October 28, 2015

WASSIRA, SIKUBALIANI NA MATOKEO YA ESTER BULAY ...NIMEHUJUMIWA

Stephen Wassira  Saa chache baada ya Msimamizi wa Uchaguzi kumtangaza Ester Bulaya wa Chadema kuwa mshindi katika jimbo la Bunda Mjini,... thumbnail 1 summary
Stephen Wassira 
Saa chache baada ya Msimamizi wa Uchaguzi kumtangaza Ester Bulaya wa Chadema kuwa mshindi katika jimbo la Bunda Mjini, aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo na mpinzani wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM KUIPOTEZA DAR ES SALAAM NI KUIPOTEZA TANZANIA NZIMA

Dar es Saaam ndiyo Tanzania. Dar es Salaam ndiyo kila kitu. Kioo cha Tanzania ni Dar es Salaam. Pamoja na uwepo wa majiji matano nchi... thumbnail 1 summary


Dar es Saaam ndiyo Tanzania. Dar es Salaam ndiyo kila kitu. Kioo cha Tanzania ni Dar es Salaam. Pamoja na uwepo wa majiji matano nchini: Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya na Tanga, lakini Dar ndiyo mwanzo na mwisho. Katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOJA KWA MOJA KUTOKA TUME YA UCHAGUZI (NEC) MATOKEO YA URAIS ASUBUHI HII HAPA YA TAR 28 OCT

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa. Tembelea ukurasa huu mara ... thumbnail 1 summary


Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa.
Tembelea ukurasa huu mara kwa mara kwa updates zaidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKAWA WASEMA HAWATAMBUI MATOKEO YA URAIS YANAYOTANGAZWA NA NEC

Chadema kwa kushirikiana na vyama vinavyounda Ukawa, leo wanakutana kujadili mwenendo waliouita usio halali wa kutangaza matokeo, wakiitu... thumbnail 1 summary
Chadema kwa kushirikiana na vyama vinavyounda Ukawa, leo wanakutana kujadili mwenendo waliouita usio halali wa kutangaza matokeo, wakiituhumu Tume ya Uchaguzi (NEC), CCM na Jeshi la Polisi kushirikiana kuhujumu matokeo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA MTAKUMKUMBUKA ZITTO KABWE NA DR SLAA,CUF HAWATAISAHAU CHADEMA

Kwa mwenendo wa matokeo rasmi viti vya ubunge tayari CHADEMA yaelekea kupoteza viti vingi vya ubunge pamoja na udiwani hii inaonyesha waz... thumbnail 1 summary
Kwa mwenendo wa matokeo rasmi viti vya ubunge tayari CHADEMA yaelekea kupoteza viti vingi vya ubunge pamoja na udiwani hii inaonyesha wazi umahiri wa Zitto kabwe na Dr. Slaa walivyofanya kazi kubwa kwa kutumia upeo wao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAVIDO AWAGOMBANISHA AGNESS MASOGANGE NA DIVA!!!! MASOGANGE AMSHANGAA DIVA KUGOMBANA NA KILA MTU

KITUKO! Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds, Loveness Malinzi ‘Diva’ na Video Queen maarufu Bongo Agness Jerald ‘Masongange’ wamejik... thumbnail 1 summary
KITUKO! Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds, Loveness Malinzi ‘Diva’ na Video Queen maarufu Bongo Agness Jerald ‘Masongange’ wamejikuta wakiingia katika ugomvi, kisa kikiwa ni msanii wa muziki wa Nigeria, Davido.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full Time ya Sheffield Wednesday Vs Arsenal October 27 na matokeo ya mechi nyingine za Capital One (+Pichaz&Video)

Usiku wa Jumatano ya October 27 kulikuwa hakuna mechi za Ligi Kuu  Uingereza  ila ilikuwa ni siku ambayo michezo ya ya Kombe la  Ca... thumbnail 1 summary
Usiku wa Jumatano ya October 27 kulikuwa hakuna mechi za Ligi Kuu Uingereza ila ilikuwa ni siku ambayo michezo ya ya Kombe la Capital One iliendelea nchini Uingerezakwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sentensi za Mbowe mbele ya waandishi wa habari October 27, 2015

Ni saa chache tu baada ya kuanza kutangazwa kwa matokeo ya Urais ya mwaka 2015 Tanzania ambapo leo October 27, 2015 mwenyekiti wa Chadema... thumbnail 1 summary
Ni saa chache tu baada ya kuanza kutangazwa kwa matokeo ya Urais ya mwaka 2015 Tanzania ambapo leo October 27, 2015 mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Prince William katoa medali ya heshima kwa Frank Lampard (+Pichaz)

Kiungo wa kimataifa wa zamani wa Uingereza na klabu ya Chelsea ya Uingereza Frank Lampard ambaye kwa sasa yupo katika klabu ya New York C... thumbnail 1 summary
Kiungo wa kimataifa wa zamani wa Uingereza na klabu ya Chelsea ya Uingereza Frank Lampard ambaye kwa sasa yupo katika klabu ya New York City inayoshiriki Ligi KuuMarekani (MLS), ameingia katika headlines October 27 baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Blac Chyna na Future ni wapenzi..? Picha hii inaweza kuwa uthibitisho wa uhusiano wao!

Baada ya tetesi nyingi sana kusambaa kuhusu mpenzi wa zamani wa Ciara, Future na aliyewahi kuwa mpenzi wa zamani wa Tyga, Blac Chyna kuwa... thumbnail 1 summary
Baada ya tetesi nyingi sana kusambaa kuhusu mpenzi wa zamani wa Ciara, Future na aliyewahi kuwa mpenzi wa zamani wa Tyga, Blac Chyna kuwa ni wapenzi, sasa hivi inaonekana wazi kuwa mmoja wao hana chochote cha kuficha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIVE, MATOKEO RASMI YA URAIS KWA MUJIBU WA NEC JIONI HII - UCHAGUZI MKUU 2015

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa. thumbnail 1 summary
Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INSTAGRAMU WAIFUNGIA AKAUNTI YA IDRIS SULTANI, SOMA HAPA KUJUA SABABU YA KUFUNGIWA

Instagram imeifungia akaunti ya mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan. thumbnail 1 summary

Instagram imeifungia akaunti ya mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUGUSTINO MREMA NDIO BASI TENA ..MBATIA ATWAA VUNJO NA KUTANGAZWA KUWA MBUNGE WA MOSHI VIJIJINI

By auli Giliard/Louis Kolumbia, Mwananchi Digital Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa... thumbnail 1 summary
By auli Giliard/Louis Kolumbia, Mwananchi Digital
Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa jimbo la Vunjo huku kada wa Chadema, Anthony Komu naye akiibuka mshindi katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM Walalamikia Kitendo Cha Maali Seif Sharif Hamad Kujitangaza Mshindi......Wadai Walikamata Kura Feki za CUF Zanzibar

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema, Maalim Seif amevunja katiba na sheria kwa kujitangaza mshindi kabla ya matokeo halali ya Tum... thumbnail 1 summary
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema, Maalim Seif amevunja katiba na sheria kwa kujitangaza mshindi kabla ya matokeo halali ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (Zec).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PAMOJA NA MAJIMBO YALIYOTANGAZWA SAA 2 USIKU TAR; 27/10 NA NEC..MAGUFULI AMEKUA HASHIKIKI..

Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,980,899 Huku Lowassa Akiwa na 1,388,693 thumbnail 1 summary

Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,980,899 Huku Lowassa Akiwa na 1,388,693

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASSA SASA KUTABASAMU BAADA YA NGOME ZAKE KUMPA MATUMAINI MAKUBWA CHEKI TOFAUTI YA KURA MPAKA SASA...

Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,689,003 Huku Lowassa Akiwa na 1,239,105 thumbnail 1 summary
Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,689,003 Huku Lowassa Akiwa na 1,239,105

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WABUNGE NA MADIWANI WOTE, CCM NA UKAWA WALIOKWISHA KUTANGAZWA RASMI ..KUANZIA TAR;25-27 MDA HUU..JE KUNA UWEZEKANO WA SERIKALI MSETO?

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Ubunge kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa na Wakurugenzi wenye dha... thumbnail 1 summary
Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Ubunge kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa na Wakurugenzi wenye dhamana hiyo 

Tembelea ukurasa huu mara kwa mara kwa updates zaidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IDADI YA KURA ZOTE ZA URAIS KULINGANA NA NEC KUTOKEA JANA MPAKA MUDA HUU...AMBAPO MPAKA SASA.......

HAYA NI MATOKEO RASMI YALIYOTOLEWA NA NEC HIVYO BASI TUNACHUKUA NA KUREKODI KWA AJILI YAKO MSOMAJI NA MFUATILIAJI WETU. thumbnail 1 summary
HAYA NI MATOKEO RASMI YALIYOTOLEWA NA NEC HIVYO BASI TUNACHUKUA NA KUREKODI KWA AJILI YAKO MSOMAJI NA MFUATILIAJI WETU.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NGOME ZA CCM ZILIZOKWISHA POKONYWA NA WAPINZANI MPAKA SASA

Tembelea link hii ili kupata updates za chama cha mapinduzi thumbnail 1 summary
Tembelea link hii ili kupata updates za chama cha mapinduzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: