Ole Themba’ Linah Sanga amewafungukia followers wake wa Instagram baada ya kuchoshwa na masimango ambayo amedai yamemtoa machozi. thumbnail 1 summary
Muimbaji wa ‘Ole Themba’ Linah Sanga amewafungukia followers wake wa Instagram baada ya kuchoshwa na masimango ambayo amedai yamemtoa machozi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huku Mapigano Makali Yakiendelea Huko Burundi, Rais Nkurunzinza Aingia Nchini Humo Kwa Kutumia Helkopta Baada ya Jana Kushindwa

BREAKING NEWZ Mapigano makali yakivita yanaendelea mjini Bujumbura kati ya wanajeshi. Mapigano hayo yameanza saa tisa alfajiri na tayari ... thumbnail 1 summary
BREAKING NEWZ
Mapigano makali yakivita yanaendelea mjini Bujumbura kati ya wanajeshi. Mapigano hayo yameanza saa tisa alfajiri na tayari zaidi ya watu mia mbili wanahofiwa kupoteza maisha!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mapinduzi ya Burundi: Rais Pierre Nkurunziza Ahojiwa na Kituo cha habari cha Burundi RTBN.......Asema Yupo Tayari Kumsamehe Mwanajeshi Atakayesalimu Amri

Kituo cha habari cha Burundi RTBN kimemhoji rais Pierre Nkurunziza kwa simu mwendo wa saa sita. thumbnail 1 summary
Kituo cha habari cha Burundi RTBN kimemhoji rais Pierre Nkurunziza kwa simu mwendo wa saa sita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE WANAUME NAO HUINGIA KATIKA HEDHI!

Kwa wanaume ni kasheshe!Mara nyingi nimekua nikiamini kwamba yale tunayoyafahamu kuhusu maisha ni machache sana ukilinganisha na yale... thumbnail 1 summary


Kwa wanaume ni kasheshe!Mara nyingi nimekua nikiamini kwamba yale tunayoyafahamu kuhusu maisha ni machache sana ukilinganisha na yale tusioyafahamu. Kiasi cha miezi kadhaa iliyopita nilisoma utafiti fulani kuhusu hedhi. Awali nilipousoma niliona ni hadithitupu. Lakini nilipoona ni vyema kuujaribu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bora Mwanaume wa Kibongo Kuliko Mwanaume Mkenya Kwenye Mapenzi

Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyeweanataka k... thumbnail 1 summary
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyeweanataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-1. TUkiwa chumbani yeye ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPENZI MATAMU SANA....MDADAFAHAMU NJIA 18 ZA "KUMSHIKA" KIDUME YEYOTE ULIMWENGUNI...!!

I was single once, but now i'm a wife and a mother. Nimekaa nikaona siovibaya iwapo nta-share tips kadhaa zilizonisaidia kumuweka... thumbnail 1 summary


I was single once, but now i'm a wife and a mother. Nimekaa nikaona siovibaya iwapo nta-share tips kadhaa zilizonisaidia kumuweka baba watoto sawa na mpaka leo hii sijawahi kuhisi wala kugundua kwamba anatoka nje ya ndoa yetu, japo matatizo ya hapa na pale hayakosekani ila tumedumu na bado tunaendelea nasafari.Unapokutana na mwanaume akakutongoza/mwanamke akakukubalia kuna uwezekano mkubwa kuwa amevutiwa na wewe kweli au kakutamani tu. Kitu ambacho watu hua wanasahau ni kwamba hata mtu aliyekutamani tu unaweza ukampa mwongozo/sababu mpaka mwenyewe akajikuta anakupenda kuliko ambavyo angeweza kutarajia kwamba angewahi kupenda. Ndio maana hata wale waitwao 'bad girls/boys' hua wanajikuta wamenaswa na kunasika at some point.1. Usiigize.Maigizo waachie wasanii wetu, kuwa vile ulivyo kweli kimaisha/kitabia (isiwe mbaya)/mazoea n.k2. Don't move too fast/act desperate.Usitumie ule muda wa mwanzo kabisa wa mahusiano yenu kutaka kujua "una malengo gani namie?" "utanioa?" "Kanitambulishe/nataka nikakutambulishe." n.k Mpe nafasi ya kukusoma na kupata kujua wewe ni mtu wa aina gani, je unafanania na mwanamke ambae angependa kuwa nae kwa muda mrefu, possibly hata ndoani? Na wewe nawe tumia muda huo kufanya kitu hicho hicho.3.Don't be too demanding.Huyo sio baba yako wala sio mume just yet, hivyo chochote atakachokufanyia kinatokana na yeye kutaka/kupenda kufanya hivyo na sio kwakulazimika. Haki hiyo hauna.4. Kuwa na shukurani.Learn to appreciate all that he does for you, that wayataona umuhimu wa hayo anayokufanyia, yawe makubwa au madogo.5. Be real.Badala ya kufika kwake na kuanza kushangaa anaishije bila ya mfanyakazi wa ndani huku ukitamba kuwa wewe huwezi, shangaa anawezaje weka nyumba yake katika hali nzuri mwenyewe bila ya msaada. Hii itaonyesha fika wewe utakua mke wa aina gani hapo baadae, kama ni wale wakukaa miguu juu huku wakiagiza hata maji waliyoombwa na mume au la.6. Learn to cook if you don't know how to.Waliosema "the way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea. Ukiachilia mbali wale watu wachache wanaokula ili kushiba wengi hua wanajaliladha. Hiyo ndio hua inawaongezea hamu ya kula na kuwarudisha nyumbani mapema pia kuwafanya wakumiss pale inaposhindikana kula chakula chako. Kwakumwonyesha mwanaume kwamba hata tumbo lake unaweza kuliridhisha unamwongezea sababu za kukuweka kwenye maisha yake.7. Mheshimu.Mpe heshima yake kama mwanaume wako ila usimwogope. Wengine wote usiwape nafasi kumfanya ajisikie kwamba haheshimiki.8. Kuwa ngao yake.Inapotokea anakumbwa na matatizo yoyote yale onyesha utayari wa wewe kuwa pamoja naye kwa hali na mali mpaka yatakapoisha. Pia usikose kumjali kumpa moyo pale unapoona inahitajika.9. Kuwa muwazi.Kama kuna mambo ambayo unajua moja kwa moja yatakuwa sehemu ya mahusiano yenu (watoto/X mkorofi .nk) mweleze mapema ili aamue kama yuko tayari kudeal nayo au la.10. Usiwe na chuki.Kikifika kipindi cha yeye kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake onyesha ushirikiano. Usionyeshe chuki wala kujiona kana kwamba wewe ndio wewe.11. Give your all.Kama na nyie mtaamua kuonjeshana tunda kabla (kama ambavyo wengi wanafanya karne hii) basi kuwa mbunifu, mtundu na usiwe mvivu.12.Pendeza.Vaa/onekana vizuri unapokuwa nje hata ndani pia. Usisahau kuzingatia/jali hisia zake kuhusu mavazi yako.13. Onyesha interest kwa yale ayapendayo yeye.Usiwe mbinafsi kila siku unataka kusikilizwa wewe tu na story/mambo utakayo wewe. Uliza/jua kuhusuyale anayopenda yeye mf. mpira/siasa.14.Kuwa mtulivu.Usiwe mtu ambae kila saa simu yako inapigwa pigwa na wanaume wasio ndugu wala marafiki wakaribu na wanaoeleweka. Discpline ni muhimu sana.15.Usimzonge.Usiwe mmoja wa wale watu wanaofuatilia wenzi wao masaa yote wanapokuwa hawapo pamoja. Mpenafasi ya kuwa na marafiki zake bila kuhitaji kuzimasimu ama ku-ignore simu/text zako.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUU UTAFITI MH!! ETI WANAWAKE WENYE MAPAJA YALIYONONA NA MAKALIO MAKUBWA HUZAA WATOTO WENYE AKILI SANA!! SOMA UONE UKWELI HAPA

Fumbo la siku zote kwamba wanawake ni wanene kuliko wanaume limepata ufumbuzi...ni wanene kwani wanahitaji mwili wenye umbo zuri na m... thumbnail 1 summary


Fumbo la siku zote kwamba wanawake ni wanene kuliko wanaume limepata ufumbuzi...ni wanene kwani wanahitaji mwili wenye umbo zuri na makalio makubwa ili kupata watoto waliojaaliwa werevu.Taarifa hii ni kwa mujibu wa wanaakademia ambao wanasema kuwa wanawake wenye makalio na mapaja makubwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE KUNA UKWELI WOWOTE KUWA WAPO WANAUME AMBAO HAWANA UWEZO WA KUTONGOZA WASICHANA? BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi  ya kuzungumza na mwanamke au  msichana. Kwa njia hii wanaume wengi  wanaishi maisha ya bila... thumbnail 1 summary

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi 
ya kuzungumza na mwanamke au 
msichana. Kwa njia hii wanaume wengi 
wanaishi maisha ya bila kumvutia 
mwanamke yeyote. 
Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe 
mwanaume ili kuhakikisha humkwazi 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE ASALIMU AMRI MOJA KUTOKA KWA MPENZI WAKE NUHU MZIWANDA

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwana... thumbnail 1 summary
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDO MAANA DIAMOND ANAFANIKIWA KUSHINDA ALIKIBA, UMEONA HIKI ALICHOPANGA KUKIFANYA TANDALE?? JIONEE HAPA

When you try to compaire Diamond Platinumz and Ali kiba, in terms of tallent may are too closer to similality but in achievement and ... thumbnail 1 summary


When you try to compaire Diamond Platinumz and Ali kiba, in terms of tallent may are too closer to similality but in achievement and good strategy mmmmh diamond left behind ali kiba and by 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKAVU LIVE: OYA SISTA UKIGEUZA UZURI WAKO MTAJI, UTAISHIA KUCHEZEWA!

Niaje…niaje wanangu na maduu wa ukwehe? Inakuwa nini watu wangu wa nguvu? Imekuwa fasta kinoma na tumekutana tena, huwezi kuamini kama ... thumbnail 1 summary

Niaje…niaje wanangu na maduu wa ukwehe? Inakuwa nini watu wangu wa nguvu? Imekuwa fasta kinoma na tumekutana tena, huwezi kuamini kama kitu cha wiki kimekatika. Enewei ndo kama hivo kachala wako nipo chuma kabisa nimeshatokelezea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: